Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

Nanukuu: "Watakua wanasitisha ili kujipanga upya".
Hapana mkuu.
Kitendo cha kusitisha mtifuano ni juhudi za USA na Ufaransa.
Halafu kwenye hiyo ceasefire (Truce)yapo masharti e.g. Usitishwaji ni wa muda wa 60dys halafu tathmini itanyika kuona jinsi masharti yalivyozingatiwa.
Hezbollah hatakiwi aonekane kujipanga kijeshi (Regrouping)na asivuke mto Litani ng'ambo kuelekea Israel kaskazini. Hiyo buffer zone kati ya mto Litani na Israel kaskazini watakuwepo jeshi rasmi la Lebanon (Lebanon Armed Forces) na UN kulinda amani.
Kama Vigezo na masharti visipozingatiwa kama ilivyoainishwa katika makubaliano hayo ngoma inarudi uwanjani.
Ngoma kurudi uwanjani inawezekana maana Israel itakua ishajipanga.
Japo Hizbollah kuondoka Kusini mwa Lebanon ni uongo.
Serikali ya Lebanon imegawanyika na upande ambao anatawala Hizbollah ndio huo .
 
Hiyo ni kawaida ya vita piga nikupige.
Hivi una habari kama Kursk imeshakombolewa na Russia Kwa 46% hadi Sasa!?
Una habari kuwa Russia wanazidi kusonga mbele ndani ya Ukraine mashariki!??


Usitudanganye Kila chombo Cha habari kilionesha kuwa shambulio la Israel Kwa Iran ni totally failure.
Na radar iliyoharibika ilikua moja tu ya s300 ya Khomeini Airport.
Na siku inayofuata satellite ilionesha IRGC ikisambaza mifumo ya anga ya Khordak-15 na Bavaar-373 Kila Kona ya nchi.
Sawa sina muda wa kubishana mambo yapo wazi Irani kanywea hata humsikii kizungumzia mambo Lebanoni,Hezbolah katulizwa
 
Sawa sina muda wa kubishana mambo yapo wazi Irani kanywea hata humsikii kizungumzia mambo Lebanoni,Hezbolah katulizwa
Hizbollah kutulia kunategemea kauli ya Iran.
Muda utaongea tupo hapa tusibishane🙌🙌🙌🙌.
 
We kijana huwa unakurupukaga sana ku comment halafu huwa unajikuta unajuuaaa.
Hizbollah kuondoka Kusini mwa Lebanon sahau hilo.
Pia unatakiwa ujue kuwa Iran haijatoa tamko kuhusu hili,tamko la Iran ndio utakua uamuzi wa Hizbollah.
Hizbollah bado wapo Kusini mwa Lebanon.
Pia unapaswa ufahamu kuwa Hizbollah ni sehemu ya serikali ya Lebanon,hivyo na wao wana maamuzi ya kufanya sio kufanyiwa maamuzi.
Kwasababu hii cease fire deal wamekubaliana serikali ya Lebanon na Israel/USA ikiwa Hizbollah hakuna alichosema wala kujibu.
Hujui kinachoendelea Duniani kama huamini BBC soma hata Al Jazeera utapata ufahamu ndugu
 
Irani naye katulizwa anahangaika kutimiza promise lll
Iran kajichokea maana panyaroad wake kibao wameuwawa na Israel kuanzia Gaza mpaka Lebanon nikikumbuka zile pager, cellphones, laptops, solar panel za panyaroad zilivyolipuliwa na myahudi aisee hiyo jamii ni next level
 
🇹🇷🇮🇱⚡🇱🇧🇸🇾 Erdogan supported Israel throughout the war with the Israeli enemy in Gaza, Lebanon and Syria by sending fuel and raw materials, and now that a 60-day ceasefire has been declared in Lebanon, Israel is focusing on Syria. The Zionists are seeking to weaken and even destroy the Bashar al-Assad government in order to close the route for the transfer of ammunition and weapons to Hezbollah.

As you read in the news, Erdogan's mercenaries have become active and have resumed fighting with the Syrian army forces to challenge the Bashar al-Assad government, which has always supported the resistance.

In fact, Israel failed to achieve its goals in Lebanon and accepted the ceasefire, but now it is seeking to cut off Hezbollah's blood vessels in Syria with Erdogan's help.

🚩 @ResistanceTrench
 
Kazi ya Mrusi hio ndani ya Syria proxy ya US na Israel kuzuia silaha zisiende Lebanon Mungu mwema mzigo utafika tu

— 🇸🇾 🇸🇾 NEW: More than 100 HTS terrorists have been killed by the Syrian Arab Army so far, including many mercenaries of foreign nationalities such as Turks, Uzbeks, Uyghurs (Chinese) and Tajiks

@Middle_East_Spectator
 
🇸🇾 Breaking | The claims by Tahrir and Nusra terrorists of controlling the towns of Andan and Khan al-Assal, west of Aleppo, are false and baseless. These areas and their surroundings are under the complete control of the Syrian Arab Army. A top leader of theirs has been reported killed.

