Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

Achananeni na udini kenge nyie, bakini na Imani TU....
 
Hizi vita sasa sio vita tena, ni kama Genocide tyu.

Pande zote zimeshapoteza maisha ya watu kwa maelfu tena wasio na hatia! Na kwa kila kitendo cha unyama anachoeeza kufanta mnyama mwanadamu.

Vita yenyewe, ishatumika mabilioni ya Dollar, karibia kila kifaa cha kijeshi kipo huko Israeli kama sikosei, na walituambia wanaenda kuwaangamiza Hamas, yaani vikosi jeshi vya Hamas kwa nguvu zote, ikiwa ina maana kwa kutumia Vifaa vyote vya kijeshi na teknolojia zake

Wameshindwa nn?

Hamas ni nini au nani?

Sasa kwa maneno kama haya chini, ndio kabisa
Utawala wa kigaidi huko Gaza unazuia uwezekano wowote wa usalama kwa Israel

Kwa hiyo, kwa ajili ya amani na utulivu, Hamas haiwezi kuachwa madarakani."

...naona kile nilichokiamini kinaenda kufanyika Gaza kimefanyika na kitaendelezwa. NI Genocide.

"Hamas haiwezi kuachwa madarakani"

ni statement kubwa na ya kutosheleza.

Kwa tafsiri na maoni yangu nasikia kama amesema,

"Hakuna mpalestina atakae baki huko"

Hiyo ni Genocide.
 
Hizi vita sasa sio vita tena, ni kama Genocide tyu.

Pande zote zimeshapoteza maisha ya watu kwa maelfu tena wasio na hatia! Na kwa kila kitendo cha unyama anachoeeza kufanta mnyama mwanadamu.

Vita yenyewe, ishatumika mabilioni ya Dollar, karibia kila kifaa cha kijeshi kipo huko Israeli kama sikosei, na walituambia wanaenda kuwaangamiza Hamas, yaani vikosi jeshi vya Hamas kwa nguvu zote, ikiwa ina maana kwa kutumia Vifaa vyote vya kijeshi na teknolojia zake

Wameshindwa nn?

Hamas ni nini au nani?

Sasa kwa maneno kama haya chini, ndio kabisa

...naona kile nilichokiamini kinaenda kufanyika Gaza kimefanyika na kitaendelezwa. NI Genocide.

"Hamas haiwezi kuachwa madarakani"

ni statement kubwa na ya kutosheleza.

Kwa tafsiri na maoni yangu nasikia kama amesema,

"Hakuna mpalestina atakae baki huko"

Hiyo ni Genocide.
Wewe hujui maana ya Genocide Naona unafuata tu Mkumba wa waarabu wanapolalama kila siku Genocide!! Harafu wewe Mmatumbi mwenzangu unaiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!! Kwa taarifa yako Gaza hakuna Genocide kabisa hiyo lugha inatumiwa na waarabu kutafuta huruma toka jumuia za kimataifa hakuna uhalisia wowote. Genocide ilikuwa Rwanda na wote tulishuhudia hii ya Gaza ni Genocide ya MICHONGO. Umezungumzia kupoteza maelfu ya watu hiyo ni vita na vita si lelemama. Israel ilivamiwa na magaidi hivyo ni wajibu wake kujilinda kwa gharama yoyote hata kama magaidi watakuwa wanapiga kelele za Genocide lazima wanyukwe Sawa Sawa bila kuangalia Makunyanzi yao
 
Huo mgogoro kuisha kwake ni mmoja kuishiwa nguvu na kupukutishwa kabisa kitu ambacho naona Israel kwa kushirikiana na binamu yake US wanataka wakifanye.
 
