Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

unaweza ukanionyesha ni kifungu gani kwny BIBLIA knasema ushoga kwa wakristo ruksa kama hakipo hlo lina uhusiano gn na KANISA? hayo ni matakwa bnafsi ya wanadamu si ukristo ukitaka ujua ukristo na MUNGU wao anasemaje ni ndani ya BIBLIA TU na si vngnevyo huna kielelezo toka huko usnletee mambo ya mwanadamu hapa hata huko misktini mnafirana sn wazanzibar 99% ni waislam bt huko ndiko wanafukuana na kufukuliwa tope vilivyo, na upunguze kukurupuka papa si kiongoz wa ukristo ni kiongoz wa dhehebu la wakatoliki, nenda tanga palipo na waislam wengi machoko yamejaa kama yote au kwa vile wanafundshwa na shetani allah bs haina shda au siyo, kule mnakoendaga kuhiji kwa jiwe jeusi allah shetani panalindwa na mnaowaita makafiri marekani shetani allah jiwe jeusi kashndwa jilinda
Machoko mengi tu arusha, kilimanjaro, shinyanga, wakatoliki ndiyo ukristu wenyewe,ndiyo waliokusanya biblia na ndiyo wanaoihariri,ndiyo waasisi wa utatu mtakatifu,msalaba nk,kupinga ukatoliki ni kupinga ukristu
 
mkishafirwa na majini huko masjid mnarukagwa na akili kbs ndo maana hata hamjui ktu khs hata mtume wa shetani allah kwmb aliukuta ukristo upo hakuwakuta hao akna papa wala ukatoliki aliukuta ukristo na waliomlea walikuwa ni wakristo hata nduguze walikuwa ni wakristo alifanya biashara na wakristo kabla hajaingiliwa na shetani allah kuanzsha dini ya wanafki eti mwezi rama mnajdai watakatifu huku mkijiapza mfungo ukiisha pombe na madanga yatakoma, JE WAJUA DAFTARI KURAN LILIANDKWA MUDI AKIWA ASHAENDA JEHANAM MAANA YAKE HAKUHUSKA KBS ndo hayo sasa uko peponi kwny mapepo mnakoenda kuna mito ya gongo na wanzuki na manungaiyembe au machangudoa kama yote kila mmoja atapata 72. hakika allah ndiye shetani.
 
October the 7th,itabaki kwenye kumbukumbu za Wapalestina daima. Hawatakaa waguse sharubu za Simba alielala daima
Ni kweli , Simba alikua kalala zake kimyaa wakamshika sharubu.
Sasa ni kilio kila mahali.
Tena hiki kisasi bila uangalizi Israel angetokomeza kila kitu kihuni tu.
Washukuru Mungu kuna Nchi zinapooza mambo,si kwa ajili ya Hammas,
Ni kwa ajili ya watoto na wazee ambapo watoto watakua magaidi badae, wazee ni hao watoto wao magaidi.
ndo mana Muisrael anafuta kilakitu.
Kuna mtoto kabisa wa kike siku naingia kwangu nipande lift kani-attack na bunduki ya toy kanilenga kwenye moyo na alipatia ingawa ilikua maji.
ila nilishtuka sana.
Namfata babaake siku kwamba ndo unalea wanao hivi?
Kanijibu eti ni mtoto tu.
Nilimjibu siku nikimtwanga counter-attack useme pia ni mtoto tu.
 
🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza.

Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.View attachment 3273001
Dunia imekua ajabu sana. Yaani mtu anashadadia binadamu mwenzake kuuawa utafikiri anasimulia mauaji ya mmbu wa malaria.
 
mkishafirwa na majini huko masjid mnarukagwa na akili kbs ndo maana hata hamjui ktu khs hata mtume wa shetani allah kwmb aliukuta ukristo upo hakuwakuta hao akna papa wala ukatoliki aliukuta ukristo na waliomlea walikuwa ni wakristo hata nduguze walikuwa ni wakristo alifanya biashara na wakristo kabla hajaingiliwa na shetani allah kuanzsha dini ya wanafki eti mwezi rama mnajdai watakatifu huku mkijiapza mfungo ukiisha pombe na madanga yatakoma, JE WAJUA DAFTARI KURAN LILIANDKWA MUDI AKIWA ASHAENDA JEHANAM MAANA YAKE HAKUHUSKA KBS ndo hayo sasa uko peponi kwny mapepo mnakoenda kuna mito ya gongo na wanzuki na manungaiyembe au machangudoa kama yote kila mmoja atapata 72. hakika allah ndiye shetani.
Mbona unaongea kama mtu mwenye mtindio wa ubongo!?.. muhammad kazaliwa 570AD,hapo washapita mapapa kibao,hakuwa na ndugu mkiristo,ubudha na uhindu,uyahudi ni imani za kale kabla ukristu, mbona huzifuati ikiwa ukale ni wa maana!?

