Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Hio sio ya bandia ni kweli lakini we jiulize swali destroyer za USA ngapi zimepigwa waliopo mle ni samaki hawafi wameingia kwenye bahariNa pia imeshambulia meli ya bandia wamekufa wanajeshi wa bandia 80🤣🤣🤣
Na wala hafichiYle jamaa ana ID nyingi kama wake wa King Mswati wa Eswatini.
Yeah, zinakuwa wazi kama uchi wa mbuzi katoliki, yaani nguruwe.Na wala hafichi
Na pia imeshambulia meli ya bandia wamekufa wanajeshi wa bandia 80🤣🤣🤣
Shemeji jaman leo nimekuwa chizi? 🫣🫣🫣Hamfikii BICHWA KOMWE -
Namaanisha chizi wa mambo chanya 😂. Wala usihofu.Shemeji jaman leo nimekuwa chizi? 🫣🫣🫣