🔹@enemywatch
 
Iran katulia hajatulizwa.
Hakuna mtu wa kumtuliza Iran hapo middle east.
Sawa endelea kuamini hilo sisi tunasubiri Ahadi ya Ayatollah asifirikiri tume sahau,na asipotimiza ameisha atakuwa kama Syria tu

BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo

Kwanini Iran inakabiliwa na maamuzi magumu katika mzozo wake na Israel?​

xx

Chanzo cha picha,Reuters
27 Oktoba 2024
Imeboreshwa 28 Oktoba 2024
Shambulio la Israel dhidi ya Iran linazidisha vita katika Mashariki ya Kati. Kuepuka, au hatari kuongezeka ambayo itafanya hali kuwa mbaya zaidi katika mzozo kati ya Israel na Iran ikiwa miongoni mwa yaliyomo kwenye maamuzi yanayochukuliwa na kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei na washauri wake wakuu.
Lazima waamue chaguo ambalo halitakuwa na athari kidogo kati ya chaguzi ngumu zilizopo.
Kati ya chaguzi walizonazo ni kushambulia kwa wimbi jingine la makombora ya balestiki. Israel tayari imetishia kulipiza kisasi tena iwapo hilo litatokea.
Upande mwingine ni kuamua kuwa na mpaka chini ya mashambulizi mbaya ya moja kwa moja ya pande zote mbili kwenye maeneo yao.
Hatari kwa Iran ikiwa itajizuia kujibu shambulizi la Israel ni kuonekana kuwa dhaifu, kutishwa na kuzuiwa na nguvu za jeshi la Israel inayoungwa mkono na Marekani.
Mwishowe, kiongozi mkuu na washauri wake wana uwezekano wa kuchukua uamuzi ambao, kwa maoni yao, utakuwa na madhara kidogo kwa utawala wa Kiislamu wa Iran.
Soma zaidi:

Vitisho vitupu?​

.

Chanzo cha picha,EPA
Vyombo vya habari rasmi vya Iran saa chache kabla na baada ya mashambulizi ya Israel zilizungumzia taarifa za dharau ambazo, bila kuzifikiria kwa undani, zinaonyesha uamuzi wa kujibu tayari umechukuliwa.
Lugha yake inafanana na ya Israel, ikitaja haki yake ya kujilinda dhidi ya mashambulizi. Lakini hatari kwa uamuzi huo iko juu sana kiasi kwamba Iran inaweza kuamua kutotimiza vitisho vyake.
Hayo ni matumaini ya Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer, ambaye naye pia aliunga mkono msisitizo wa Marekani kwamba Israel imechukua hatua ya kujilinda.
"Nazungumza kwa uwazo kabisa kwamba Israel ina haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi wa Iran," alisema. "Niko wazi vile vile kwamba tunahitaji kuepuka kuzidisha mzozo wa kikanda na kuzitaka pande zote kujizuia. Iran haipaswi kujibu."
Matamshi ya Iran yenyewe yamekuwa thabiti tangu kombora lake la balistiki dhidi ya Israel tarehe 1 Oktoba. Wiki moja iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliambia mtandao wa NTV wa Uturuki kwamba "shambulio lolote dhidi ya Iran litazingatiwa kuvuka mstari mwekundu kwa ajili yetu. Shambulio kama hilo halitakosa kujibiwa."
Saa chache kabla ya mashambulizi ya Israel, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmail Baqai alisema: "Uchokozi wowote wa utawala wa Israel dhidi ya Iran utakabiliwa kwa nguvu zote." Alisema, ilikuwa, "kupotosha sana na isiyo na msingi" kupendekeza kwamba Iran haitajibu mashambulizi kidogo ya Israel.
Wakati ndege za Israel zilipokuwa zikirejea kwenye kambi, wizara ya mambo ya nje ya Iran ilizungumzia haki yake ya kujilinda "kama ilivyoainishwa katika Kifungu cha 51 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa". Taarifa ilisema Iran inaamini kuwa ilikuwa na haki na wajibu wa kujibu vitendo vya uchokozi kutoka nje ya nchi.

