Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Ndege zina utofauti,hizo walizodau kutumia Israel zinakula mafuta mbaya,kwa umbali ule sharti zitue sehemu zijaze Tena mafuta,tofauti na ndege ya usafiri waliyotumia Entebbe, houthi walitumia drone,ambazo si lazima zitumie mafuta
Umbali huo ni sawa na kutoka Dar Bukoba si mbali kiasi hicho
 
  • Thanks
Reactions: I M
OK bro. Kwani kuna mahali imekatazwa Israeli asiungwe mkono? Vita ni mbinu. Kulalamika kwamba amesaidiwa na fulani na fulani ni ule mchezo wa kitoto enzi zetu zile eti mkipigana ngumi huko shuleni "hakuna kuchangia" "Hakuna kukamatia chini" n.k. Hapa Kinachangaliwa au Tathmini hapo ni End results. Je, adui kapigwa kama ilivyokusudiwa? Hoja ya IDF kapita wapi, kasaidiwa na nani hiyo watajua wenyewe. Kwani IDF hawana kikosi cha marines (nyambizi)? Tukisema eti
"Kwasababu hata kuyadungua yale makombora ya Iran yaliyorushwa kwenda Israel Jordan,Saudi Arabia,UK na USA walihusika na ushahidi upo."
Si na wao pia ni Ruksa watumie mbinu hiyo? Waache kulialia hapa.
Jeshi mnslojiaminisha kua bora kupigwa jeki dhidi ya watu kadhaa ni udhaifu
Hatuwapangii wala kukataa ila tunawapa ukweli munao ukataa
 
Ndege zina utofauti,hizo walizodau kutumia Israel zinakula mafuta mbaya,kwa umbali ule sharti zitue sehemu zijaze Tena mafuta,tofauti na ndege ya usafiri waliyotumia Entebbe, houthi walitumia drone,ambazo si lazima zitumie mafuta
Ukweli Ni kwamba Israel imeibonda Yemen hayo mengine Ni blabla tu na matamanio yenu kwamba ndege za israel zisifike Yemen
 
Israel walikuwa wanawatafutia Sababu... Walipoona Hiyo Drone aina Madhara makubwa(kutokana na eneo ilipokuwa inaelekea- USA Embassy building) wakaiacha 🤣 Wao wakaona wamelamba Bingo!! Shambulio Moja tu Yemen Kwishney- Wayemen Awana akili ata kidogo walitakiwa kusaidia Palestina kwa misaada ya kibinadamu lakini sio hivyo wanavyofanya wao. Israel ukiwachokonoa lazima wakujibu na uwa lazima walipe kisasi ata kama miaka 100 ijayo
......Israel walikuwa wanawatafutia Sababu... Kwa hiyo wanoko Wakajileta wenyewe sio? Na Israeli hakufanya ajizi -akaitumia hiyo Fursa vizuri au sio.
Ni kama vile mchezo wa draft, yan unasukumiwa kete moja uile halafu mwenzako anabutua hadi King. Sasa hapo mjanja nani? Na ole wao Houthis na wenzake warudie tena.
 
Jeshi mnslojiaminisha kua bora kupigwa jeki dhidi ya watu kadhaa ni udhaifu
Hatuwapangii wala kukataa ila tunawapa ukweli munao ukataa
Mbona hapo hakuna mashindano ya ubora wa jeshi? Hapo ni nani anatoa kipigo chenye maumivu makali zaidi? Hoja ya kwamba ni dhaifu, ni kiwete, ni duni etc. etc. watajibizana wao wenyewe baadaye. Ngoja Kwanza kazi ya kutwangana iishe halafu hayo mengine ndo yatafata.
 
