Wakiristo wanapigana na Isreal?Lebanon Ina WAKRISTO pia. Israel hapiganii dini. Ila anatetea mipaka ma watu wake
Ndani ya Israel kuna WAKRISTO pia kama laki 9. Wengi ni wayahudi.
Msichukulie kawaida! Kuna unabii unaenda kutumia soon.ISrael kwa sasa kama imepania kuwashusha nguvu majirani zake
Ulikuwa umelala bado habari hii imetoka tarahe 1 iliposoma tu Israel ilipanga iwe recorded Tarehe moja October 2024Israel inaripotiwa kuingiza jeshi ndani ya mipaka ya kusini mwa Lebanon ikiwa na lengo la kupambana na Hizbollah.
Uvamizi huo ulianza jana tarehe 30 September 2024.
Leo ni Oktoba mosi.
Je,ya 2006 yatajirudia ama Lebanon inaenda kuwa Gaza mpya!?View attachment 3112023View attachment 3112024
Si kwamba Israeli yapenda vita bali ni client state kwa niaba ya Marekani katika kulinda maslahi na kihakikisha usalama wa eneo la Mashariki ya kati wa ajili ya ustawi na ukuaji wake. Ni kama ilivyo kwa Ukraine itumiwavyo na NATO na Marekani dhidi ya Russia.Maisraeli yanapenda vita kuliko hata ngono. YAMELAANIWA
Shoga wewe na wavaa kobazi wenzakoSema mashoga
🇱🇧🇮🇱 | Hezbollah’s Media Relations Officer Mohammad Afif to Reuters: 'No Israeli troops have entered Lebanese territory. The strikes on Tel Aviv earlier were only the beginning'Marjayoun- Lebanon.
Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua hiyo yafuatia uamuzi ulofanywa na Israeli na kuwaatarifu Marekani kwamba wameamua kuingiza majeshi ya ardhini nchini Lebanon.
Maeneo ya Metula, Misgav Am na Kfar Galadi yaliyoko upande wa kaskazini mwa Israeli yote yamefungwa kwa ajili ya IDF kuyatumia. Naibu kiongozi wa hezbollah Naim Qassim ametoa onyo kwa Israeli kuwa endapo IDF itaingia Lebanon kwa ajili ya vita ya ardhini basi Hezbollah wapo tayari.
Majeshi ya IDF khasa yale maalum au Special Forces tayari yapo ndani ya Lebanon huku vikosi vingine vikiendelea kusogea karibu na mpaka kutokea sehemu ya Kiryat Shmona. Vikosi vya makomandoo wa IDF vitakuwa vikitafuta upenyo wa kuingiza na kupandkiza mabomu ili kuwezesha vifaru kusogea ndani zaidi.
Israeli wamesema watatumia njia zote za ardhini, angani na majini kutimiza azma yao ya kupigana na Hezbollah vita ambayo ni ya pili baada ya vita ilopiganwa mwaka 2006 vita ambayo haikutoa mshindi yoyote. waziri mkuu Benjamin Netanyahu ametoa onyo kwa Iran kuwa hakuna eneo lolote ambalo Israeli itashindwa kulipiga.
Vifaru vya kijeshi vya IDF vimesogea mpakani na Lebanon huku naibu kiongozi wa wa Hezbollah akisema kuwa wapiganaji wa Hezbollah wapo tayari kwa vita ambayo kitaalamu yaiotwa Asymmetrical Warfare pale ambapo Hezbollah watatumia mbinu iitwayo "gollila tactics" dhidi ya jeshi la IDF lenye kila aina ya zana ya kijeshi ijulikanayo ulimwenguni.
Lengo kuu ya Israeli ni kubomoa miundombinu ya Hezbollah ambayo yajumuisha njia za chini kwa chini (Tunnels) na njia za panya ambazo Hezbollah huzitumia kupitisha silaha zao na bidhaa zingine kutoka nje. Pia lengo hilo limekusudia kuhakikisha wananchi wa Israeli wanoishi upande wa Kaskazini ambao wamekimbia, warudi katika makazi yao.
Kwanini hali hii imefikia hapa?
Terehe 17 hadi 18 mwezi huu vifaa vya mawasiliano yaani "pagers" wanotumia Hezbollah vililipuka pamoja na radio za mawasiliano.
Tarehe 23 hadi 24 Israeli ikafanya mashambulizi ya anga kwa kutumia ndege za kivita dhidi ya maeneo ya Hezbollah.
Tarehe 27 Septemba kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah akauawa katika shambulio kubwa la bomu liitwalo "banker" lilofurumusha majengo na handaki walokuwamo Nasrallah na wenzie.
Tarehe 30 yaani leo jumatatu kiongozi wa Hamas aliekuwepo Lebanon nae ameuawa baada ya Israeli kushambulia tena kwa dege za kivita eneo hilo la kusini mwa Lebanon.
