Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
God bless IsraelHakuna dunian kafiri mbaya Kama mzayuni Bora Shetani
God bless IsraelHakuna dunian kafiri mbaya Kama mzayuni Bora Shetani
Ikiwa wauwaji wamekimbilia kwenye mkowa wenu itafaa kupigwe mabomu ilikulipiza kisasiEcholima1 yupo sahii wewe ndo unapotosha,magaida walikuwa wanajificha nyuma ya raia,ulitaka IDF ifanyaje ili kulipa kisasi?
Inaleta picha mbaya kwa nchi kutokutetea wananchi wake je kama angekuwa mtoto wa kiongozi yeyote ingekaa kimyanitoe maelezo hapa kwa faida ya wengi, tanzania ni nchi huru na isiyofungamana na kundi,nchi,dini wala upande wowote. Tanzania ikilaani tukio la kuuwawa kwa dogo joshua hapo tayari itaonekana inaunga mkono israel ambapo israel yenyewe inatenda unyama dhidi ya binadamu,hivyo sio kwamba haikuliona hilo tukio,ama hailijui bali inalinda ule uhuru wa kutofungamana na upande wowote.
Haki ipo wapi hapo? Oct 07,203 magaidi wa Hamas walivamia na kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 sasa wanapotaka kuwarudisha mateka wao waliotekwa na magaidi wewe Mmatumbi mwenzangu unawaona hawatendi haki!! Kumbe haki kwako ulitaka wawaache tu waue na kuteka watu wao?Inamaana bado hujanielewa wewe ndiyo unatetea uovu kwa kufumbia macho kwa upendeleo, simama kwenye Haki.
Mimi ni MTANZANIA sio mlawi.Chuki yako inakupelekea mpaka kuchukia kufuga Ndevu haya kasome hili andiko katika Walawi 19:27,
"Hamtakata ndevu zenu kwa umbo la duara, wala hamtavunja pembe za ndevu zenu."
Je unakula nyama ya binadamu?.Mimi ni MTANZANIA sio mlawi.
Tanzania tuna tamaduni zetu. Wamasai wanafufa Rasta, wengine wanyoa vipara, kutegemea na tamaduni za kabila husika. Ukiona mtu anakuletea Imani ambayo anakulazimisha ufuate makatazo ya kitamaduni yaliyoambatana na dini hiyo kama vyakula kama nguruwe, uvaaji wa mavazi ya middle east, vyakula ukascha vyako ukafuata vyake na wewe ukakubali basi wewe labda hauna ubongo au sehemu iliyotakiwa kuwa na ubongo Kuna kitu kingine kama kinyesi au makamasi
Linaamrisha niniHilo andiko si la kuwaambia watu wafuge midevu!!
Nenda kumuulize Mchungaji atakusaidia!!! Hii ndiyo shida ya waislamu badala ya kusoma kitabu chao cha Quran wao wanarukia kusoma Biblia ambayo kwao ni msitu mnene mwishowe hupotelea humo kwa kokosa maarifa ya ki Mungu!!Linaamrisha nini
Mkuu inaonekana kusimamishwa kwa vita kumekuumiza sana,ulikuwa uki enjoy kuona mauwaji.. Anyway huyo ndugu na wengine waliouwawa wanawekwa sana kwenye mabango hapa Israel ikiwa kama kuwakumbuka kila mwaka, next time nitakutumia ujionee ... Ila vipi bongo tunamuenzi kama wanavofanya Israel?? Na je vipi wahanga wengine kina Mdude Polepole nk waliojitolea tunawakumbuka?? Kile kinashangaza hapa Israel wayahudi hawanunui nyama au kuku kwenye bucha za wavaa vipedo wanaamini hawachinji badala yake wananunua kwa waarab unalijuwa hili? Mbuzi katoliki wametenga maeneo maalum na wanaokura ni Filipino na waarabu baadui zako,Super market huwezi kuta..waarabu wengi tu hapa na ndio Ma engineering's Restaurant owners, Lingine kumkuta mwarab Mvaa kipedo ni kawaida sana na jina la kiislam Moh Umar nk,ninawasi ukija hapa utajinyonga kwa hasira.Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.
