Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Hao wanaouawa si ndio yale magaidi yalioua watanzania sasa na wenyewe wakiuawa kuna shida gani si ngoja na wenyewe wapate wababe wao, shida iko wapi.

Bravo Israel and may Yahweh bless you and give you more strength to liquidate those satanic terrorists.
 
Kanuni iko hivi ukiona mvamizi ana nguvu kuliko wewe ishi naye vizuri, ndio yale yale ya Ukraine kukaribisha maadui wa Russia karibu yake.
Oooh kumbe hata Nyerere angekubali tu ukoloni uendelee sababu wametuzidi nguvu
 
Israel wanacholenga ni Magaidi tu! Sasa kwa kuwa Magaidi wanajificha ndani ya raia, IDF haina choice nyingine ni kupiga tu!
Kimsingi binafsi sifurahii vifo vya Wapalestina wanaouawa bila hatia!
 
Qur’an ilishamaliza kila kitu, Mayahudi na Wakristo hawatakua radhi nasi mpaka tufuate mila zao

Ndio tuyaonayo na kuyashuhudia wakifurahia mauwaji dhidi ya ndugu zetu wapalestina, Iraq, Libya, Afghanistan, Sudan n.k. usiende mbali hapa hapa Tz wasio waislamu wanaishi pamoja na waarabu/waislamu miaka na miaka lakini most of them nyoyo zao bado zimejaa chuki, roho mbaya, ukatili. In short vifua vyao vimejaa chuki.
Funzo Kwa hamas, ugaidi haulipi
 
Israel hajaanza leo kuuwa elewa hivyo na acheni ushabiki

Nendeni mkawasaidie ndugu zenu wacongo wanaouwana kila siku ndio faida na hasara kutokua na IMANI. Ya wapalestina tuachieni sisi ndugu zao.
Wewe una undugu na wapalestina?!🤣🤣
 
Si mlisema wapo kwenye mahandaki, why hamuwasaki huko ila mnapiga mabomu wanawake na watoto wasio na hatia? Duh
Watu huenda vitani kupigania watu wao,ardhi yao. Unapoanzisha vita matokeo yake watu wako wanachinjwa kila siku huku wewe huwezi peleka madhara kama hayo Kwa adui Yako sijui utakuwa unamaanisha Nini.
 
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Kwa sababu hiyo ilitakiwa wananchi wa Gaza wawe pamoja na Majeshi ya Israel na washirikiane kuwatambua na kuwaua hao Magaidi wa Hamas. Tofauti na hapo wananchi nao ni sehemu ya magaidi wa Hamas na wanashirikiana na Hamas wapigana na majeshi ya Israel.
 
Sasa hao al shabab wakikimbilia Mogadishu unafikiri tutaenda kulipua wapi? Watakapokimbilia ni kulipua tu iwe hospital shuleni ama popote tu...
Ndio nikauliza mbona Hitler alipowachinja wayahudi million 6 hamkusema ni sababu walijificha? Ila mlisema ni genocide? Au ndio mkuki kwa nguruwe.......?)
 
Watu huenda vitani kupigania watu wao,ardhi yao. Unapoanzisha vita matokeo yake watu wako wanachinjwa kila siku huku wewe huwezi peleka madhara kama hayo Kwa adui Yako sijui utakuwa unamaanisha Nini.
Kapeleka vita nani? Hamas waliwavamia walowezi wa kiyahudi wanaoishi ndani ya mipaka ya palestina sasa hapo wamepelekaje vita? Ni sawa na Ukraine wanavyovamia warusi ndani ya Ukraine huwezi sema wamepeleka vita!!

Kufukuza mvamizi haijawahi kuwa kosa
 
Hao wanaouawa si ndio yale magaidi yalioua watanzania sasa na wenyewe wakiuawa kuna shida gani si ngoja na wenyewe wapate wababe wao, shida iko wapi.

Bravo Israel and may Yahweh bless you and give you more strength to liquidate those satanic terrorists.
😂🤣🤣
 
Acheni kufuru za ajabu, yaani Mungu anayekataza usiue ndio unamuomba awape nguvu za kuua wamama na watoto wasio na hatia?
 
Kapeleka vita nani? Hamas waliwavamia walowezi wa kiyahudi wanaoishi ndani ya mipaka ya palestina sasa hapo wamepelekaje vita? Ni sawa na Ukraine wanavyovamia warusi ndani ya Ukraine huwezi sema wamepeleka vita!!

Kufukuza mvamizi haijawahi kuwa kosa
Mkuu uzuri historia ya wayahudi na waarabu wa palestina ipo wazi....!!!
Kauli yako ni ARAB,S AND MUSLIMS STATE OF MIND TOWARDS JEW,S......uzuri we dont buy cheap propaganda against jew,s!!!
 
Si waliwaua watanzania hao????
Acha wapigike........🤣🤣🤣🤣
Na mlikua mnashangilia....ww na Faiza foxy??????
Hao wayahudi unajua wameua waafrika kusini wangapi during genocide? Ndio walikua wanawapa makaburu silaha na pesa kuua watu weusi. Na hakuna mahali Israel watu weusi wanaheshimika, wanatuona masokwe tu nashangaa mnavyojikomba kwao.

View: https://youtu.be/jrWLEjPLqVg?si=ctr7vksHgANHU6oH

Msikilize huyo kiongozi wa kidini huko kwa wayahudi akituita manyani
 
Back
Top Bottom