Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Ni maombi yangu masanamu yote ya Yesu yavunjwe.
Halafu mleta mada una mambo ya kipuuzi.
 
Yupo sahihi anawaonyesha jinsi gani hawataki shobo za wakristo toka Tandahimba
 
Haikubaliki vipi wakati Wagalatia Aslimia 90 ni mateka wa Israel wapo radhi hata Netenyahu hawambie kuleni kinyesi changu wanakula😂
 
Kwani si kila siku walokole na wakristu uchwala mnajifanya kujiita taifa la Israel na mnawatetea wa Israel?

Mara ngapi tunawaambia Israel hawana time na nyinyi mnajipendekeza tu?

Israel ni mayahudi mnajilazimisha kudhani eti nao ni wakristu
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
 
Yupo sahihi hata Yesu mwenyewe angekuwepo angelivunja hilo sanamu ni upumbavu wa madhehebuni siyo INJILI HALISI
 
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
Sema Wakristo wa Africa na West, kamwambie maneno hayo Mkristo yoyote Mwarabu Hapo Lebanon, mwambie maneno hayo Mkristo wa Ulaya Kusini hasa Armenia, Ugiriki etc. Wakristo wengi ambao hawasujudii madhehebu ya west Kama Nyie wanajua udhalimu wa Israel na namna inavyosuport genocide mbalimbali Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…