Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.

(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.

Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!

IMG_4494.jpeg
 
Israel has returned the bodies of about 120 Palestinians to Gaza this week. Health Ministry said the bodies show signs of severe torture and field execution, and pictures show remains with their hands and feet tied and eyes blindfolded.

Miili hiyo iliyorudishwa ni ya Magaidi waliokamatwa walipovamia Israel Oct 07,2023 na walikamatwa ndani kabisa ya Israel wakitekeleza mauaji ya kinyama ya Oct 07,2023.

Hivyo katika purukushani hizo lazima tu warambishwe shaba na nawashukuru wana wa Israel kwa kuwaua wote waliohusika katika uvamizi wa Oct 07,2023 na waliobaki kuna Mahakama yao imeundwa huko Israel ambayo itawahukumu kifo magaidi wote walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 na Sheria ya kuwanyonga imeshapitishwa Mamaeeee!!
 
Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.

(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.

Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!

View attachment 3489688View attachment 3489689View attachment 3489690
Ritz gTurn
 
Acha uongo
Who are the Palestinian captives Israel released?

Waliovamia pia wameachiwa bila masharti hii inaleta jumla ya walioachiwa kuwa zaidi ya 3000 tokea vita hii ianze.
 
Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.

(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.

Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!

View attachment 3489688View attachment 3489689View attachment 3489690
Waislam wa Tanzania waliona ni sawa kabisa.
 
Kazi ipi ya kuua wasiyo husika, ninachokiona mimi IDF na Hamas wote ni magaidi, kwasababu Hamas wameua raia wasiyo na hatia na IDF nawao wamefanya kitendo hicho hicho.
 
Toa upuuzi wako peleka msikitini huko unakoinama ili uabudu.
 
Kazi ipi ya kuua wasiyo husika, ninachokiona mimi IDF na Hamas wote ni magaidi, kwasababu Hamas wameua raia wasiyo na hatia na IDF nawao wamefanya kitendo hicho hicho
Waislam wa Tanzania waliona ni sawa kabisa.
Hao ni baadhi ya waislam na siyo Uislamu.
 
Foreign minister kombo kakaa, kimya. Hata makamba alipiga kimya, waziri w kilimo, bashe nae alipiga kimya
Hakemei ,halaani hauzuniki .

Iko tatizo la uwajibikaji kuubwa sana nchi hii.
,
Eniwei wananchi wanasibiri zamu yenu ikifika wafanye sherehe
 
Back
Top Bottom