Mabadilishano mabaya​

Israel imeonyesha kuwa tayari kuzidisha mzozo tangu mwanzoni. Inaiona Iran kama muungaji mkono muhimu wa mashambulizi ya Hamas yaliyoua takriban watu 1,200 - Waisrael na zaidi ya raia 70 wa kigeni - tarehe 7 Oktoba mwaka jana.
Kwa kuhofia kuwa Israel ilikuwa inatafuta nafasi ya kushambulia, Iran ilionyesha mara kwa mara kwamba haitaki vita kamili na Israel.
Hiyo haikumaanisha kwamba ilikuwa tayari kukomesha shinikizo lake la mara kwa mara, ambalo mara nyingi linakuwa baya, badala yake ilikuwa inapunguza shinikizo kwa Israel na washirika wake.
Watehran walidhani walikuwa na wazo bora kuliko vita vya pande zote. Iran ilitumia washirika wake katika kile kinachoitwa "mhimili wa upinzani" kushambulia Israel.
Wahouthi nchini Yemen walizuia na kuharibu meli katika Bahari ya Shamu. Milio ya roketi ya Hezbollah kutoka Lebanon iliwalazimu Waisrael 60,000 kutoka makwao.
Miezi sita baada ya vita, kulipiza kisasi kwa Israel kuliwalazimu mara mbili ya Walebanon kutoroka makazi yao ya kusini, na si hayo tu, kwasababu Israel ilikuwa tayari kufanya mengi zaidi.
Ilionya kwamba ikiwa Hezbollah haitasitisha mashambulizi yake dhidi ya Israel na kurudi nyuma kutoka kwenye mpaka itachukua hatua.
Iran ikiwa kwenye vita vyake vya kimkakati.
Iliishia kuwa mfululizo wa mapigo makali ambayo yaliuvuruga utawala wa Kiislamu mjini Tehran na kuuacha mkakati wake katika hali tete. Ndio maana, baada ya shambulio la hivi punde la Israel, viongozi wa Iran wana maamuzi magumu tu.
Israel ilitafsiri kusita kwa Iran kupigana vita vya kila upande kama udhaifu, na ikaongeza shinikizo kwa Iran na washirika wake. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na makamanda wa Israel wanaweza kumudu kuchukua hatua ambayo inaweza kuhatarisha hali.
Walikuwa na uungwaji mkono usioyumba wa Rais Joe Biden, ambao sio tu unaandamana na uwasilishaji mkubwa wa silaha, lakini pia kwa uamuzi wake wa kutuma vikosi muhimu vya majini na kwenye anga vya Marekani katika Mashariki ya Kati ili kuunga mkono dhamira ya Marekani ya kuilinda Israel.
Tarehe 1 Aprili shambulizi la anga la Israel liliharibu sehemu ya jumba la kidiplomasia la Iran huko Damascus, mji mkuu wa Syria. Ilimuua kamanda mkuu wa Iran, Brig Jenerali Mohammed Reza Zahedi, pamoja na maafisa wengine wakuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC).
,

Chanzo cha picha,Reuters
Lakini tangu majira ya kiangazi, Israel imezidisha mara kwa mara vita na Iran na washirika wake. Pigo kubwa zaidi ilikuwa katika mashambulizi makubwa dhidi ya mshirika muhimu wa Iran, Hezbollah nchini Lebanon. Iran imetumia miaka mingi kujenga safu ya silaha za Hezbollah kama sehemu muhimu ya ulinzi.
Wazo lilikuwa shambulio la Israel dhidi ya Iran lingezuiwa na maarifa kwamba Hezbollah ingeishambulia Israel kutoka juu ya mpaka wa Lebanon.
Lakini Israel ilichukua hatua ya kwanza, kutekeleza mipango iliyokuwa imeweka tangu Hezbollah ilipopigana nayo katika vita vya mwaka 2006.
Ililipua vifaa vya mawasiliano na mazungumzo ambayo ilikuwa imewalaghai Hezbollah kununua, ikavamia kusini mwa Lebanon na kumuua kiongozi wa Hezbollah Sheikh Hasan Nasrallah, mtu ambaye alikuwa ishara ya upinzani mkali kwa Israel kwa miongo kadhaa.
Mamlaka mjini Beirut inasema kuwa mashambulizi ya Israel nchini Lebanon hadi sasa yameua zaidi ya watu 2,500, na kuwafanya wengine zaidi ya milioni 1.2 kuyahama makazi yao na kusababisha uharibifu mkubwa kwa nchi ambayo tayari imesambaratika baada ya uchumi wake kuporomoka kwa kiasi kikubwa.
Hezbollah bado inapigana na kuwaua wanajeshi wa Israel ndani ya Lebanon na kurusha idadi kubwa ya makombora. Lakini inayumba baada ya kumpoteza kiongozi wake na idadi kubwa ya silaha zake.
Ikikabiliwa na kuporomoka kwa mkakati wake, Iran ilihitimisha kuwa lazima ilipize kisasi. Kuruhusu washirika wake kupigana na kufa bila kujibu kunaweza kuharibu nafasi yake kama kiongozi wa vikosi vya kupambana na Israel na Magharibi katika eneo hilo.
Jibu lake lilikuwa shambulio kubwa zaidi la kombora la balestiki dhidi ya Israeli mnamo Oktoba 1.
Mashambulio ya anga ya Ijumaa tarehe 25 Oktoba yalikuwa jibu la Israel. Walichukua muda mrefu kujibu kuliko wengi walivyotarajia. Kuvuja kwa mipango ya Israel kunaweza kuwa sababu.
Israel pia inafanya mashambulizi makubwa kaskazini mwa Gaza. Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk ameutaja wakati mbaya zaidi wa vita vya Gaza, huku jeshi la Israel likiwaweka watu wote kwa mashambulizi ya mabomu, kuzingirwa na hatari ya njaa.
Ni vigumu kwa mtu wa nje kujua kama muda wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran ulikusudiwa kuvutia nadhari kimataifa kutoka kaskazini mwa Gaza. Lakini inaweza kuwa sehemu ya mipango yake.
Soma zaidi:
Imetafsiriwa na Asha Juma

