gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Kwanza ilikuaje akakutwa eneo la tukio? Siku hio walipovamia lengo lilikua kuchukua mateka lakin kunawalio uawa katika harakati hizo Tena wengine waliuawa na jeshi LA IDF wenyewe,
Kwanza ilikuaje akakutwa eneo la tukio? Siku hio walipovamia lengo lilikua kuchukua mateka lakin kunawalio uawa katika harakati hizo Tena wengine waliuawa na jeshi LA IDF wenyewe,
Kwani ilikuwaje kwa wale waliokutwa kwenye makazi yao? Suala si ilikuwaje bali walimuua kwa sababu ni Mweusi na si Mwislamu mwenzao.Kwanza ilikuaje akakutwa eneo la tukio? Siku hio walipovamia lengo lilikua kuchukua mateka lakin kunawalio uawa katika harakati hizo Tena wengine waliuawa na jeshi LA IDF wenyewe,
Kwa kweli Hamas ni mashetani. Wale siyo binadamu. Tena walipohojiwa kwa nini waliteka na kuua watu wa mataifa mengine, kama shida yao ilikuwa ni waisrael, wakajibu kuwa wanafanya hivyo makusudi ili wageni waogope kuingia Israel kwa sababu watajua kuwa wakiingia Israel watauawa.Daaah, nimeumia sana saana. Hawa washenzi HAMAS walipaswa KUFA kikatili wote.
Hawawezi kukuelewa. Wanatamani kusikia bwana zao wakipewa sifa nzuri (bothpro Israel and Palestine)Kazi ipi ya kuua wasiyo husika, ninachokiona mimi IDF na Hamas wote ni magaidi, kwasababu Hamas wameua raia wasiyo na hatia na IDF nawao wamefanya kitendo hicho hicho.
Israel kashindwa kuwakomboa mateka mpaa Trump na mataifa ya kiarabu wakamsaidia ili Hamas wawachie mateka.Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.
(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.
Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!
View attachment 3489688
Kwani ilikuwaje kwa wale waliokutwa kwenye makazi yao? Suala si ilikuwaje bali walimuua kwa sababu ni Mweusi na si Mwislamu mwenzao.
Ukumbuke waarabu si watu kama kuua wanaweza kukuua na dunia inakaa kimya lakini wakiuwawa wao kelele ni nyingi sana duniani, Na wakiuana wao kwa wao duniani nzima inakaa kimya kama hakujatokea mauaji yoyote hapo ndipo utajua “NO JEWS NO NEWS”
Waitaly wamecheza huku wakiwalaani na kuwazodoa Kama mbwa alisema mchezaji mmoja kafiri la kizayuni
****************""
— 🇮🇱/🇮🇹 NEW: The Israeli settler football team has officially failed to qualify for the World Cup 2026 after a 3-0 loss to Italy
Three days ago, they lost 5-0 to Norway.
Unaulizwa kingine unajibu vinginee!!@Middle_East_Spectator
Chuki yako inakupelekea mpaka kuchukia kufuga Ndevu haya kasome hili andiko katika Walawi 19:27,Halafu unakuta lipimbi litanzania limefuga midevu kama beberu mwenye harufu linaisifu na kumtetea Hamas huku imemwaga damu isiyo na hatia ya kijana wa kitanzania
Ndiyo maana nimesema Hamas ni wahalifu na IDF nawao ni wahalifu pia wote wameuwa watu wasiyo na hatia sasa wapi nilipo kwepa.Acha kukwepa swali Watoto waliouliwa Oct 07,2023 na magaidi wa Hamas huko Israel wao sawa tu wafe kwa sababu ni wayahudi lakini wakiuwawa waarabu inakuwa Nongwa?
mimi niwe upande wa watu weupe? Hata siku moja sitawahi fanya upuuzi kama huo! Mimi ni kijana wa kikristo ila simshabikii israel maana anaenda kinyume na mafundisho ya yesu.Acha kunichonganisha na watu wewe!! Wewe ndiye Mwarabu-koko!!
Wewe ni mfuga midevu na majini mbaguzi wa rangi najua huwezi kusimama na mtu wa rangi nyingine.mimi niwe upande wa watu weupe? Hata siku moja sitawahi fanya upuuzi kama huo! Mimi ni kijana wa kikristo ila simshabikii israel maana anaenda kinyume na mafundisho ya yesu.
Kwa maana hiyo hutaki kutambua uovu uliofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,203 kwa kujifanya Neutral? Magaidi unaowakumbatia ndiyo walioanza kuua watu na kuteka watu. Israel wakati inajibu wewe ndiyo unalalamika huko ni kukumbatia moto!!Ndiyo maana nimesema Hamas ni wahalifu na IDF nawao ni wahalifu pia wote wameuwa watu wasiyo na hatia sasa wapi nilipo kwepa.
Ama kweli Wafuga Midevu na majini mnadanganyana sana huko Madrasa!! Kwa akili zenu Walawi ndiyo Wamatumbi wa kilwa? Au andiko hilo ndilo linaruhusu ufugwaji wa Midevu?Chuki yako inakupelekea mpaka kuchukia kufuga Ndevu haya kasome hili andiko katika Walawi 19:27,
"Hamtakata ndevu zenu kwa umbo la duara, wala hamtavunja pembe za ndevu zenu."
Je hiyo amri ya kuachia ndevu Yesu aliifuta?Ama kweli Wafuga Midevu na majini mnadanganyana sana huko Madrasa!! Kwa akili zenu Walawi ndiyo Wamatumbi wa kilwa? Au andiko hilo ndilo linaruhusu ufugwaji wa Midevu?
Kama wewe umeshindwa kuijua tu Quran iliyokuahidi Mabikira 72 ukifa ukifanya ugaidi Biblia utaiweza wapi?
Hujajibu alafu unauliza swali wakati andiko nimekupa sasa unakwepa nini Walawi 19:27Hiyo amrita aliwela nani na wapi?
sina haja ya kubishana na wewe! Usijali ignored list yangu inajaa polepole!Wewe ni mfuga midevu na majini magazine wa rangi najua huwezi kusimama na mtu wa rangi nyingine.
Si kweli kuwa wewe ni Mkristo maana ukristo ni upendo unaenda kinyume na wewe ambaye umesema huwezi kusimama na weupe ambao ndiyo waliokuletea huo ukristo wako wa michongo!!
Eti kwa sababu Israel haiendani na mafundisho ya yesu na sijui nani alikudanganya kuwa Israel inaendana na mafundisho ya yesu wako wa michongo!!
Wewe unajulikana wazi kabisa ni Mwarabu-koko ambaye Oct 07,2023 ulifurahia sana mauaji ya Wayahudi na sasa baada ya hamas kushindwa umenuna sana!!!
Inamaana bado hujanielewa wewe ndiyo unatetea uovu kwa kufumbia macho kwa upendeleo, simama kwenye Haki.Kwa maana hiyo hutaki kutambua uovu uliofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,203 kwa kujifanya Neutral? Magaidi unaowakumbatia ndiyo walioanza kuua watu na kuteka watu. Israel wakati inajibu wewe ndiyo unalalamika huko ni kukumbatia moto!!