Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Dogo ushaanza propaganda na mimi sina ubishani sababu warabu walivyo mafala walikua wanajirekodi videos.....wacha hao MAARABU wale kichapo mpaka maji waite muma...!!!

Umeshindwa kuleta hata clip, acha chuki mkuu!

Na usipende kuongea bila kuwa na facts with evidence
 
HATA WAKRSTO NA WAYAHUDI MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA KUPITIA TORATI TAKATIFU NA BIBLIA TAKATIFU IMESHAWEKA WAZI MAARABU NA WAISLAMU WATAJITAHIDI KUJARIBU KUWAFANYE MUWE WATUMWA WAO NA SEX SLAVE NA VIJAKAZI WAO.....DAWA YAO NI KIPIGO TU ILI WASIWAZOEE.
HAPA TANZANIA HASA ZANZBAR WAISLAMU WANAONGOZA KWA KUWACHUKIA WATU WA DINI NYINGINE....WANATAMANI WANGEKUA WAO TU PEKE YAO NCHI NZIMA.
NB: UKIONA MTU ANATAMKA NENO MAYAHUDI NA SIO WAYAHUDI.....NA HATAKI UTAMKE MAARABU.....UKITAMKA MAARABU ANAKASIRIKA....BAS UNAJUA MLENGO WAKE
 
Dawa ya ma ziro brain ni kwendana na uziro wao,ulivyoanza matusi ulitarajia nini,pumbavu hapo ulipo unachojua ni mitusi tu.Wavaa kobasi akili kisoda mnatabirika sana!😟
Hunifikii kwa akili hata upunje.
Nenda kapakatwe unapopakatwagwa
 
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Kuna nyakati za kulia na kucheka.Mwezi Oktoba kulikuwa na nyuzi nyingi sana humu za kuwasifia Hamas kwa kile walichofanya tarehe 07 na wengi walifurahia sana humu.Sisi werevu tukajua ni majira yao ya kucheka.Majira ya Kulia yamewafika nayo yataisha.
Ila kusema ukweli this time wapalestina kwa Muisrael wameyakanyaga.
Tuendelee kumuomba Allah ila naamini ni suala la majira tu.Wenzao walilia wao walipokuwa wanacheka na sasa wao wanalia wenzao wanacheka.
Ni hivyo tu ndugu yangu ndo nature hiyo.
Salamaleko!
 
Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.

Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi la watu risasi na kuua wapalestina 100.

Haya yakiwa yanafanyika kuna watu wanafurahi, wanapenda, wanachekelea na wanatamani hawa wapalestina wasio na hatia wanedelee kuuawa

Taarifa za hilo tukio unaweza kuipata hapa:

Hawa jamaa waaache kabisa kukazana na Madrasa wakazane na shule. Mungu amewabariki akili nyingisana ukigoogle historia ya Baghdad Iraq utajua. Ila walichobarikiwa wanakifocus kwenye ujinga. Nchi nyingi za Uarabuni wataaalamu wanatoka nje wao wanakula maisha tu. Sasa unadhani watawezaje kupambana na wayahudi. Wayahudi wameiteka dunia wamejaa katika serikali zote kubwa za dunia kuanzia Marekani mpaka Urusi. Mimi nilishangaa sana shambulio la Oktoba 2023. Unawasumbuaje Wayahudi wakati hauna hio status katika dunia ? Wayahudi hawasubiri wasaidiwe wanajisaidia wao wenyewe. Mataifa yanaisaidia Israel kwa sababu kuna wayahudi katika ngazi za juu za uongozi katika hayo mataifa. Hamas wakae chini wajipange wakazane na shule na kuinfiltrate western countries. Wazungu wamebweteka wanafundishwa ushoga mashuleni na hawataki kusoma. Ndani ya vizazi vitatu Hamas wanaweza wakashika hatamu ya uongozi katika First world countries. Si mnaona wa-asia wanavyoikimbiza marekani ? Sio wahindi,wakorea, wataiwan au wajapani. Ma CEO wa makampuni makubwa sasa wengi wanatoka Asia.
 
wazungu wa ulaya na urusi na marekani wamebweteka wanafundisha ushoga????
Jichanganye uone mkuu.
Na asia ipi as single country or continental inaikimbiza marekani katika lipi.....military or economically aspect???
Maana mpaka dunia inakwisha USA atabaki top afu wanafuatia wazungu wa URUSI......na kwa USA kila mtu atamchukia na kujaribu kuchukua nafasi yake.....ila ndio hivyo haitawezekana.
 
Tuonyeshe picha ya myahudi mweusi alieuawa na freedom fighters!

Ikiwa lengo lake kuwasadia makafiri wenzie wa kizayuni na ikapelekea kifo chake, basi freedom fighters/Hamas wapo sahihi kufanya hivyo, itakua sio akili nimuangalie adui akiuwa raia then nimuangalie tu.
Mkuu hakuna muyahudi mweusi.....tunazungumzia mdogo wetu mollel......UKIKANA BAS WEWE UNA MATATIZO YA AKILI......INA MAANA WATANZANIA WALIOKUFA HATA CLIP ZAO HUKUZIONA???
 
