Unaishi Ulimwengu wa giza kweli!! Inaonekana hujui hata aliyeomva ceasefire ni nani?
Israel imekubali ombi la Lebanon kusitisha maligano kwa siku 60 tu. Baada ya hapo watafanya tathmini jinsi Hezbollah na Lebanon walivyotekeleza masharti ya Ceacefire. Ikiwa vinginevyo, vita inaendelea.
Lakini ni jambo hema kama Hezbollah watapata angalao hata hekima ndogo ili maafa ya watu wasio na hatia yakome.
Nina hakika ungekuwa huko Lebanon, ungeifurahia sana hatua hii.
Israel imesisitiza kuwa Hezbollah ikikiuka kipengere chochote, ataitwanga tena:
Effective at 04:00 tomorrow local time (02:00 GMT on Wednesday), the fighting across the Lebanese-Israeli border will end," Biden said, adding that it aimed to be a "permanent cessation of hostilities".
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu said Israel will not hesitate to strike if Hezbollah breaks any part of the agreed deal.