Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
Screenshot_20260304-212752.jpg
 
Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣View attachment 3552530
Hata mimi nimecheka na kufurahi kwa hiyo danganya toto ya Iran. Sasa angalau nitanyetuka kwa raha na kumwaga bao mbili+.
 
Back
Top Bottom