Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

Hakuna maajabu.... Hata huku bongo angeweza tekwa..... Au na huku kwetu Hamas wapo?
 
Inaleta picha mbaya kwa nchi kutokutetea wananchi wake je kama angekuwa mtoto wa kiongozi yeyote ingekaa kimya
 
Inamaana bado hujanielewa wewe ndiyo unatetea uovu kwa kufumbia macho kwa upendeleo, simama kwenye Haki.
Haki ipo wapi hapo? Oct 07,203 magaidi wa Hamas walivamia na kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 sasa wanapotaka kuwarudisha mateka wao waliotekwa na magaidi wewe Mmatumbi mwenzangu unawaona hawatendi haki!! Kumbe haki kwako ulitaka wawaache tu waue na kuteka watu wao?
 
Maislamu ya bongo hutayaona hapa
 
Chuki yako inakupelekea mpaka kuchukia kufuga Ndevu haya kasome hili andiko katika Walawi 19:27,
"Hamtakata ndevu zenu kwa umbo la duara, wala hamtavunja pembe za ndevu zenu."
Mimi ni MTANZANIA sio mlawi.

Tanzania tuna tamaduni zetu. Wamasai wanafufa Rasta, wengine wanyoa vipara, kutegemea na tamaduni za kabila husika. Ukiona mtu anakuletea Imani ambayo anakulazimisha ufuate makatazo ya kitamaduni yaliyoambatana na dini hiyo kama vyakula kama nguruwe, uvaaji wa mavazi ya middle east, vyakula ukascha vyako ukafuata vyake na wewe ukakubali basi wewe labda hauna ubongo au sehemu iliyotakiwa kuwa na ubongo Kuna kitu kingine kama kinyesi au makamasi
 
Je unakula nyama ya binadamu?.
 
Linaamrisha nini
Nenda kumuulize Mchungaji atakusaidia!!! Hii ndiyo shida ya waislamu badala ya kusoma kitabu chao cha Quran wao wanarukia kusoma Biblia ambayo kwao ni msitu mnene mwishowe hupotelea humo kwa kokosa maarifa ya ki Mungu!!
 
Mkuu inaonekana kusimamishwa kwa vita kumekuumiza sana,ulikuwa uki enjoy kuona mauwaji.. Anyway huyo ndugu na wengine waliouwawa wanawekwa sana kwenye mabango hapa Israel ikiwa kama kuwakumbuka kila mwaka, next time nitakutumia ujionee ... Ila vipi bongo tunamuenzi kama wanavofanya Israel?? Na je vipi wahanga wengine kina Mdude Polepole nk waliojitolea tunawakumbuka?? Kile kinashangaza hapa Israel wayahudi hawanunui nyama au kuku kwenye bucha za wavaa vipedo wanaamini hawachinji badala yake wananunua kwa waarab unalijuwa hili? Mbuzi katoliki wametenga maeneo maalum na wanaokura ni Filipino na waarabu baadui zako,Super market huwezi kuta..waarabu wengi tu hapa na ndio Ma engineering's Restaurant owners, Lingine kumkuta mwarab Mvaa kipedo ni kawaida sana na jina la kiislam Moh Umar nk,ninawasi ukija hapa utajinyonga kwa hasira.
 
Wapi nilipoonyesha kuwa nimeumia kwa kusimamishwa kwa vita? Au kumsemea Joshua Mollel wewe umeumia? Je hutaki mwili wake urejeshwe nyumbani?
Na je vipi wahanga wengine kina Mdude Polepole nk waliojitolea tunawakumbuka??
Ukienda kwenye Jukwaa la siasa unaweza kukuta ingawaje MACHAWA walishaiharibu siasa ya Tanzania!!!
 
Je unakula nyama ya binadamu?.
Nafuata Mila za kwetu ya binaadamu hatuli. Ila Mila zetu nguruwe tunakula ambayo walawi na waarabu hawali, Mila zangu kondoo hatuli lakini walawi na waarabu wanaokula. Hizo ndio tofauti siwezi kupiga makatazo na ruhusa za mababu wa kiarabu na kilswi Bali nafuata makatazo na ruhusa za mababu zangu ambao Nina uhusiano wa damu na wao
 
Na wewe si Babu mtarajiwa emburudi katika msingi wa mola wako mlezi Aliye umba Jua ☀️ na Mwezi 🌘
 
Duuuh ila nyie wafuga majini mnatumiaga matterCall kufikiri naona habari ina muhusu Mtz wewe kutaka ku justify umbumbu wenu (wafuga majini wote mbumbu) una leta vi link uchwara kwann usifungulie Uzi wake hiyo habari yako!?

MatterCall Yako
 
Duuuh ila nyie wafuga majini mnatumiaga matterCall kufikiri naona habari ina muhusu Mtz wewe kutaka ku justify umbumbu wenu (wafuga majini wote mbumbu) una leta vi link uchwara kwann usifungulie Uzi wake hiyo habari yako!?

MatterCall Yako
We fala kitulize Mimi siko hapa kukuhabarisha wewe si lazima nifungue uzi na si lazima wewe uelewe kila nacho Eka humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…