zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wala sio propaganda ni UN resolution ya mwaka 2004 litamka wazi kuwa Israel iondoe walowezi wake ndani ya ardhi ya Palestine hasa westbank.Mkuu uzuri historia ya wayahudi na waarabu wa palestina ipo wazi....!!!
Kauli yako ni ARAB,S AND MUSLIMS STATE OF MIND TOWARDS JEW,S......uzuri we dont buy cheap propaganda against jew,s!!!
Nikisema walowezi naona wengi hamuelewi, ni wale waisrael wanaoishi NDANI ya mipaka ya sasa ya palestina. Wapo zaidi ya laki 5 sasa hao wakipigwa risasi mnadai Palestina imevamia Israel?
Ni ajabu sana