Mada zinazohusiana​

Habari kuu​

Gumzo mitandaoni​

Iliyosomwa zaidi​

  1. 1
    Kwanini usitishaji mapigano wa Lebanon ni ahueni na sio suluhu kwa mzozo wa Mashariki ya Kati?
  2. 2
    Tetesi za soka Ulaya: Liverpool na Real Madrid wafanya mazungumzo kuhusu mustakbal wa Alexander Arnold
  3. 3
    Kwanini paka weusi wanahusishwa na uchawi na bahati mbaya?
    Imeboreshwa mwisho: 22 Agosti 2023
  4. 4
    Kwanini nyota wa Westham huvalia jezi yenye muundo tofauti?
  5. 5
    Maana zilizofichika katika mchoro wa utupu wa karne ya 16
BBC News, Swahili
© 2024 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
 
Hapo Litani river Kwani mara ya kwanza Israel kufika!?
Hata mwaka jana December si walifika wakarudi nyuma na kuondoka!?
Kufika ndio kuikalia ama kuichukua!?
Waweke buffer zone kama wao wanaume kweli uone balaa lake.
Ushaambiwa "over a decade" ww unasema mwaka Jana au lugha ni tatizo?
Unahisi huko Litan river wamefikaje kama sio baada ya kuwapelekea moto wa kutosha hao Hizbullah?
 
Hizbullah haiwezi kukubali kusimamisha mapigano bila baraka kutoka Iran ,unapo ona wame kubali kusimamisha mapigano ujue na Iran kalidhia.
Alafu kwa sasa Iran ina silaha zenye uwezo mkubwa wa kuipiga Israel moja kwa moja ,hivyo uhitaji wa kuwa makundi yaliyoko karibu na mipaka ya Israel unapungua.

ITR , toa balanced views, unaposema Iran ina uwezo wa kuipiga Israel moja kwa moja, kwa nini isiipige, toka mapinduzi ya Iran yafanyike 1978, kauli mbiu yake yote imekua ni "Death to America" Kwa sababu ndio yuko nyuma ya Israel, na wanajua hivyo....Je Leo America imekuwa n kikubwa ni Marekani! Kama wana uwezo wa kuipiga Israel, ina maana wanauwezo wa kuifuta Marekani! Ni akili ya mwendawazimu tu inaweza fikiri hivyo!

Na unaposema uhitaji wa Makundi yaliyopo karibu na Israel unapungua, Mkuu hata kama una mapenzi makubwa Hamas au Hezbollah, Ukweli ni kwamba vikundi hivyo vimeshindwa kabisa kutimiza malengo ya Iran! Ni kweli havijateketezwa 100% lakini vimeshindwa, ile support kubwa toka Iran haijaletea matunda! Na Kwa upande wa Hezbollah, vita vikiendelea hata nguvu yake ndani ya Lebanon inapungua na iatazidi kupungua. Hezbollah wanajua hilo na Iran pia!

Iran imeridhia, si kwa kutaka, wala uwezo wao wa Kijeshi, ni muda wa kujipanga upya! Hezbollah imemwangusha Iran, na ujio wa Trump haujulikani utaleta nini! Hezbolah imeangalia yote hayo! Na Israel nayo imekubali kumridhisha Biden, maana azimio lolote likipishwa UN bado wahahitaji Veto ya US, na ukumbuke pia Biden anaondoka Middle East hana legacy yoyote ile! Hivyo angalau aache hata kumbukumbu alisimamisha mapigano Lebanon.

ITR....Pitia source zote BBC/Ajazeera/CNN uone kila upande nikiwa na maana, Hezbollah/Israel /Biden kuna kitu anakipata katika mapatano haya.
 
Back
Top Bottom