Tumia akili zako vizuri Oct 07,2023 Magaidi wa Hamqs walivamia na kuua watu zaidi ya 1,200 na kuteka watu 251 wakawapeleka Gaza kama wewe ulitaka IDF ifanyeje?Walichokifanya Hamas ni Ugaidi kwa kuua na kuteka raia wasiyo na hatia na IDF nawao ni Magaidi kwa kushambulia raia wasiyo na hatia.
Inavyo wauwa wasio husika ni sahihiTumia akili zako vizuri Oct 07,2023 Magaidi wa Hamqs walivamia na kuua watu zaidi ya 1,200 na kuteka watu 251 wakawapeleka Gaza kama wewe ulitaka IDF ifanyeje?
Kisasi kinakubalika kwa aliye husika sasa hao watoto wanahusika vipi kwenye hicho kisasiWalivyo muua Joshua Mollel yeye alikuwa anahusika? Au raia wa Israel waliouwawa Oct 07,2023 walikuwa wahusika? Au kwako wewe wasiohusika ni waarabi?
Kwahiyo wauwaji ni watoto ndiyo maana wanauliwa na IDF usitetee uhalifu penye ukweli sema ukweli.Na hao watoto wa kiyahudi waliouwawa Oct 07,2023 au kwako wewe si kitu kitu ni Watoto wa kiarabu tu?
Kwani kombo ni dini gani na hamas nao ni dini ganiForeign minister kombo kakaa, kimya. Hata makamba alipiga kimya, waziri w kilimo, bashe nae alipiga kimya
Hakemei ,halaani hauzuniki .
Iko tatizo la uwajibikaji kuubwa sana nchi hii.
,
Eniwei wananchi wanasibiri zamu yenu ikifika wafanye sherehe
Acha uongo soma hiyo taarifa ya Al jazeera.Hakuna hata mmoja aliye hai aliyeachiwa kati ya waliovamia Oct 07,2023 lakini wavamizi waliouwawa ndiyo mizoga yao imerudishwa maana hawawezi kufikishwa mahakamani na kunyongwa!!
Acha kukwepa swali Watoto waliouliwa Oct 07,2023 na magaidi wa Hamas huko Israel wao sawa tu wafe kwa sababu ni wayahudi lakini wakiuwawa waarabu inakuwa Nongwa?Kwahiyo wauwaji ni watoto ndiyo maana wanauliwa na IDF usitetee uhalifu penye ukweli sema ukweli.
Al Jazeera ndiyo mungu wako? Hakuna gaidi aliyeshiriki mauaji ya Oct 07,2023 aliachiwa iliyoachiwa ni mizoga tu na wafungwa wa makosa mbalimbali ikiwemo ugaidi na waliokuwa wamefungwa gerezani!!Acha uongo soma hiyo taarifa ya Al jazeera.
Wa Tanzania hamkeni dini ni utumwa wa kifikraKwani kombo ni dini gani na hamas nao ni dini gani
Da Hawa wauajiJoshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.
(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.
Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!
View attachment 3489688
Halafu unakuta lipimbi litanzania limefuga midevu kama beberu mwenye harufu linaisifu na kumtetea Hamas huku imemwaga damu isiyo na hatia ya kijana wa kitanzaniaJoshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi yanayofaa ya Kikristo.
(Graphic Warning) Mtaalam wa Ndani wa Kitanzania Joshua Mollel Aliuawa na Kukatwakatwa na Wapalestina tarehe 7 Oktoba.
Harafu anatokea mtu anaunga mkono magaidi hawa!! Mimi kama mimi nawaomba tu Hamas wavunje hayo makubaliano ili IDF warudi huko kumalizia kazi iliyobaki!!!
View attachment 3489688
UmemalizaHakuna dunian kafiri mbaya Kama mzayuni Bora Shetani
asee braza, unapoteza muda wako kubishana na hii takataka echulimu sijui echolemo! Achana na huyu muisrael mweusi!Inavyo wauwa wasio husika ni sahihi