Nchi iko vitani dhidi ya MAGAIDI, hao ni collateral death siyo murder. Taarifa za kiinteligensia zinasema walikuwa magaidi waliojichanganya na raia wanaosubiria msaada wa chakula, Ukizingatia magaidi hayana military uniform.
Kuna msemo kwamba ukitaka kumuua mbwa mpe jina. Haya unayosema hapa huna ufahamu nayo
Umesahau wiki mbili Israel waliingi Hospitali na kuua wagonjwa
Umesahau Israel walipiga bomu Hospitali ya Haifa na kuua 500 wakakataa, lakini siku zilivyosonga mbele wameua kila Hospitali iliyopo Gaza
Umesahau Israel walisema Hamas wanatumia Hospitali! miezi 5 hakuna ushahidi
Orodha ni ndefu
Huwezi kupiga Bomu katikati ya watu wanaolilia chakula ukasema 'umeona magaidi' na wewe unakubali upuuzi huo
HAMAS, walisema wana pumzi ya kupigana muda mrefu, Israel ikawapelekea vita chumbani sasa wapigane vizuri. Wanapo ua Muisrael hata mmoja utasikia Allah Akbar kibao, sijui sasa hivi wanaongea nini huko.
Watanzania wana matatizo mengi lakini kubwa ni kufunika akili zao katika mambo ya hisia hasa za dini
Hilo linawafanya washindwe kuona au kutafuta ukweli. tuna matatizo sana ya weledi wa watu wetu!
Hakuna Israel inayopigana na Hamas! Kuna Marekani ikisaidiwa na Ufaransa na Uingereza wakipigana na Wanamgambo wa Hamas. Pentagon wamekiri kwamba katika chumba cha mipango ya vita '' war room' wapo
Drone unazosikia zipo Gaza ni za Marekani, wanakubali wenyewe
Majenerali wa Vita unaowaona katika TV ni zuga, vita inapiganwa na Majenerali wa Marekani.
Kuna meli mbili kubwa za kivita za Marekani kule mediterrenian, unadhani zimebaba Maharusi!
Mabomu yote yasiyo na precision (samahani sijui kama unaelewa) hayatumiwi na Pentagon lakini Israel inayatumia.
Kuvunja majengo inaitwa 'Carpet Bombing' si kutafuta adui bali kutafuta njia ya kupita ili kukwepa kitu kinaitwa '''Urban' warfare'' wala si kutafuta Hamas. Marekani waliwaeleza Waisrael kilichotokea Iraq
Hamas ni wana mgambo tu wanotengeneza 'katushi' uani, hawana msaada mkubwa wa nchi kama UK, France na USA lakini mwezi wa 5 bado Israel inahangika
Hii vita imeonyesha kitu ambacho wengi hawajui, kwamba Israel ni dhaifu sana. Uimara wa Israel ni kupitia USA lakini wenyewe hawawezi kusimama na Hamas , Hezebollah wala Iran au Syria.
Mashamabulizi yote yanayofanywa na Israel yanaratibiwa na USA.
MOSAD hakuna kitu, Waisrael wanakiri wenyewe. Wameshindwa kujua siri ya watu 1000 halafu hadi wanavamiwa!
Tafuta habari usisubiri kusimuliwa! dunia ya leo habari zipo kiganjani lakini inahitaji akili njema kujua pumba , chenga na mchele. Kwani nani anakusimulia habari hizi?
JokaKuu Pascal Mayalla