Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Dawa ya gaidi ni kifo tu. October 7,2023. Takbirr zilitawala kila kona, na HAMAS walijigamba wako tayari kupigana, na walijiandaa kwa muda mrefu. Waache wapgane sasa, kufa vitani siyo tatizo. Kumbuka magaidi hawana uniform Israel wanatumia inteligensia. Inteligensia iliwabaini wakiwa wamejichanganya na raia kusubiri msaa wakauwawa.
Dini mchanganye nyie tu.
Tupe tafsiri ya nini maana ya 'Gaidi'

Pili, hiyo intelejensia iliyoweza kubaini watu katika kundi wakigombea mikate kwanini haikuweza kubaini mafunzo ya watu 1000 waliovamia October 07.

Tatu, unajua Hamas wanapigana na USA, France na UK? Nimeuliza zile Fleet carrier mbili mediterrenean zimebeba maharusi? Kwanini zimesafiri kwenda pale? Zile drone za Marekani zinafanya nini Gaza?

Mwisho, nani kasema hili linahusu dini? Udini unatokea wapi Brazil, Argentina, South Africa, Peru, Spain n.,k,

Ukishalitazama tatizo kwa jicho la udini tatizo si tatizo ila wewe ni tatizo !Hizi dini zinawatia upumbavu badala ya werevu. Nani alikwambi kuua ni jambo jema?

Hebu tuanzie hapa maana kuna Watanzania wapumbavu sana, hawajui ilipo Israel au Palestina lakini wapo katika key board.
 
Udini uliuandika wewe, kasome message yako uliyo jibu comment yangu utauona udini ulipoutoa na kuuleta.
HAMAS ni MAGAIDI Utake usitake, hizo maana kajitafutie, na utafsiri upendavyo.
 
Hakuna mahali nimezungumzia upuuzi wa dini! Yes ni upuuzi kwasababu dini zimewapumbaza
Nilichokueleza ni kwamba hakuna vita ya Hamas na Israel, kuna Vita ya Hamas vs Marekani, UK na France
Hayo si maneno yangu ni kauli zao. Nikakueleza katika 'war room' Majenerali waliopo ni wa Marekani
Tena Pentagon imekiri kwamba USA wana Drone zao Gaza na Fleet Carrier mbili pale Mediterrenean

Nadhani maneno Pentagon, Urban Warfare, War room, Fleet Carrier, Mediterenean n.k. unadhani ni maandiko kutoka vitabu vitakatifu na hivyo yameandikwa kwa udini. hapa ndipo tatizo lilipo!

Kama huwezi ku define Ugaidi unaongelea ugaidi gani?
 
Kwanini nipoteze muda wangu ku define ugaidi? Ili iweje na itanisaidia nini? Hayo ya Hamas na Marekani na UK ni maoni yako, sina sababu yoyote kuyachukua au kuyafanyia kazi, baki nayo, jadili utakavyo, na yatumie upendavyo.
Mambo ya dini ulileta mwenyewe, halafu unataka mimi ndiye nikueleze udini umetoka wapi.
Kila lakheri.
 
Back
Top Bottom