Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Hata mimi nimecheka na kufurahi kwa hiyo danganya toto ya Iran. Sasa angalau nitanyetuka kwa raha na kumwaga bao mbili+.Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee π€£π€£View attachment 3552530
Ujinga ujinga tuSasa angalau nitanyetuka kwa raha na kumwaga bao mbili+.
We sema tu ujinga. Ingia katika ilingo wa nyeto ujionee kisha nipe mrejesho.Ujinga ujinga tu
Hapana siwezi kuingia hukoWe sema tu ujinga. Ingia katika ilingo wa nyeto ujionee kisha nipe mrejesho.
Haya! Pishana tu utamu.Hapana siwezi kuingia huko
Jikite kwenye mada gentleman acha porojoHaya! Pishana tu utamu.
Ok! Kitendo Cha Iran kuwapoteza maboya Israel, ambao hushabikiwa sana na viongozi wa makanisa ya kilokole nchini Tanzania na wafuasu wao, kimenifirahisha mno.Jikite kwenye mada gentleman acha porojo
Kwani unawakubali sana IranOk! Kitendo Cha Iran kuwapoteza maboya Israel, ambao hushabikiwa sana na viongozi wa makanisa ya kilokole nchini Tanzania na wafuasu wao, kimenifirahisha mno.
Misimamo ya Ayatollah khemenei, mwendazake.Kwani unawakubali sana Iran
Sasa si ameshafariki yuleMisimamo wa Ayatollah khemenei, mwendazake.
Nawakubali sana watu wenye roho ngumu.
Roho ngumu kama Busu la Kenge The Mongolian SavageMisimamo wa Ayatollah khemenei, mwendazake.
Nawakubali sana watu wenye roho ngumu.
Ndiyo, lakini mapambano yanayoendelea yanatokana na misimamo yake thabiti.Sasa si ameshafariki yule
Ndo maana yake π.Roho ngumu kama Busu la Kenge The Mongolian Savage
Ngoja tuone binafsi sisapoti upande wowoteNdiyo, lakini mapambano yanayoendelea yanatokana na misimamo yake thabiti.
Huyo Nyangwisi anaweza kujamba na kukata gogo hadharani mbele ya RaisNdo maana yake π.
Kwamba huyo mtu aloyetajwa hapo na yeye ana roho ngumu?Ndo maana yake π.
We endelea kuwa refa.Ngoja tuone binafsi sisapoti upande wowote
Ndivyo inavyotakiwa. Katika hii Dunia ukishatambua kuwa miaka kadhaa ijayo hutakuwepo utafanya ile kitu roho yako inapenda bila kusita.Huyo Nyangwisi anaweza kujamba na kukata gogo hadharani mbele ya Rais