Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Sawa mie kenge lakini huo ndio ukweli kila silaha anayo rusha hizbollah inatanguliwa na dua na utajo wa Mwenyezi Mungu. Kila statement inayotolewa na wanahabari wa hizbo inaambatana na Aya vilevile kwa hamas na houth na wengineo katika Jihad. Hii kitu uwezi ielewa ukiangalia kwa juu lakin In deep huwezi itnganisha na Uislam abadan
Dah!..
 
Huyu gaidi Israel,alimpiga,akamvalisha nepi,akamsulubu Yesu,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa wana Israel,ije kuwa wengine;ambao hawakutumwa na Mungu,kuwakomboa.
Issa huyo
 
Iron like Lion is zion-bob marley, zionism ni movement iliyozaa taifa la israel,siyo waisrael haswa bali wanajidai wayahudi,mfano netanyahu baba yake ni mpoland akiitwa benzion mileikowsky,alihamia palestine...
Nimesoma uzi wote pamoja na kusoma michango kadhaa ya watu mstari kwa mstari, wengine wana mahaba ya dini, wengine chuki, wengine nimeona wana andika wasivo viamini nk, nimejikuta na comment kwako. Sio kweli kwamba baba yake Netanyahu sio Mu Israeli, baba yao mzee Netanyahu ni mzaliwa wa hapo hapo mashariki ya kati na alikua moja ya marabi wa Kiyahudi (kwa huku kwetu RABI tungemwita askofu au kadhi kwa Waislam) Rabi huyu alikua anasafiri kwenda mataifa mbalimbali yenye Wayahudi wengi including hiyo Poland ulioitaja, alikua anakwenda sana USA kwa kazi hiyo ya kuwafundisha Wayahudi kuhusu dini yao ya Judaism ✡️, alibarikiwa kuzaa watoto kadhaa, maarufu wapo 2, huyu waziri mkuu wa sasa na kaka yake aliyekua anaitwa Jonathan ambaye aliongoza ile the 90 minutes in Entebbe Uganda mwanzoni mwa miaka ya 70; kama kawaida ya wazee wa Kiyahudi wa miaka hiyo walikua wanaona fahari sana moja kati ya watoto wao wa kiume kua mwana jeshi, kama ilivokua hapa kwenye miaka ya nyuma kwa Wakulya wa mkoa wa Mara. Nimesahau kidogo, kati ya Benjamin na Jonathan mmoja wao kazaliwa hapo hapo mashariki ya kati while mwingine alizaliwa USA baba yao akiwa ziarani kwa mafundisho ya kidini. I just wanted to put clear history of this family.
 
Kwani bwana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu? Warumi 8:31
Ila kumbuka sana,Israel sio ndugu yako licha wewe kujipendekeza kwao...hao ni wayahudi sio wakristo wala waislam.Pole kwa kudhani ni ndugu zako.
 
Uyahudi ni dini,paulo ndiyo muhunzi wa ukristu, wayahudi wanachukia ukristu kuliko hata uislam,kuna vitu uyahudi na uislam vinaendana na siyo ukristu unaodai utatu mtakatifu
Hata ukristo uyahud vinaendana mbona.
 
Duh! Hatari kweli kweli, hizbolah si wakubali kushindwa ili athari isiwe kubwa?!
Shetani yupo nyuma yao na anataka wengi zaidi waingie kuzimu hivyo hi vita haiishi leo wale kesho itachukua miaka kadhaa hivyo tegemea Hezbollah, Hamas, Houth, Iran kuendelea kuisumbua Israel kwa miaka kadhaa.
 
2_154.gif

Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
 
Kwanza mpa mda hu inawezekana kafa au hakufa hamna mtu ana dalili? Pili inawezekana Nasurlah na Hezbullah walisha mchora jasusi anaye toa infomation, wakamuambia tunaenda fanya meeting pale ili awafikishie ujumbe US hapo ndio wamnase tena yupo kwenye cabinet yao kabisa. Na uhakika 💯 in US ndio anapiga sio Israel. Wakisha piga wanamuambia Israel target tulio piga ni Nasurlah ndio Israel anajisifia yeye kapiga.

Si ndio ajabu wanadhani kumua Nasurlah ndio wameshinda vita, hawajui Hezbullah ni chama kuna viongozi wasaidizo na akifa Nasurlah mfano yuko Seif Al Dini au Naim Al Qaseem. Hata hao kama mmoja alikuwa na Nasurlah wako wengine wataendeleza kichapo kama kawaida huko Israel.
Mzee wee tukae tu huku kwetu tuendelee kula maharage. Hizo mambo achana nazo
 
Hata laiivyokufa Mulka Afghanustan walidhani ndiyo movie imekwisha. Kimbebe kilichiwawakia moto kwa miaka 20 mfululizo npaka wenyewe wakatoka nduki.
Wewe nenda ulee wajukuu huna dili au utandae mikhanga ukaomboleze huyo gaidi wenu.
 
Now I think Khamenei is a fair target. He will order the strike against Israel which will lead to his death. I fear for the peace of the world.
 
View attachment 3109614
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Well nimeelewa kwamba kumbe hata wale Waisrael wa Oct 07 nao siyo maiti,nao ni wahai kwa sababu walikufa kupitia njia ile ile ya kifo alichokiumba Mwenyezi Mungu.

Maana hawakuyeyuka wala kutoweka ghafla wasijulikane kilichowakuta.
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane

Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:

“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.

Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.

During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.

The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.

The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Waiter tuitie mtu wa jikoni tafadhali....Au mwambie atutengenezee kilo tano rost( kitimoto)
 
Maliza maana hao ni wapalestina walioenda kuchukua nchi ya wakristo na kutengeneza ngome yao
 
Back
Top Bottom