Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Na pia imeshambulia meli ya bandia wamekufa wanajeshi wa bandia 80🤣🤣🤣
Hio sio ya bandia ni kweli lakini we jiulize swali destroyer za USA ngapi zimepigwa waliopo mle ni samaki hawafi wameingia kwenye bahari

Carrier zake zimejificha wapi mbona hazisogei karibu ya Iran kama wanaweza kumzamishia meli zake hivyo unavyo dai.
 
Back
Top Bottom