Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mmewaomba wasishambulie nuke?Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.
BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN
Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.
The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.
Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.
Source: Jerusalem Post
Ndege za Israel mpaka kufika Iran kushambulia na kurudi Israel ni mission hatari na gharama Sana.Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.
BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN
Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.
The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.
Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.
Source: Jerusalem Post
Swali hili jalijawahi kujibiwa na wapenda vita na maadui no wa IsraelTarehe 7/10 wale raia walikuwa na silaha?
Macron na Makafiri wengine kwa pamoja wamekubaliana hakuna kuwasaidia wanamgambo wa Israel.Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.
BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN
Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.
The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.
Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.
Source: Jerusalem Post
Kwanza linatakiwa linakamatwe limeleta matatizo mengi sana duniani.Allah the Arab god kala Kona na kuzama chaka. Allah lioga kama nini.
Kwanza linatakiwa linakamatwe limeleta matatizo mengi sana duniani.Allah the Arab god kala Kona na kuzama chaka. Allah lioga kama nini.
Israel hakuna aliyeitarajia ishambulie vinu vya Iran kwa shambulizi hili lijalo, bali baada ya hili kisha Iran ikajibu ndipo Israel itawazia vinu.Loading…
www.google.com
Israel pekee bila Marekani haiwezi kujaribu vituo vyote vya nyuklia vya Iran bila kusababisha vita.
T14 Armata
Hili zee sijui linalalaga maana sura inazidi kua ya kibabu
Ameshaonywa ole wake arushe hata jiweHaijalishi atashambulia wapi atajibiwa tu.
😂😂Macron na Makafiri wengine kwa pamoja wamekubaliana hakuna kuwasaidia wanamgambo wa Israel.
Wanaogopa kibano toka waajemiKwahiyo mmewaomba wasishambulie nuke?
Wanakondoo walikisifia icho kikao wakizani kitakuja na jibu la kuogopesha ,kumbe watu wanaomba pooKatika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.
BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN
Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.
The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.
Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.
Source: Jerusalem Post
Hakuna lolote waliongea week moja ya nyuma badaye wakasema hawana uhakika. Leo Nya anasema wamemua Hashem Seif Din, viongozi wa kijeshi wanasema hawana uhakika nyau kacha'ngany'ikiwa 😄Hashem Safieddine ameishaliwa kichwa mkuu, nipo na majonzi makubwa,Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Akivifuata na nya kwake vitafuatwa vile vile na mionzi ya Nyukilia ikivuja kwa eneo lile la Israel lilivyo dogo kutakuwa na maafa makubwa sana.Israel hakuna aliyeitarajia ishambulie vinu vya Iran kwa shambulizi hili lijalo, bali baada ya hili kisha Iran ikajibu ndipo Israel itawazia vinu.
Kwa sababu inatarajiwa Israel ikishambulia mara hii nayo Iran itashambulia tena. Ndio maana uwezekano wa Israel kuvifuata vinu unakuwepo.
Karibia atapatikana wakumfunga Paka kengele.Iran wamefanya jaribio la Nyukilia .
Achana na ilm ahera kwenye masjidtul, nenda kapate elimu ya kubumba ya CCM ufute japo ujinga wa kutokujua kuandika.Vile mnaona Lebanon tu lkn uyo zayuni anapokea kipondo chakufa mtu. haifa tel aviv na kwengine shida zayuni kafunga akuna media zinazoonesha na uyo Netanyahu anqjua kwasasa anawidwa na wahuni. hii mbungi tuwe na utulivu tujipe muda yajayo yanafuraisha lkn Israel atoboi kwa hezbollah watajutia sana kuuingia vitani. Sio muda utaona UN lkn mwaka huu siopoa 4week vita itaonesha muelekeo. Leo 8/10/24 tujipe muda. Kufikia 6/11/24 dunia itachangamka.