Waarabu si watu ni nusu wanyama waangalie hapa wanachofanyiana ni unyama kabisa hivyo hata Israel wawele huruma zao washughulike nao kama wanavyoshughulika na mnyama piga kabisa mpaka wakome kama hawasikii futa kabisa na hakuna kuwaunga jela hawa ni wa kuua tu maana hakuna namna. Wao ndiyo walianzisha hii vita Oct 07,2023 kwa kudanganywa na Iran kuwa wakilianzisha atawasaidia kitu ambacho kimekuja kumshinda. Sasa hivi Israel inachokifanya ni kujibu mapigo tu!!
 
Attachments

  • video_2025-03-05_18-55-32.mp4
    8.6 MB
Waarabu si watu ni nusu wanyama waangalie hapa wanachofanyiana ni unyama kabisa hivyo hata Israel wawele huruma zao washughulike nao kama wanavyoshughulika na mnyama piga kabisa mpaka wakome kama hawasikii futa kabisa na hakuna kuwaunga jela hawa ni wa kuua tu maana hakuna namna. Wao ndiyo walianzisha hii vita Oct 07,2023 kwa kudanganywa na Iran kuwa wakilianzisha atawasaidia kitu ambacho kimekuja kumshinda. Sasa hivi Israel inachokifanya ni kujibu mapigo tu!!
Wote ni walewale tu, shida ya wengi huo mgogoro wameuweka kwenye mlengo wa kidini.
Kila mtu anamtetea mwenye imani sawa na yake huku akimkandia wa tofauti nae.

Kwangu hao wote ni manyang'au tu, Israel anatamani kuwafuta wapalestina na Wapalestina wanataka kumfuta Israel leo kesho.
 
Hizi vita sasa sio vita tena, ni kama Genocide tyu.

Pande zote zimeshapoteza maisha ya watu kwa maelfu tena wasio na hatia! Na kwa kila kitendo cha unyama anachoeeza kufanta mnyama mwanadamu.

Vita yenyewe, ishatumika mabilioni ya Dollar, karibia kila kifaa cha kijeshi kipo huko Israeli kama sikosei, na walituambia wanaenda kuwaangamiza Hamas, yaani vikosi jeshi vya Hamas kwa nguvu zote, ikiwa ina maana kwa kutumia Vifaa vyote vya kijeshi na teknolojia zake

Wameshindwa nn?

Hamas ni nini au nani?

Sasa kwa maneno kama haya chini, ndio kabisa

...naona kile nilichokiamini kinaenda kufanyika Gaza kimefanyika na kitaendelezwa. NI Genocide.

"Hamas haiwezi kuachwa madarakani"

ni statement kubwa na ya kutosheleza.

Kwa tafsiri na maoni yangu nasikia kama amesema,

"Hakuna mpalestina atakae baki huko"

Hiyo ni Genocide.
Haujauelewa muktadha wa Yahudi kukataa mpango wa waarabu.

Tangu kati kati ya vita Netanyahu alishalisema hilo.

Plani yake kubwa ilikuwa abakie Gaza hadi pale atakapohakikisha wapalestina wanaunda Serikali ya kidemokrasia ni siyo hiyo ya magaidi wa Hamas.

Mipango ya sasa ya jumuia za kiarabu ni kuwaimarisha Hamasi kwa misaada na ujenzi, jambo ambalo Nyahu analipinga.
 
Wote ni walewale tu, shida ya wengi huo mgogoro wameuweka kwenye mlengo wa kidini.
Kila mtu anamtetea mwenye imani sawa na yake huku akimkandia wa tofauti nae.
Na
Kwangu hao wote ni manyang'au tu, Israel anatamani kuwafuta wapalestina na Wapalestina wanataka kumfuta Israel leo kesho.
Wewe najua huelewi Israel hana mipango ya kuwafuta wanaojiita wapalestina kwa sababu kwanza kama ulikuwa hujui Israel kuna waarabu zaidi ya Million 2 na wana haki sawa na wayahudi wengine kuna wengine wako Jeshini,Madaktari,Mahakimu na wengine wakurugenzi wa makampuni. Pili Wapalestina ndiyo waliotaka kufanya Genocide kuwafuta wayahudi huku Waki urwa na imani potovu za kidini Tushukuru Mungu magaidi hao walishindwa mapema
 
Sawa mkuu, tukubali kutokubaliana ila binafsi sioni mtakatifu kati ya hao wote washenzi na wauwaji tu.
 