Wachambuzi wengi wa kijeshi na kijajusi wametoa tahadhari kwa Israeli kwamba hata kama safari hii wamejifunza mengi kutokana na vita ya mwaka 2006 lakini pia Hezbollah nao pamoja na kuuliwa kwa viongozi wake wengi kutokana na mashambulizi mengi aloyafnya Israeli, bado wana shaka kuwa Israeli itaweza kupigana vita ya ardhini.
Vita hii ya ardhini ambayo ni rahisi kuingia lakini ngumu kutoka, safari hii imekusanya makundi ya wapiganaji wanojiita "Axis of Resistance" yanojumuisha makundi ya kutoka Lebanon, Hamas, kutoka nchi za Irak na Syria pamoja na kundi la Houdh la Yemen na wote wakiwa na silaha walopewa na Iran.
Wahudhi wamepewa jukumu la kuhakikisha Marekani hapeleki silaha zaidi Israeli huku makundi yaliyoko Syria na Irak wakihakikisha wanatuma makombora upande wa kaskazini mwa Israeli kulipo milinma maarufu ya Golan ambayo Israeli huitumia kufanya doria dhidi ya Syria na Irak.
Milima ya Golan ilipokwa na Israeli baada ya vita ya siku sita ya mwaka 1967 na tangia muda huo milima hiyo imekaliwa na Israeli.
Nini kitajiri katika vita hiyo ambayo itaaqnza kukolezwa muda huu wa usiku wa kuamkia jumanne?
NB:
Tafadhali Mods ninawaomba kuuweka uzi huu Live ili tuendelee kuleta yale yanojiri katika eneo la mashariki ya kati.
🇱🇧🇮🇱 | Hezbollah’s Media Relations Officer Mohammad Afif to Reuters: 'No Israeli troops have entered Lebanese territory. The strikes on Tel Aviv earlier were only the beginning'Israel inaripotiwa kuingiza jeshi ndani ya mipaka ya kusini mwa Lebanon ikiwa na lengo la kupambana na Hizbollah.
Uvamizi huo ulianza jana tarehe 30 September 2024.
Leo ni Oktoba mosi.
Je,ya 2006 yatajirudia ama Lebanon inaenda kuwa Gaza mpya!?View attachment 3112023View attachment 3112024
Ok. Very simple. Wanalebanon; 1. Wakataeni Hezbollah kwani hao sio wenzenu kabisa-ona walipowafikisha sasa.Tatizo Israel wanatuchanganya sana Wanalebanon
Walituvamia kwa njia ya anga na kuua Viongozi wetu tukajipanga kutafuta namna ya kuziona Drones zao kwa rada ikashindikana....
Kabla ya kumaliza hilo sasa wanatuvamia kwa njia ya Ardhi na vifaru vyao
Sasa sisi tufanyaje jamani?
Lebanon iko hoi, si taifa imara tena.Ok. Very simple. Wanalebanon; 1. Wakataeni Hezbollah kwani hao sio wenzenu kabisa-ona walipowafikisha sasa.
2. Muwe watiifu na Wepesi wa kuzingatia na utekelezaji kikamilifu maelekezo yatolewayo na IDF.
3. Acheni ushabiki wa Kidini. Hiyo vita asilani sio ya kidini.
4. Beba bendera nyeupe (ishara ya AMANI) esp. mnapokuwa wengi/Kikundi kwa pamoja.
Kipo pale Kibaha kwa MfipaKwa sababu Tanzania hakuna chuo cha Propaganda
AaaH! Mambo ya kuweka mpira kwapani waturudishie viingilio vyetu. Eti wanavaa kiraia? yani wao sio wapiganaji tena?? Kwa hiyo wamerejelea uvaaji wa vipedo, kobazi, hijabu na kujificha nyuma ya makalio ya akina mama na watoto?Hezbollah kuanzia jana wamevua magwanda yao wanavaa Kiraia wanaogopa kifo.
Nchi ama vikundi vingine vya magaidi inatakiwa wajifunze sasa kuwa Iran anawatumia kwenye maslahi yake tuu wakati wa kipigo yeye anakaa pembeni.Usije sikiliza Ushauri wala kutegemea msaada wa Iran
Ushaona kiduku ama Putin anaingia kichwa kichw akwa myahudi?Ni Urusi, Korea kaskazini na China wamewadanganya wenzako wakaingia mazima mazima matokeo yake wanapigwa nje ndani
Rabin alikuwa na tatizo gani au unakurupuka tuu.Isreal haina mchezo? Alikuwepo Isac Rabin yupo wapi? Wakiristo wa jf comments zao utacheka
Lakini mkuu, Marekani awatumia Israeli na Ukraine kwa kazi zake kujitengenezea himaya zaidi duniani.Nchi ama vikundi vingine vya magaidi inatakiwa wajifunze sasa kuwa Iran anawatumia kwenye maslahi yake tuu wakati wa kipigo yeye anakaa pembeni.
Yitzhak Rabin aliuawa kwa baada ya kusaini mkataba wa Oslo mwaka 1994 na kiongozi wa wapalestina Yaser Arafat maarufu kama Oslo Accord.Rabin alikuwa na tatizo gani au unakurupuka tuu.