Kama vichaa wa kiisrael wanafanya kweli basi Hizbollah asingeshambulia kaskazini kwa Israel kiasi wayahudi kuondoka makazi yao.Ndiyo wajue kujitambua ni muhimu.Wanapiga domo halafu vichaa wa Kiizraeli wanafanya kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vichaa wa kiisrael wanafanya kweli basi Hizbollah asingeshambulia kaskazini kwa Israel kiasi wayahudi kuondoka makazi yao.Ndiyo wajue kujitambua ni muhimu.Wanapiga domo halafu vichaa wa Kiizraeli wanafanya kweli.
Hata mimi nimeongea kauli ya kuuliza kwa kushangazwa,maana habari zilitapakaa kote.Yote hayo nayafahamu, swali langu lililenga kupata maoni ya huyo niliemuuliza. Asante kwa kujibu.
Tusichokijua wangapi au kina nani?
Kuondoka si kigezo cha kuhitimisha kushindwa.Kuondoka sehemu hakuna tofauti na kukwepa ngumi au kofi la mtu.Kwani mnapopambana,hata na mtu dhaifu,huwa harushi makonde?Kama vichaa wa kiisrael wanafanya kweli basi Hizbollah asingeshambulia kaskazini kwa Israel kiasi wayahudi kuondoka makazi yao.
Upinzani umezidi zaidi kati ya Hizbollah na Israel.Kuondoka si kigezo cha kuhitimisha kushindwa.Kuondoka sehemu hakuna tofauti na kukwepa ngumi au kofi la mtu.Kwani mnapopambana,hata na mtu dhaifu,huwa harushi makonde?
Najua wanapata full support toka iran. Alietoa hayo mawazo amesema houthi imesema itawapiga hao Waarabu wote, Soudia, Misri, Jordan,Kwa Misri hawakuwahi kupigana.
Ila kama watapigana vita itakua ngumu maana tabu kuu ilipo ni kuwa IRAN iko nyuma ya Houthi.
We hujiulizi nguvu ya makombora ya masafa marefu,vifaru na APC vehicles na bunduki zenye nguvu Houthi wanatoa wapi!?
Yani ili Houthi wafeli basi Iran isiingilie kati.
Kwani wewe ulitegemea watulie tu?Lazima waoneshe ukinzani wao.Ni wachezaji wawili uwanjani.Mmoja anajihami,na mwingine anataka ushindi.Upinzani umezidi zaidi kati ya Hizbollah na Israel.
Kadri Israel inavyoshambulia Lebanon ndivyo kadri Hizbollah inavyozidisha mashambulizi pia.
MadrasaNdugu yangu unachukuliwa vita kama maigizo, hizo nchi za kiarabu na Afrika wakapigane na Israel kwa sababu ipi? kama drone za Yemen zinafika Israel wao IDF wanashindwaje kufika Yemen? Mbona akili zako ndogo , kama una akili kweli unaweza kuvamia nuclear states? Wewe dini inakusumbua, njoo tuwatetee wasidhani, wakongo wanaopigana, achana na mambo ya waarabu na wayahudi, kweli kama una akili Yemen ndo wakupiga Israel na kuishinda?
Mtu aliye nyuma yao ni huyo waliyemsaidia Israel na USA,UK.Najua wanapata full support toka iran. Alietoa hayo mawazo amesema houthi imesema itawapiga hao Waarabu wote, Soudia, Misri, Jordan,
Una maoni gani kuhusu hao Waarabu, je hawana watu nyuma yao ambao ni tishio kwa washirika wa houthi pia?
Isreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.
Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.
Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.
Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.
R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake
Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist 😄
View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U
Hivi kuna ISRAEL ya kwenye media na ISRAEL halisi?Israhell inaenda kula kipigo kizito nisuala la muda tuuu
Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii yenyewe
Nani anajihami na nani anataka ushindi!?Kwani wewe ulitegemea watulie tu?Lazima waoneshe ukinzani wao.Ni wachezaji wawili uwanjani.Mmoja anajihami,na mwingine anataka ushindi.
Iran ajibu kwani kafanywa nini mzee mbona unachanganya madawaYemen kama kweli anauwezo kuliko Israel mpaka leo hii angeshajibu mapigo: Iran nae baada ya kupelekewa Moto angeshajibu mpaka sasa hivi... Usije ukajifariji UKWELI LAZIMA USEMWE Israel kutokana na rabsha za kila siku toka kwa Warabu wamekuwa na Uhodari na mbinu pamoja na Silaha za kutosha kujikinda
Hiyo ni fact.Mtu aliye nyuma yao ni huyo waliyemsaidia Israel na USA,UK.