Israel haijawahi kuanzisha vita kwani kule West bank anacheza mdako ?? Huo uanzishwaji wake ulikuwa kwa Terrorism kama vile huelewi , soma historia tafadhali au tukuwekee ??

Vita pekee iliyoanzishwa na Israel ni ya 1956, baada ya Misri kujimilikisha mfereji wa Suez, na kisha kuzuia meli za Israel. Vita nyingine zote zimekuwa zikianzishwa na Waarabu dhidi ya Istael. Vita ya mwaka 1948 ilianzishwa na waarabu dhidi ya Israel. Vita ya mwaka 1967 ni waarabu walianzisha. Vita ya 1973, 1982, 2006 na 2023, vyote vimeanzishwa na nchi au makundi ya waarabu.
 
Haujauelewa muktadha wa Yahudi kukataa mpango wa waarabu.

Tangu kati kati ya vita Netanyahu alishalisema hilo.

Plani yake kubwa ilikuwa abakie Gaza hadi pale atakapohakikisha wapalestina wanaunda Serikali ya kidemokrasia ni siyo hiyo ya magaidi wa Hamas.

Mipango ya sasa ya jumuia za kiarabu ni kuwaimarisha Hamasi kwa misaada na ujenzi, jambo ambalo Nyahu analipinga.
Nimemuelewa.
 
Wote ni walewale tu, shida ya wengi huo mgogoro wameuweka kwenye mlengo wa kidini.
Kila mtu anamtetea mwenye imani sawa na yake huku akimkandia wa tofauti nae.

Kwangu hao wote ni manyang'au tu, Israel anatamani kuwafuta wapalestina na Wapalestina wanataka kumfuta Israel leo kesho.
Kwa mlengo wa kidini, labda kwa upande wa waislam, maana wao wanafundishwa kuwa 'ndugu katika imani ni ndugu zaidi kuliko ndugu wa damu', lakini kwa upande wa Israel, Uyahudi ni miongoni mwa dini ndogo sana Duniani.

Huu uhasama, hautaisha mpaka siku ambapo pande zote zitakubaliana kuwa wanaweza kuishi pamoja kama binadamu, na hasa upande wa wapalestina. Maana Israel imekwishaonesha njia. Kuna waarabu, wakristo na dini nyingine ndani ya Israel wakiishi kwa amani. Wapalestina wangekubali kuwa Taifa moja na Israel kwa makubaliano maalum ili haki zao zipate kulindwa, na wala wasiwe raia daraja la pili. Na tena ili kuondoa hofu yoyote, wapalestina wangepewa makazi maeneo mbalimbali ya nchi, wasiishi pamoja kama kundi tofauti, bali kama raia wengine wa Israel.

Tatizo kubwa ni mataifa ya kiarabu yanayowachochea wapalestina. Maana hata mwaka 1948, waarabu wa Palestine walikuwa wameridhia eneo lote kuwa nchi moja, lakini Misri na mataifa mengine ya kiarabu ndiyo yaliyowashawishi wakatae, wakiwapa matumaini hewa kuwa watawasaidia kuwamaliza Wayahudi wote!!
 
