Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

Ndo maana mnaitwa wajinga mnalia na kuumia
 
Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣View attachment 3552530
Hata Ayatollah Khomeini alikuwa feki aliuwawa original yupo kwenye handaki
 
Back
Top Bottom