Ila kusema ukweli this time wapalestina kwa Muisrael wameyakanyaga.
Utakua umezaliwa juzi, kuna wakati wapalestina million 2 walifukuzwa na mpaka leo hawaruhusiwi kurudi Palestine tokea miaka ya 1950s ndio sembuse vifo elfu kadhaa?

Ni hivi, violence haijawahi maliza violence tegemea tu soon kusikia uprising nyingine na nyingine till wapate uhuru wao.

Hakuna kosa kupigania uhuru wako dhidi ya mvamizi. Hata Sauzi walichinjwa sana kma kuku ila hatimaye walishinda uhuru wao
 
Wayahudi wameiteka dunia wamejaa katika serikali zote kubwa za dunia kuanzia Marekani mpaka Urusi
Israel anakua funded na US ndio kinampa kiburi kama tu Assad anavyopewa jeuri na Urusi wala hakuna cha akili au influence. Siku ikitokea China kaingia upande wa Palestine na kaleta meli vita hapo gulf of Aden ndio utaelewa kama issue ni akili au pesa za mmarekani tu.
Unawasumbuaje Wayahudi wakati hauna hio status katika dunia ?
Kwamba huwezi pigania uhuru kisa hauna status? So South Sudan wangekaa tu!! Je Mandela na Nyerere wangekaa tu waendelee kuminywa na wakoloni kisa hawana status? Haupo serious. Hiyo ni geopolitics tu kama Israel ni wababe mbona walishindwa kumng'oa Assad huko Syria? Jibu ni sababu walikutana na Iran plus Russia. That shows you wana limits maana wanajua size yao hawawezi pigana nayo ndio maana wanamuonea tu Palestine.

Issue ni superpower gani yupo nyuma yako basi wala huhitaji elimu au akili kumshinda Israel
 
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Kumbe hata hujielewi,hamas makazi yao ni gaza hata nateka waliwapeleka gaza ulitaka muyahudi awasubiri israel?adui unayemuweza usimuachie mungu,ndugu zako magaidi wa kidini watajuta mwaka huu na bado.
 
Kama al shabab wanatulipua na huko mogadishu wanashangilia na allah akbar kama zote huoni adui yuko visible?
Sheria za vita haziruhusu sasa, vita ni jeshi vs jeshi not otherwise. Yaani unapigana na Hamas ila wewe unaenda kuua wanawake walio kwenye wodi ya kujifungua? Aisee kuna watu mnashangaza sana reasoning zenu kisa mahaba ya kidini.

Imagine huko M 23 wamefanya vita alafu sisi twende tu tuanze kuua wanawake na watoto wenye jamii ya kitutsi huko Goma!! Does it make sense? matokeo yake hamas wamejaa ila wasio na hatia ndio wanakufa.

Cha ajabu alipofanya Hitler kuchinja wayahudi wakasema ni mauaji ya halaiki ila wakifanya Israel unaambiwa "gaza walishangilia". Double standards kwa faida gani?
 
Utakua umezaliwa juzi, kuna wakati wapalestina million 2 walifukuzwa na mpaka leo hawaruhusiwi kurudi Palestine tokea miaka ya 1950s ndio sembuse vifo elfu kadhaa?

Ni hivi, violence haijawahi maliza violence tegemea tu soon kusikia uprising nyingine na nyingine till wapate uhuru wao.

Hakuna kosa kupigania uhuru wako dhidi ya mvamizi. Hata Sauzi walichinjwa sana kma kuku ila hatimaye walishinda uhuru wao
Jino kwa jino ndio sera kuu ya mayahudi mwakahuu wajukuu wa mudi mmeyakanyaga.

Sauzi walidai uhuru ili waishi kwa amani na kila mtu,hamas wanadai uhuru ili wajitegemee wenyewe na kuua wayahudi kama wqlivyoagizwa na alla
 
Sheria za vita haziruhusu sasa, vita ni jeshi vs jeshi not otherwise. Yaani unapigana na Hamas ila wewe unaenda kuua wanawake walio kwenye wodi ya kujifungua? Aisee kuna watu mnashangaza sana reasoning zenu kisa mahaba ya kidini.

Imagine huko M 23 wamefanya vita alafu sisi twende tu tuanze kuua wanawake na watoto wenye jamii ya kitutsi huko Goma!! Does it make sense? matokeo yake hamas wamejaa ila wasio na hatia ndio wanakufa.

Cha ajabu alipofanya Hitler kuchinja wayahudi wakasema ni mauaji ya halaiki ila wakifanya Israel unaambiwa "gaza walishangilia". Double standards kwa faida gani?
Endeleeni na alakbaru mana ndio maagizo ya mungu wenu kuua mayahudi,bila kujua mungu ni fiction character,kichapo kikopalepale magaidi ni uzao hivyo lazima uzo wote ufutwe bila kuangalia sura au umri.
 
Back
Top Bottom