(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.
Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!
View attachment 3489688
Wapi nilipoonyesha kuwa nimeumia kwa kusimamishwa kwa vita? Au kumsemea Joshua Mollel wewe umeumia? Je hutaki mwili wake urejeshwe nyumbani?Mkuu inaonekana kusimamishwa kwa vita kumekuumiza sana,ulikuwa uki enjoy kuona mauwaji.. Anyway huyo ndugu na wengine waliouwawa wanawekwa sana kwenye mabango hapa Israel ikiwa kama kuwakumbuka kila mwaka, next time nitakutumia ujionee ... Ila vipi bongo tunamuenzi kama wanavofanya Israel?? Na je vipi wahanga wengine kina Mdude Polepole nk waliojitolea tunawakumbuka?? Kile kinashangaza hapa Israel wayahudi hawanunui nyama au kuku kwenye bucha za wavaa vipedo wanaamini hawachinji badala yake wananunua kwa waarab unalijuwa hili? Mbuzi katoliki wametenga maeneo maalum na wanaokura ni Filipino na waarabu baadui zako,Super market huwezi kuta..waarabu wengi tu hapa na ndio Ma engineering's Restaurant owners, Lingine kumkuta mwarab Mvaa kipedo ni kawaida sana na jina la kiislam Moh Umar nk,ninawasi ukija hapa utajinyonga kwa hasira.
Ukienda kwenye Jukwaa la siasa unaweza kukuta ingawaje MACHAWA walishaiharibu siasa ya Tanzania!!!Na je vipi wahanga wengine kina Mdude Polepole nk waliojitolea tunawakumbuka??
Nafuata Mila za kwetu ya binaadamu hatuli. Ila Mila zetu nguruwe tunakula ambayo walawi na waarabu hawali, Mila zangu kondoo hatuli lakini walawi na waarabu wanaokula. Hizo ndio tofauti siwezi kupiga makatazo na ruhusa za mababu wa kiarabu na kilswi Bali nafuata makatazo na ruhusa za mababu zangu ambao Nina uhusiano wa damu na waoJe unakula nyama ya binadamu?.
Na wewe si Babu mtarajiwa emburudi katika msingi wa mola wako mlezi Aliye umba Jua ☀️ na Mwezi 🌘Nafuata Mila za kwetu ya binaadamu hatuli. Ila Mila zetu nguruwe tunakula ambayo walawi na waarabu hawali, Mila zangu kondoo hatuli lakini walawi na waarabu wanaokula. Hizo ndio tofauti siwezi kupiga makatazo na ruhusa za mababu wa kiarabu na kilswi Bali nafuata makatazo na ruhusa za mababu zangu ambao Nina uhusiano wa damu na wao
Duuuh ila nyie wafuga majini mnatumiaga matterCall kufikiri naona habari ina muhusu Mtz wewe kutaka ku justify umbumbu wenu (wafuga majini wote mbumbu) una leta vi link uchwara kwann usifungulie Uzi wake hiyo habari yako!?Israel has returned the bodies of about 120 Palestinians to Gaza this week. Health Ministry said the bodies show signs of severe torture and field execution, and pictures show remains with their hands and feet tied and eyes blindfolded.
Quds News Network
Quds News Network (QNN) is the largest independent and comprehensive Palestinian youth electronic news network.qudsnen.co
We fala kitulize Mimi siko hapa kukuhabarisha wewe si lazima nifungue uzi na si lazima wewe uelewe kila nacho Eka humuDuuuh ila nyie wafuga majini mnatumiaga matterCall kufikiri naona habari ina muhusu Mtz wewe kutaka ku justify umbumbu wenu (wafuga majini wote mbumbu) una leta vi link uchwara kwann usifungulie Uzi wake hiyo habari yako!?
MatterCall Yako
MatterCall tu weweWe fala kitulize Mimi siko hapa kukuhabarisha wewe si lazima nifungue uzi na si lazima wewe uelewe kila nacho Eka humu