Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Umeandika kama vile mshindi Israel? Wakati Isreal yeye ndio aliemuomba mmarekani aingilie kati
Hapo Hezbollah ndo kashindwa kwa sababu lengo lake la kuingia mapiganoni ni kuilazimisha Israeli iache kuishambulia Gaza,Sasa mapigano yanasimamishwa na Irael Bado inabinda Gaza.Pili kampeni ya Israeli kuingia kusini mwa Lebanoni ni kuwasukuma mbali na mpaka Hezbollah na katika makubaliano Hezbollah anaondoka kilimeta kadhaa toka mpakani na kufanya raia wa Israeli walio hama kaskazini warudi na kama Hezbolaah watashambulia sitisho la mapigano linakoma vita inaendelea jambo ambalo serikali y a Lebanon haitaki litokee
 
Toka lini muisrael ashinde alafu akubali ceasefire? Acheni ujinga. Hivi mnaijua Israeli au mnaisikia?

Hapo mmarekani amerusha taulo baada ya kuona kitinda mimba wake anapewa za uso. Israel akilianzisha tena hapo Gaza, Hezbola tutarudi taena kwa nguvu zaidi
 
Eti amfifishe Iran. Mtu kapigwa mpaka kasarenda unafikiri mchezo?

Nawashukuruni hivi hata Hamas tu wakiachiwa huru wawe na silaha Israel hawawezi.

Unasemea Iran? Kama kapigwa na Hizbollah vipi Iran atasubutu kusogea?

ISRAEL JESHI LA MACHOKO, POLENI TAIFA TEULE
 
Toka lini muisrael ashinde alafu akubali ceasefire? Acheni ujinga. Hivi mnaijua Israeli au mnaisikia?

Hapo mmarekani amerusha taulo baada ya kuona kitinda mimba wake anapewa za uso. Israel akilianzisha tena hapo Gaza, Hezbola tutarudi taena kwa nguvu zaidi
Si ndo hapo sasa? Mbona Gaza hajakubali ceasefire? Anajua Hamas ni dhaifu hawana silaha kama Hizbollah

Hizbollah ni moto wa kuotea mbali. Watu wametafutana media zote zinakava ceasefire ya fasta fasta mpaka US president katangaza ujue wamekula kichapo cha maana.

I LOVE YOU HIZBOLLAH. GOOD JOB
 
Washabiki wa Israel leo mko kama mnaaga maiti.
Mashoga yamewaangusha kweli.
Pamoja na Silaha zote kutoka US na West wapi..bado mkachakazwa mpaka maji mkaita mma

Hahaha leo siku nzuri sana.
Iran mbali Hizbollah tu inawatosha
 
Unaishi Ulimwengu wa giza kweli!! Inaonekana hujui hata aliyeomva ceasefire ni nani?

Israel imekubali ombi la Lebanon kusitisha maligano kwa siku 60 tu. Baada ya hapo watafanya tathmini jinsi Hezbollah na Lebanon walivyotekeleza masharti ya Ceacefire. Ikiwa vinginevyo, vita inaendelea.

Lakini ni jambo hema kama Hezbollah watapata angalao hata hekima ndogo ili maafa ya watu wasio na hatia yakome.

Nina hakika ungekuwa huko Lebanon, ungeifurahia sana hatua hii.

Israel imesisitiza kuwa Hezbollah ikikiuka kipengere chochote, ataitwanga tena:

Effective at 04:00 tomorrow local time (02:00 GMT on Wednesday), the fighting across the Lebanese-Israeli border will end," Biden said, adding that it aimed to be a "permanent cessation of hostilities".
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu said Israel will not hesitate to strike if Hezbollah breaks any part of the agreed deal.
Hapa nona umejipangia tu story wala mambo hayapo hivyo
 
Toka lini muisrael ashinde alafu akubali ceasefire? Acheni ujinga. Hivi mnaijua Israeli au mnaisikia?

Hapo mmarekani amerusha taulo baada ya kuona kitinda mimba wake anapewa za uso. Israel akilianzisha tena hapo Gaza, Hezbola tutarudi taena kwa nguvu zaidi
Naona siyo mfuatikiaji kipigo Gaza kinaendelea mpaka wawaachie mateka,na Hezbollah na Iran wameambiwa wasiingilie na wakiinbgilia wanapigwa ndo maana unaona Irani yupo kimya
 
Leo huko Lebanon lazima kutakuwa na sherehe, wanastahiki mapumziko leo.

Wamewafundisha adabu wauwaji wa watoto.

Israel is a nonsense in military
Hezbollah hawajafikia lengo lao la kuizuia isiipige Gaza lkn Israeli wamefikia lengo lao lakuwaondoa Hezbollah mpakani na kuwakatza wasiingilie ugomvi wa Gaza
 
This time Israel ndio imejua nini maana ya vita. Mabomu yanatua Tel Aviv kila siku watu wanalala kwenye bunkers

Huko Askari wanarudi maiti au majeruhi tu
Vifaru vyote choma moto

Kaona isiwe shida..

hahahahhah leo nimefurahi sana yani
 
Toka lini muisrael ashinde alafu akubali ceasefire? Acheni ujinga. Hivi mnaijua Israeli au mnaisikia?

Hapo mmarekani amerusha taulo baada ya kuona kitinda mimba wake anapewa za uso. Israel akilianzisha tena hapo Gaza, Hezbola tutarudi taena kwa nguvu zaidi
Ulisikiliza hotuba ya Netanyahu au Khamenei?
 
Hizbollah kakikundi tu kanaipiga Israel mpaka kusarenda ndani 2 months tu.

Sasa ndio ataiweza Iran?

Taifa teule la machoko
Aliyesarenda ni Hezbollah kwani kakubali kutoishambulia Israeli na kuondoka mpakani,Hezbollah waliishambulia Israeli ili kuizuia Isishambulie Gaza lkn Hilo hawajafanikiwa na Israeli ilisema wakiondoka mpakani itaacha kushambulia Lebanoni jambo ambalo Hezbollah wametii katika makubaliano
 
This time Israel ndio imejua nini maana ya vita. Mabomu yanatua Tel Aviv kila siku watu wanalala kwenye bunkers

Huko Askari wanarudi maiti au majeruhi tu
Vifaru vyote choma moto

Kaona isiwe shida..

hahahahhah leo nimefurahi sana yani
Lengo la Hezibolah lilikuwa ni kuisaidia Gaza lkn wameambiwa wakae mbali nao wametii nani kasikilizea hapo
 
Naona siyo mfuatikiaji kipigo Gaza kinaendelea mpaka wawaachie mateka,na Hezbollah na Iran wameambiwa wasiingilie na wakiinbgilia wanapigwa ndo maana unaona Irani yupo kimya
Watapigwa na nani😜😜😜kama walikuwa na huo uwezo kwanini wamekimbilia ceasefire?? Sahau vita vya gaza kuendelea.
 
Back
Top Bottom