Yaani umeona jamaa kauliza maswali fikirishi ila wewe umeshindwa kujiuliza maswali fikirishi
Kama yemen wameweza kupiga mara ya kwanza wanashindwa kupiga tena ikibidi?
Pia ukashindwa kujiuliza kama mwaka huo ulotaja waliweza kwenda entebeee ila mwaka huu wanashindwa kuokoa watu wao hapo jirani yao ghaza
Israhell ya kwenye media na story book za kutunga inatisha sana sio kama hii ya uhalisia
Yemen kama kweli anauwezo kuliko Israel mpaka leo hii angeshajibu mapigo: Iran nae baada ya kupelekewa Moto angeshajibu mpaka sasa hivi... Usije ukajifariji UKWELI LAZIMA USEMWE Israel kutokana na rabsha za kila siku toka kwa Warabu wamekuwa na Uhodari na mbinu pamoja na Silaha za kutosha kujikinda
 
Mbona hapo hakuna mashindano ya ubora wa jeshi? Hapo ni nani anatoa kipigo chenye maumivu makali zaidi? Hoja ya kwamba ni dhaifu, ni kiwete, ni duni etc. etc. watajibizana wao wenyewe baadaye. Ngoja Kwanza kazi ya kutwangana iishe halafu hayo mengine ndo yatafata.
Unakabia juu sana masta!
 
  • Thanks
Reactions: I M
......Israel walikuwa wanawatafutia Sababu... Kwa hiyo wanoko Wakajileta wenyewe sio? Na Israeli hakufanya ajizi -akaitumia hiyo Fursa vizuri au sio.
Ni kama vile mchezo wa draft, yan unasukumiwa kete moja uile halafu mwenzako anabutua hadi King. Sasa hapo mjanja nani? Na ole wao Houthis na wenzake warudie tena.
Hawa jamaa wapo Makini mno! Na wana Pesa, Silaha na Uzoefu wa vita... jiulize toka vita inaze na Wa palestina Je Pesa yao imeshuka thamani??😁 Israel kwenye kila products za Kielectronic, Computers, Madawa etc na ata Mobile money Technologies anapata mirahaba Dunia nzima. Kila Iphone, Computer na Microsoft Software Licences ana pata % ya hela zake! So ushabiki wa Warabu wa Chamazi na vijiwe vya kahawa vya Kwa mtogole aviwezi pindisha ukweli !! Israel is Rich, Capable and willing
 
Attachments

  • IMG_8438.jpeg
    IMG_8438.jpeg
    236 KB · Views: 2
Mkuu siasa za middle east naona itakua zinakuchanganya.
Pia kitendo cha hao waarabu kumsaidia Israel ni uhaini ama usaliti.
Na Yemeni ikimnasa yule sahihi aliyehusika awashiwe moto.
Mbona Yemeni ilishambulia directly mpaka Tel Aviv!?
Waw! Kwa hiyo walidhani kila siku ni Ijumaa? Warudie tena waone!
Siasa za middle east ni vurugu tupu. Hakuna siku Mwarabu amekuwa mtulivu na straight forward katika maugomvi yao yasiyoisha. Leo kaamka huyu hivi, kesho kaingia huyu, mtondogoo fulani anajiandaa kusupport, juzi akina naniliu walisema.... Oh! Zamani hizo, enzi zile tulisemaga is very kantangaraso.
Mambo ya Arabs waachie wenyewe - Unaweza kuchizika moja kwa moja.
 
Hawa jamaa wapo Makini mno! Na wana Pesa, Silaha na Uzoefu wa vita... jiulize toka vita inaze na Wa palestina Je Pesa yao imeshuka thamani??😁 Israel kwenye kila products za Kielectronic, Computers, Madawa etc na ata Mobile money Technologies anapata mirahaba Dunia nzima. Kila Iphone, Computer na Microsoft Software Licences ana pata % ya hela zake! So ushabiki wa Warabu wa Chamazi na vijiwe vya kahawa vya Kwa mtogole aviwezi pindisha ukweli !! Israel is Rich, Capable and willing
Watakuja kukushambulia na kukuambia Mazayuni na US ni Mashoga.
 
Kwa ujumla ni kwamba nguvu yote ya kivita ya Houthi iko crippled kwa sasa na wamebakiza maneno tuu.
Myahudi hajaribiwi
Kobazi walianzinzisha vi thread hapa kila mgambo wa Houth wakiteka meli au kurusha vi drone, leo wamepigwa chuma moja tu wanalialia.
 
Watakuja kukushambulia na kukuambia Mazayuni na US ni Mashoga.
Kweli kabisa! Mudy aliwaambia watafute Elimu popote ata Mpaka China! Wao wamekomaa na Umbumbumbu na ujuwaji mwingiii na kujiona bora kuliko Binadamu wengine🤣. Ata wakipewa 1 billions Years awatoshinda!!!Maana Mungu wao sio Mungu Wetu🙏Jeremiah 1:19 They will fight against you, but they shall not prevail against you, for I am with you, declares the LORD, to deliver you.”
 