Ukitaka na wewe funga halafu ukimaliza kufunga usizini wala kulewa,au laa endelea kupakwa mafuta ukimuabudu msela wa bethlehem aliyesulubiwa kama paka mwizi
 
unaweza ukanionyesha ni kifungu gani kwny BIBLIA knasema ushoga kwa wakristo ruksa kama hakipo hlo lina uhusiano gn na KANISA? hayo ni matakwa bnafsi ya wanadamu si ukristo ukitaka ujua ukristo na MUNGU wao anasemaje ni ndani ya BIBLIA TU na si vngnevyo huna kielelezo toka huko usnletee mambo ya mwanadamu hapa hata huko misktini mnafirana sn wazanzibar 99% ni waislam bt huko ndiko wanafukuana na kufukuliwa tope vilivyo, na upunguze kukurupuka papa si kiongoz wa ukristo ni kiongoz wa dhehebu la wakatoliki, nenda tanga palipo na waislam wengi machoko yamejaa kama yote au kwa vile wanafundshwa na shetani allah bs haina shda au siyo, kule mnakoendaga kuhiji kwa jiwe jeusi allah shetani panalindwa na mnaowaita makafiri marekani shetani allah jiwe jeusi kashndwa jilinda
Biblia ni kitabu kilikuwepo kabla yesu hajaziwa,hakihusiani na ukristu
 
Dunia imekua ajabu sana. Yaani mtu anashadadia binadamu mwenzake kuuawa utafikiri anasimulia mauaji ya mmbu wa malaria.
Magaidi si binadamu ni sawa tu na wanyama hawana tofauti kabisa angalia tu hapa wao kwa wao wanavyouana kama wanyama. Waarabu hovyo sana!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    1.2 MB
  • IMG_0554.mp4
    2.4 MB
  • telegram_video.mp4
    2.4 MB
Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
Hawa jamaa bhana, wakati wa kukabidhi mateka wanavaa kombati kama askari wa ukweli, lakini wakati wa vita wanavaa kama raia au waandishi wa habari, madokta na UNRWA.
 
Mbona unaongea kama mtu mwenye mtindio wa ubongo!?.. muhammad kazaliwa 570AD,hapo washapita mapapa kibao,hakuwa na ndugu mkiristo,ubudha na uhindu,uyahudi ni imani za kale kabla ukristu, mbona huzifuati ikiwa ukale ni wa maana!?

Ukitaka na wewe funga halafu ukimaliza kufunga usizini wala kulewa,au laa endelea kupakwa mafuta ukimuabudu msela wa bethlehem aliyesulubiwa kama paka mwizi
Kama paka mwizi!!! Ndiyo maana kweli mnąca gany wa kuwa ukifa unafanya Ugaidi unakabidhiwa Mabikira 72 uwabikiri Nani kwa kupenda NGONO kweli mnakubali ujinga huo!!
 
Raia wa palestina wasiopungua 30 wameripotiwa kuuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza, ikiwa ni mashambulizi makubwa zaidi tangu kuanza kwa makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas Januari 19.

Luteni Jenerali wa Marekani Alexus Grynkewich amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen yamesababisha vifo vya wapiganaji kadhaa wa Houthi. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema watoto wawili, wenye umri wa miaka sita na minane ni miongoni mwa waliofariki.

Waziri wa Israel aonya 'milango ya kuzimu' itafunguliwa Gaza Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Israel Katz, amesema milango ya kuzimu itafunguliwa Gaza ikiwa Hamas haitawaachia huru mateka wote ambao bado wanashikiliwa katika ardhi ya Palestina.

GmSL-GhXgAEhF2h.jpg

Israel itaanzisha vikosi dhidi ya Hamas ambavyo "hawajawahi kuvijua hapo awali", waziri huyo anaripotiwa kusema.

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imesema Israel imeanza tena operesheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza baada ya Hamas kukataa pendekezo la Marekani la kuongeza muda wa usitishaji mapigano, kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Axios Barak Ravid.

Israel na Hamas zimekuwa zikishiriki katika mazungumzo ya upatanishi baada ya Israel kukataa kuingia katika awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano, ambayo yalikusudiwa kuanza kufuatia awamu ya kwanza, ambayo ilidumu kwa wiki sita.
 
View attachment 3274605

Huzuni sana kwakweli.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.
 
M

Hao mateka ni chambo, lengo ni kuwaangamiza Hamas na kuongeza eneo la Israel
 
Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.

Unaamini mateso wanayoyapata mateka Waisrarl ni zaidi ya wanayopata Hamas na Wapalestina?

Hao mateka wenyewe waliwachukua katika tendo lile la ushetani mkubwa la Oct 7 ambapo hawa magaidi walifanya uharamia ulr mkubwa kwa kutumia wapiganaji 5,000 ambai wengi wao walishauawa. Waliyoyatarajia hawakuyapata na wala hawawezi kuyapata kwa kuendelea kuwashikilia hao mateka. Maelfu ya watu wanaendelea kupoteza maisha, si aheri kuwaachia tu hao mateka ili kunusuru maisha ya waliosalia? Katika malengo yao ya yale mauji ya Oct 7, unadhani ni nini watakipata kwa kuendelea kushikilia mateka na maiti za watu?
 
Back
Top Bottom