Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

Nakushauri usome tyu nilichoandika, najua umefanya hivo, lakini na kushauri usome tena uelewe nimefikia vipi kusema, ni GENOCIDE.

Sasa, kwasababu wewe umeleta mada hii kipropaganda, na kwa fikra mgando huwezi afiki. 👈

Kwa msingi huo siezi kukusaidia
 
Sasa mapovu ya nini.

Unakasirika nini na maoni yangu.

Nakwambia hivi ukome kuniparamia kwa kutanguliza mahaba yako na muuaji Benjamin Netanyahu.

########

Maoni ya mtu huwa yanapingwa kwa staha na weledi. So far umeshindwa kufanya hivo.

Kwa hali hio nakuacha na ututusa wako.
Jinga kabisa wewe jibu swali GENOCIDE ni nini? Umekaririshwa harafu unakuja hapa kutuimbia vitu ambavyo huvijui Koma kabisa kutuletea vitu vya kukaririshwa. Hapa Njoo na FACTS tu basi siyo kutuletea taarabu za kijinga eti Genocide wakati hujui hata maana yake au unaona fahari kutamka Neno hilo? Na kwa nini usitamke kwa Kiswahili! Wewe zuzu kabisa!!
 
Nakushauri usome tyu nilichoandika, najua umefanya hivo, lakini na kushauri usome tena uelewe nimefikia vipi kusema, ni GENOCIDE.

Sasa, kwasababu wewe umeleta mada hii kipropaganda, na kwa fikra mgando huwezi afiki. 👈

Kwa msingi huo siezi kukusaidia
Mimi ninachotaka unielezee wewe mwenyewe maana ya Genocide kwa elewa wako harafu ndiyo tuje tulinganishe na yanayotokea huko Gaza ndiyo tutaj Una sasa je Gaza kuna Genocide au la!! Nakusubiri uje!!
 
Umetuwekea hapo Link kwa akili yako kiduchu hiyo ndiyo GENOCIDE? ndugu acha kudhalilisha jukwaa hili nijuavyo mimi hapa wapo Great-Thinkers na kwa UTOPOLO huu uliouweka wewe umeonyesha wazi hujui kitu na unashabikia vitu bila kujua Tumia akili zako vizuri kama zimekushinda basi Mkodishie Ritz azitumie naye zikimshinda atakurudishia.. Kwa taarifa yako tu hiyo Link uliyoiweka si Genocide bali ni tuhuma tu za UHARIFU WA KIVITA na UHARIFU DHIDI YA UBINADAMU allegations of war crimes and crimes against humanity. Tuhuma hizo zote hazina ukweli wowote.
 
Israel
Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje:

"Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya kizamani. Ni vyema kutambua kwamba shambulio la kikatili la Hamas, ambalo lilisababisha maelfu ya vifo vya Waisraeli na mamia ya utekaji nyara, halijatajwa, wala hakuna hatia yoyote ya mauaji na mauaji hayo. tishio hilo linaleta kwa Israeli na eneo hilo.

"Taarifa hiyo inaendelea kutegemea Mamlaka ya Palestina na UNRWA - zote mbili zimeonyesha mara kwa mara rushwa, kuunga mkono ugaidi, na kushindwa kutatua suala hilo."

"Kwa miaka 77, nchi za Kiarabu zimetumia Wapalestina kama risasi dhidi ya Israeli, na kuwahukumu kuwa 'ukimbizi' wa milele."

"Sasa, kwa wazo la Rais Trump, kuna fursa kwa watu wa Gaza kufanya uchaguzi huru kulingana na hiari yao. Hili linapaswa kutiwa moyo! Badala yake, nchi za Kiarabu zimeikataa fursa hii, bila kuipa nafasi ya haki, na kuendelea kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya Israel."

"Shambulio la Hamas dhidi ya Israel limevuruga eneo zima. Utawala wa kigaidi huko Gaza unazuia uwezekano wowote wa usalama kwa Israel na majirani zake. Kwa hiyo, kwa ajili ya amani na utulivu, Hamas haiwezi kuachwa madarakani."

"Israel inazitaka nchi zinazowajibika za kikanda kujinasua kutoka kwa vikwazo vya siku za nyuma na kushirikiana ili kuunda mustakabali wa utulivu na usalama katika eneo hilo."

Israel ni taifa la Kigaidi inapaswa kushughulikiwa kila kukicha ili wakae roho juu maisha yao yote
 
Kwanini hao waarabu wasiwape Eneo la ukubwa huo huo na kuwajengea ili waishi kwa amani?

Je wao wanaona ni sawa kujenga kisha panabomolewa baada ya miaka kadhaa?

Hawa watu wanachukiana na chuki haitaisha kamwe, njia pekee ni kuwaweka mbali
 
Israel

Israel ni taifa la Kigaidi inapaswa kushughulikiwa kila kukicha ili wakae roho juu maisha yao yote
Unaweza kunielezea ugaidi wao ukoje au na wewe umekaririshwa? Kama sivyo Naomba u nieleweshe huo Ugaidi wao!!!
 
Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje:

"Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya kizamani. Ni vyema kutambua kwamba shambulio la kikatili la Hamas, ambalo lilisababisha maelfu ya vifo vya Waisraeli na mamia ya utekaji nyara, halijatajwa, wala hakuna hatia yoyote ya mauaji na mauaji hayo. tishio hilo linaleta kwa Israeli na eneo hilo.

"Taarifa hiyo inaendelea kutegemea Mamlaka ya Palestina na UNRWA - zote mbili zimeonyesha mara kwa mara rushwa, kuunga mkono ugaidi, na kushindwa kutatua suala hilo."

"Kwa miaka 77, nchi za Kiarabu zimetumia Wapalestina kama risasi dhidi ya Israeli, na kuwahukumu kuwa 'ukimbizi' wa milele."

"Sasa, kwa wazo la Rais Trump, kuna fursa kwa watu wa Gaza kufanya uchaguzi huru kulingana na hiari yao. Hili linapaswa kutiwa moyo! Badala yake, nchi za Kiarabu zimeikataa fursa hii, bila kuipa nafasi ya haki, na kuendelea kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya Israel."

"Shambulio la Hamas dhidi ya Israel limevuruga eneo zima. Utawala wa kigaidi huko Gaza unazuia uwezekano wowote wa usalama kwa Israel na majirani zake. Kwa hiyo, kwa ajili ya amani na utulivu, Hamas haiwezi kuachwa madarakani."

"Israel inazitaka nchi zinazowajibika za kikanda kujinasua kutoka kwa vikwazo vya siku za nyuma na kushirikiana ili kuunda mustakabali wa utulivu na usalama katika eneo hilo."
Israel ikubali kuundwa kwa taifa la Palestine kama inataka usalama wa kudumu.
 
Baada ya Oct 07,2023 kitu hicho hakiwezekani kabisa Israel haiwezi tena kukubali mpango wa Two state Solution. Wapalestina wamepambanua wao wenyewe hawataki hiyo Two state solution.wanachotaka wao ni kuliangamiza taifa la Israel!!
 
Janjaweed Arab Millitias wanaoua ndugu zetu Waafrika mbona huwa hawaanzishiwi nyuzi.
 
Hata hili jeshi na polisi ya CCM inayouwa watu kila uchaguzi huku Zanzibar ,haianzishiwi uzi
 
Back
Top Bottom