Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

Kwahiyo mmewaomba wasishambulie nuke?
 
Ndege za Israel mpaka kufika Iran kushambulia na kurudi Israel ni mission hatari na gharama Sana.

Labda akisaidiwa wa Marekani ataweza.

 
Macron na Makafiri wengine kwa pamoja wamekubaliana hakuna kuwasaidia wanamgambo wa Israel.
 
Israel hakuna aliyeitarajia ishambulie vinu vya Iran kwa shambulizi hili lijalo, bali baada ya hili kisha Iran ikajibu ndipo Israel itawazia vinu.

Kwa sababu inatarajiwa Israel ikishambulia mara hii nayo Iran itashambulia tena. Ndio maana uwezekano wa Israel kuvifuata vinu unakuwepo.
 
K
Wanakondoo walikisifia icho kikao wakizani kitakuja na jibu la kuogopesha ,kumbe watu wanaomba poo
 
Akivifuata na nya kwake vitafuatwa vile vile na mionzi ya Nyukilia ikivuja kwa eneo lile la Israel lilivyo dogo kutakuwa na maafa makubwa sana.
 
Achana na ilm ahera kwenye masjidtul, nenda kapate elimu ya kubumba ya CCM ufute japo ujinga wa kutokujua kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…