Ila hiyo ni mikwara Houthi hawezi akipiga nchi zote hizo.
Labda ni mikwara tu ya kutishana.
Uvamie nchi tatu kwa mara moja sio kitu chepesi.
Ingekuwa Iran kama Iran ningesema inawezekana,ila Houthi ambaye anabebwa na Iran ni kitu kigumu haiwezekani.
Wewe huamini kama wanao?Unaamini Houthi ana uwezo wa kumpiga Misri au Saudia?
firauni sialitea kibri wana wa israili au hamkusomaga hivyo?Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto unaowaka Hodeada unashuhudiwa na watu wote wa mashariki ya kati.
Kinachoshangaza ni jinsi mataifa hayo ya mashariki ya kati wanavyochukulia kuwa shambulio hilo ni kwa Houth pekee wakati mayahudi wanakusudia kuwatisha wote.
Israel imeanza Gaza na ukingo wa magharibi,imeingia Yemen na itafanya kwengine kwa ubabe bila hao watawala wa mashariki ya kati kuzinduka.
Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuleta mabadiliko kwenye akili za watawala hao na kutamkwa kwake ni kipimo cha kibri cha Israel ikikaribia kuangamia kama ilivyotokea kwa firauni wakati alipozidi uadui na Mungu muda mfupi kabla ya kushikwa na kuangamizwa.
Baadhi ya wachambuzi wenye kufuatilia mizozo ya mashariki ya kati wamesema maamuzi ya Israel kuishambulia Yemen yanaweza kuwa sababu ya kuyapa nguvu makundi yanayopingana nayo na si kinyume chake.
Yemen's Houthi rebels vow open battle with Israel and the U.S., as fears rise of Mideast war
Kijana sikiliza kwanza nilicho ongea kiko wazi hakuna technology yoyote ile Israel anayo yaweza kupeleka F35 Al Houdaida, Yemen bila kurefuel.Kwamba ww una technical knowledge kuliko israel airforce ? Dude pls
kwanza F-35 wanazotumia F-35 ni modified kwa matumizi yao tu, wamechuku airframes waka install mifumo yao according to their needs. And hawana tu F-35 wana fleet kubwa ya ndege nyingine, so kwenye flight sortie hawa fly ndege aina moja.
Sisem israel is the best, but dont under estimate them na experience waliyo gain of all years
Kwanza kulingana na historia yake ya vita, pili kulingana na uwezo wake wa kijeshi.Hiyo ni fact.
Kwa nini unahisi Iran ana uwezo wa kuwapiga misri, Jordan na saudia kwa pamoja?
#free parestine.Wewe huamini kama wanao?
Hakuna mfanano wa makundi na nchi na hautakuja uwepoMfanano upo lakini indirectly kwa sababu Makundi tajwa yapo kwenye nchi na nchi hizo zinayakumbatia na kwa jinsi hiyo nchi yote inajumuishwa kama ndo inashambulia. e.g. HAMAS Wapo Palestina(Gaza) lakini Palestina haiwakatai, Houthi wapo Yemen na Yemen haiwakatai; kwa mantiki hiyo Yemen inajumuishwa kwamba ni Adui na inapigwa.
Iran ni mjanja anawasakizia Waarabu wenzake yeye katulia zake anaangalia ngoma inavyochezwa. Kutoa silaha au materials nyingine za kivita sio hoja sana kwani silaha na vitu bila Watu-Wapambanaji ni kazi bure. Iran anatoa mafunzo/anawafundisha mbinu lakini wanaofundishwa watafundishwa zaidi na IDF kwenye uwanja wa vita halisi.
Nakubali wana siraha nyingi na uzoefu.Kwanza kulingana na historia yake ya vita, pili kulingana na uwezo wake wa kijeshi.
Ndio maana hata mataifa ya kiarabu yalipoombwa bandari zake zitumike dhidi ya Iran zilikataa.
Iran pale middle east ana missile power kuliko taifa lolote.
Na missile power zote ziko active,tena makombora mengine yana uwezo wa kukwepa ADS na kuifikia target.
Pia ana stock ya kutosha.
Sio vya kuagiza kama Houthi.