Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.

BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN

Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.

The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.

Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.

Source: Jerusalem Post
Kwahiyo mmewaomba wasishambulie nuke?
 
Ndege za Israel mpaka kufika Iran kushambulia na kurudi Israel ni mission hatari na gharama Sana.

Labda akisaidiwa wa Marekani ataweza.

Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.

BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN

Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.

The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.

Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.

Source: Jerusalem Post
Macron na Makafiri wengine kwa pamoja wamekubaliana hakuna kuwasaidia wanamgambo wa Israel.
 
Israel pekee bila Marekani haiwezi kujaribu vituo vyote vya nyuklia vya Iran bila kusababisha vita.

T14 Armata
Israel hakuna aliyeitarajia ishambulie vinu vya Iran kwa shambulizi hili lijalo, bali baada ya hili kisha Iran ikajibu ndipo Israel itawazia vinu.

Kwa sababu inatarajiwa Israel ikishambulia mara hii nayo Iran itashambulia tena. Ndio maana uwezekano wa Israel kuvifuata vinu unakuwepo.
 
K
Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu.

BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN

Israel reportedly plans to focus strikes on Iranian military and intelligence bases, including missile and drone sites, rather than its nuclear program.

The shift comes as Israeli officials aim to avoid escalating into a broader regional war, despite recent Iranian missile attacks.

Netanyahu has long prioritized neutralizing Iran’s nuclear capabilities, but sources say Israel will instead target critical military infrastructure.

Source: Jerusalem Post
Wanakondoo walikisifia icho kikao wakizani kitakuja na jibu la kuogopesha ,kumbe watu wanaomba poo
 
Israel hakuna aliyeitarajia ishambulie vinu vya Iran kwa shambulizi hili lijalo, bali baada ya hili kisha Iran ikajibu ndipo Israel itawazia vinu.

Kwa sababu inatarajiwa Israel ikishambulia mara hii nayo Iran itashambulia tena. Ndio maana uwezekano wa Israel kuvifuata vinu unakuwepo.
Akivifuata na nya kwake vitafuatwa vile vile na mionzi ya Nyukilia ikivuja kwa eneo lile la Israel lilivyo dogo kutakuwa na maafa makubwa sana.
 
Vile mnaona Lebanon tu lkn uyo zayuni anapokea kipondo chakufa mtu. haifa tel aviv na kwengine shida zayuni kafunga akuna media zinazoonesha na uyo Netanyahu anqjua kwasasa anawidwa na wahuni. hii mbungi tuwe na utulivu tujipe muda yajayo yanafuraisha lkn Israel atoboi kwa hezbollah watajutia sana kuuingia vitani. Sio muda utaona UN lkn mwaka huu siopoa 4week vita itaonesha muelekeo. Leo 8/10/24 tujipe muda. Kufikia 6/11/24 dunia itachangamka.
Achana na ilm ahera kwenye masjidtul, nenda kapate elimu ya kubumba ya CCM ufute japo ujinga wa kutokujua kuandika.
 
Back
Top Bottom