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.

Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto unaowaka Hodeada unashuhudiwa na watu wote wa mashariki ya kati.

Kinachoshangaza ni jinsi mataifa hayo ya mashariki ya kati wanavyochukulia kuwa shambulio hilo ni kwa Houth pekee wakati mayahudi wanakusudia kuwatisha wote.

Israel imeanza Gaza na ukingo wa magharibi,imeingia Yemen na itafanya kwengine kwa ubabe bila hao watawala wa mashariki ya kati kuzinduka.

Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuleta mabadiliko kwenye akili za watawala hao na kutamkwa kwake ni kipimo cha kibri cha Israel ikikaribia kuangamia kama ilivyotokea kwa firauni wakati alipozidi uadui na Mungu muda mfupi kabla ya kushikwa na kuangamizwa.

Baadhi ya wachambuzi wenye kufuatilia mizozo ya mashariki ya kati wamesema maamuzi ya Israel kuishambulia Yemen yanaweza kuwa sababu ya kuyapa nguvu makundi yanayopingana nayo na si kinyume chake.

Yemen's Houthi rebels vow open battle with Israel and the U.S., as fears rise of Mideast war

Israel amejizika!
 
Kobazi walianzinzisha vi thread hapa kila mgambo wa Houth wakiteka meli au kurusha vi drone, leo wamepigwa chuma moja tu wanalialia.
Houth walikuwa wanaliwa timing wakaingia Choo cha Mabasha🤣 Wamepelekewa Moto kimya! Wawaite UN basi wawasaidie🤣🤣
 
Waw! Kwa hiyo walidhani kila siku ni Ijumaa? Warudie tena waone!
Siasa za middle east ni vurugu tupu. Hakuna siku Mwarabu amekuwa mtulivu na straight forward katika maugomvi yao yasiyoisha. Leo kaamka huyu hivi, kesho kaingia huyu, mtondogoo fulani anajiandaa kusupport, juzi akina naniliu walisema.... Oh! Zamani hizo, enzi zile tulisemaga is very kantangaraso.
Mambo ya Arabs waachie wenyewe - Unaweza kuchizika moja kwa moja.
Hakuna kisichoeleweka ila wewe ndio huelewi mkuu.
Chanzo cha ugomvi wote kinajulikana na mlolongo wa huyu kumsapoti huyu ama kumsaliti huyu unajulikana pia bila shaka.
Ni wewe tu ndio hujaelewa straight ila sio wao.
 
Hawa jamaa wapo Makini mno! Na wana Pesa, Silaha na Uzoefu wa vita... jiulize toka vita inaze na Wa palestina Je Pesa yao imeshuka thamani??😁 Israel kwenye kila products za Kielectronic, Computers, Madawa etc na ata Mobile money Technologies anapata mirahaba Dunia nzima. Kila Iphone, Computer na Microsoft Software Licences ana pata % ya hela zake! So ushabiki wa Warabu wa Chamazi na vijiwe vya kahawa vya Kwa mtogole aviwezi pindisha ukweli !! Israel is Rich, Capable and willing
Israel uchumi uliyumba March mwaka huu kiasi walipunguza askari kurudi kutoka vitani.
USA na UK wanawapa unconditional loans and grants Israel ili kuokoa uchumi wao na kuendesha nchi yao.
Hilo hulijui ndio maana unaongea unayoongea.
Ingekuwa Israel inajiendesha yenyewe kifedha kwa hii vita ya Gaza isingefika popote pale.
 
Houth walikuwa wanaliwa timing wakaingia Choo cha Mabasha🤣 Wamepelekewa Moto kimya! Wawaite UN basi wawasaidie🤣🤣
Kwani hujui kama Eilat ilishambuliwa baada ya Hodeidah kushambuliwa!?
Houthi washalipa kisasi kwa kushambulia Eilat.
Au ulilala toka majuzi hukusikia kitu!?
Israel ni nchi ambayo crippled tena hasa kijeshi.
 
Back
Top Bottom