Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

▪️ Kuvaa mikanzu

▪️ Kufuga midevu

▪️ Kutumia lugha ya kiarabu

▪️ Kula vyakula vya kiarabu kama matende

▪️Kukaa cheni kwenye mikeka. To mention but few
Je suti, suruali ,fulana unavaa kanzu unachukia na Ndevu unachukia, mbona unatumia simu na k.n ondosha hiyo mipaka ya chuki kuwa huru.
 
Serikali ya Israel leo imeendelea kuwataka magaidi wa Hamas kuziachia maiti za watu waliowaua Oct 07,2023 ikiwemo ya mtanzania Joshua Mollel!!
 

Attachments

  • IMG_20251020_144100_062.jpg
    IMG_20251020_144100_062.jpg
    225.5 KB · Views: 28
Baada ya Magaidi wa Hamas kupigwa kipigo cha Mbwa-koko huko Gaza kilichosababisha wakawaachia mateka wote 20 sasa magaidi hao bado wanashikilia maiti za watu 13 ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel.

Leo hii ilikuwa waachilie maiti za watu wawili lakini dakika za mwisho maiti hizo wamezikatalia
IMG_4562.jpeg
 
Back
Top Bottom