Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.
(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.
Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!
View attachment 3489688