Wewe hujui maana ya Genocide Naona unafuata tu Mkumba wa waarabu wanapolalama kila siku Genocide!! Harafu wewe Mmatumbi mwenzangu unaiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!! Kwa taarifa yako Gaza hakuna Genocide kabisa hiyo lugha inatumiwa na waarabu kutafuta huruma toka jumuia za kimataifa hakuna uhalisia wowote. Genocide ilikuwa Rwanda na wote tulishuhudia hii ya Gaza ni Genocide ya MICHONGO. Umezungumzia kupoteza maelfu ya watu hiyo ni vita na vita si lelemama. Israel ilivamiwa na magaidi hivyo ni wajibu wake kujilinda kwa gharama yoyote hata kama magaidi watakuwa wanapiga kelele za Genocide lazima wanyukwe Sawa Sawa bila kuna Galia Makunyanzi yao
×<MEDIA>@https://www.jamiiforums.com
Sidhani kama umeelewa nilichokiandika.

Na kwa kukurupuka kwako, badala ya kujibu hoja, unanishambulia.

Hata mtoto wa Darasa la tano anajua Genocide ni nini.

Halafu unasema Genocide ya michongo?
Kwa maana hiyo unakubali kwamba ni Genocide, ila ww unaita Genocide ya michongo.

Jiongeze Mkulu.

Acha propaganda na ukome kunishambulia bila ya hoja ya msingi.
 
Nasikitika sana Kila unapotokea mjadala WA Israel vs Palestine wanaibuka watu waliokua brainwashed na kuanza kuleta udini na kupondea upande wanaoona sio wa dini Yao na kuupuuza ukweli....acheni kuwa na ujinga wa kujitakia.😡
Tupe overview yako mkuu
 
Washenzi na wauaji ni Hamas walioianzisha vita Oct 07,2023 na kusababisha madhira makubwa kama haya tunayoyaona leo hii!!
 
Sidhani kama umeelewa nilichokiandika.

Na kwa kukurupuka kwako, badala ya kujibu hoja, unanishambulia.

Hata mtoto wa Darasa la tano anajua Genocide ni nini.

Halafu unasema Genocide ya michongo?
Kwa maana hiyo unakubali kwamba ni Genocide, ila ww unaita Genocide ya michongo.

Jiongeze Mkulu.

Acha propaganda na ukome kunishambulia bila ya hoja ya msingi.
Sidhani kama umeelewa nilichokiandika.

Na kwa kukurupuka kwako, badala ya kujibu hoja, unanishambulia.

Hata mtoto wa Darasa la tano anajua Genocide ni nini.

Halafu unasema Genocide ya michongo?
Kwa maana hiyo unakubali kwamba ni Genocide, ila ww unaita Genocide ya michongo.

Jiongeze Mkulu.

Acha propaganda na ukome kunishambulia bila ya hoja ya msingi.
wewe hujui maana ya Genocide kama wewe unasema hata mtoto wa DARASA la tano anajua basi wewe utakuwa chekechea tu wewe unaongozwa na Mihemko. Na naweza kusema wewe ni zuzu waarabu wanachokisema na wewe unakisema hivyohivyo kwa hiyo wewe imekuwa kama Kasuku tu. Kama kweli unajua maana ya Genocide hebu tuelezee hapa ili tulinganishe na hali halisi ilivyo huko Gaza!!! Najua huwezi kufanya hivyo maana hujui kitu.
 
Sasa mapovu ya nini.

Unakasirika nini na maoni yangu.

Nakwambia hivi ukome kuniparamia kwa kutanguliza mahaba yako na muuaji Benjamin Netanyahu.

########

Maoni ya mtu huwa yanapingwa kwa staha na weledi. So far umeshindwa kufanya hivo.

Kwa hali hio nakuacha na ututusa wako.
 
With regard to the crimes, the [Court’s Pre-Trial Chamber I] found reasonable grounds to believe that Mr. Netanyahu…and Mr. Gallant…bear criminal responsibility for the following crimes as co-perpetrators for committing the acts jointly with others: the war crime of starvation as a method of warfare; and the crimes against humanity of murder, persecution, and other inhumane acts,” said the ICC.

The UN-backed International Criminal Court (ICC) on Thursday issued arrest warrants for Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and former defence minister Yoav Gallant
 
Back
Top Bottom