Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

M

Hao mateka ni chambo, lengo ni kuwaangamiza Hamas na kuongeza eneo la Israel


Kwenye vita, usipokuwa na hekima ya kufanya assessment, unakuwa looser wa moja kwa moja.

Hamas waliamini kuwa shambulizi la kinyama la Ict 7 lingewapa mambo mawili:
1) Israel na jamii ya kimataifa wangeanzisha mara moja mazungumzo ya kuanzishwa Taifa ka Palestina

2) Kwa kushikilia mateka, Israel isingethubutu kuwadhambulia Hamas kwa hofu kuwa ama watawaua watu wao au Hamas wanaweza kuamua kuwaua mateka

3) Israel ingelazimika kuwaachia wafungwa wa muda mrefu wa Hamas.

Yote yameshindikana. Si kwenye umoja wa mataifa, si kwenye umoja wa nchi za kiarabu, wala kwenye mijadala ya kubadilishana wafungwa na mateka ambako kunaongelewa suala la kuanzisha taifa la Palestina.
Badala ya kuwaachilia wafungwa wa muda mrefu, Israel ikaongeza maelfu ya wafungwa wa Palestina.

Tofauti na ilivyotegemewa na Hamas kuwa Israel isingewashambulia Hamas kwa hofu ya kuua watu wao, Israel imeshambulia na kuua wapiganaji wa Hamas zaidi ya 17,000; na raia zaidi ya 30,000. Baada ya haya yote, wanaendelea kuwashikilia hao mateka 39 ambao ni hai na marehemu ili wapate nini? Hao mateka 39, wanaweza kusababisha vifo vingine hata zaidi ya elfu 1 vya wapalestina.

Kwa akili za Hamas, kama kuna mpalestina mwenye akili, ni aheri kuondoka na kuiacha Gaza, maana kwa kubakia hakuna chema unachokitarajia.
 
Hivi kwa sasa hamas wanaweza kurusha hata jiwe kuelekea Israel kweli
 
Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.
Mateka ni chambo tu ya kila upande kuendeleza vita.
Sioni mwenye nia ya suluhu hapo.
 
"Watu wakidhamiria kuangamizana, ni kupoteza muda kujaribu kuwapatanisha."-Sarah Paine
 
Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.
Sasa mjinga hapo ninani. Wafungwa wa kipalestina wanaachiwa huru elfu wakat kuna watu elfu 61 wamekufa tayar kwa madhila kibao. Usengerema mtupu.
 
Wapumbavu Hamas, walivyokuwa wanalilia maridhiano leo Tena wameona wagome. Acha wanyukwe kwanza.
 
Awamu ya pili ili itaji Israel iondoe vikosi vyake gaza ndo awamu nyingne imalizie na kuwaachia matekq wote , ila israel ataki kuondoa vikosi gaza
 
Sasa mjinga hapo ninani. Wafungwa wa kipalestina wanaachiwa huru elfu wakat kuna watu elfu 61 wamekufa tayar kwa madhila kibao. Usengerema mtupu.
Wote wajinga
 
Kwanini hawataki kuhama hapo Gaza wamuachie Mzee Trump? Mwenye nguvu mpishe. Waje kujisitiri hata huku ikwiriri

Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.
Hii ni awamu nyingine ya operation tokomeza ugaidi. Hao mateka unaweza kuta tayari wameshauliwa na Hamas
 
Ila Hamas mambo mengine wanajitakia wenyewe..wameshajua Netenyahu hama masihara,kwa nini kutwa kumbipu?
 
Eti Kuna msemo unasoma "mjinga ni mtu ambaye atarudia njia ile ile iliyofeli huku akitarajia matokeo tofauti"

Mazayuni njia ya vitisho kuua wametumia sana mpaka sasa haijafanikiwa kukomboa mateka bado wanatumia huku wakitarajia matokeo tofauti kitu ambacho impossible zaidi ya kuishia kuua raia na kusababisha hali ngumu zaidi kwa mateka wao.
We nyau de adriz , kwamba hakuna mateka walioachiwa..hao walioachiwa ni nyani?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-18-12-24-46-283.jpg
    Screenshot_2025-03-18-12-24-46-283.jpg
    343 KB · Views: 25
namngoja alete usengerema wake humu maana mavaa kobaz huwa hayaelewi kwmb uarabuni kumejaa machoko tofauti yao na wazungu ni kwamba wazungu hawafichi mambo yao ya hovyo kutokana na sheria zao waarabu sheria zao ni jno kwa jno ndo maana machoko huwez yaskia, kwa tz machoko wamejaa mikoa iliyo na waislam wengi aende hata hapo zenj michoko imejaa tele. Namsubiri arudi nimpge kakumba mpk abanwe mavi.
Duh mkuu punguza munkari na ghadhabu. Matusi yote hayo kisa vita za middle East?
 
Back
Top Bottom