Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kama ni raia wema kwanini serikali yao haiwahamishii sehemu salama huko PalestinaKwa nini Gaza iliishambulia Israeli na kuteka baadhi ya Wayahudi na hawataki kuwaachia?
Ni ujinga kuandika habari za kuegemea upande bila kuzitaja sababu za kwa nini mauwaji yanaendelea kati ya Palestine na Israel
Uchokozi gani kupigania mipaka yako? Ni sawa na kusema Nyerere alikua mchokozi kumfukuza Idd Amin kagera?Myahudi hataki uchokozi tena ni usafi wa kina unafanyika
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?Kwa nini Gaza iliishambulia Israeli na kuteka baadhi ya Wayahudi na hawataki kuwaachia?
Ni ujinga kuandika habari za kuegemea upande bila kuzitaja sababu za kwa nini mauwaji yanaendelea kati ya Palestine na Israel
Mbona Hitler alipochinja wayahudi million 6 hamkusema ni collateral death ila mkaita genocide ilihali Germany ilikua vitani? Ila Israel ikifanyia wengine ndio collateral damage?Nchi iko vitani dhidi ya MAGAIDI, hao ni collateral death siyo murder
Ni hatari, wapalestina wenye akili walishaonyesha kuipinga hamas, inatakiwa Hamas watangaza tumeshindwa vita tunaomba vita viishe na waachie mateka waliobakia ili vita viishe, na siyo kwamba nchi za kiarabu zimeshindwa kumsaidia Palestina, wangeweza lakini wanachoogopa ni kununua ugomvi, unaweza kuingia vitani kumsaidia itaonekana ndo ulimtuna hamas ashambulie Israel 7 Oktoba na kuteka, na inaonekana anasaidiana na hamasa kushikilia mateka, kosa lingine walilolifamyani kufanya maandamano ya kuwapongeza hamas baada ya kuushambulia Israel, kwa picha ile Israel alihisi nazungumza na maadui.Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi la watu risasi na kuua wapalestina 100.
Haya yakiwa yanafanyika kuna watu wanafurahi, wanapenda, wanachekelea na wanatamani hawa wapalestina wasio na hatia wanedelee kuuawa
Taarifa za hilo tukio unaweza kuipata hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=geGQHEiHZPw
Waliyataka walipovamia Israel October 7 walitarajia nini?Hatari sana.
Aljazira hawajawahi hata siku moja kutangaza kwamba wapiganaji wa Hamas wameuawa ila wanatangazaWaliyataka walipovamia Israel October 7 walitarajia nini?
Walitarajia mtasimama nao bega kwa bega muwakemee Israel wasijibu mapigo.Waliyataka walipovamia Israel October 7 walitarajia nini?
Kung'ang"ania mateka ni mbinu ya kupunguza kushambuliwa sana na kuwa na sauti ya kutoa madai hata yasiyowezekana.Kwa nini Gaza iliishambulia Israeli na kuteka baadhi ya Wayahudi na hawataki kuwaachia?
Ni ujinga kuandika habari za kuegemea upande bila kuzitaja sababu za kwa nini mauwaji yanaendelea kati ya Palestine na Israel
Watoke sasa hao hamas waende wakapambane kijeshi kama urusi na Ukraine.Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?