Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

*Nilijua umebadilika kumbe bado unaongea mashudu yasiyo na ushahidi!?
Nani kakwambia hizo nuke reactor za Kiduku na Putin hazina lolote!??
Bro are you out of your damn sanity!?
Hivi unajua kama Putin alipopeleka nuke submarine yake Cuba USA alilalamika vipi!?
Halafu hata haujui kama Russia ndio wenye technology bora ya nuclear hapa ulimwenguni.
*Una ushahidi upi kama Israel wamemuua Ebrahim Raisi!?
Benjamin Netanyahu alikataa mchana kweupe hawahusiki aya tuletee wewe ushahidi wa wao kuhusika.
-Russia imempiga USA ndani ya Syria,Korea war na Ukraine na Georgia,unamuitaje panya!?
-N.Korea alimtwanga USA wako Korea war,unamuitaje dhaifu!?
-Iran imesumbua middle east,imemsumbua USA Yemeni,Imemsumbua USA Red sea kupitia Houthi,unamuitaje Iran dhaifu!??

Kichwa chako kina funza wewe.
Unaifananisha Israel inayosaidiwa bajeti ya nchi KILA MWAKA ikipigana na vikundi vya mgambo na Russia anayepambana na NATO yote!?

Endelea kujichanganya nitakubana kwenye kona.
 
Israeli pia haiwezi kupigana hii vita kwa muda mrefu na pia Marekani hawawezi kuwaruhusu Israeli kuendeleza vita hii kwa muda mrefu maana nchini Marekani kwenye tayari kuna migongano ya chini kwa chini huku machawa wa Biden wakishadidia kuongeza uzalishaji silaha kwenye viwanda vyao.

Isitoshe Marekani kanusa kuwa atakuwa "overstretched" kati ya Ukraine na Mashariki ya kati.
 

Sema mashoga
Kama weww ulivyo Shoga?
Ona huyu!
Hilo kombora lililoanguka barabarani ni moja wapo ya makombora yaliyorushwa.
Hizbollah hajarusha kombora moja karusha zaidi ya 10.
Usitufanye wote ni mbulura kama wewe mengine yamekuwa intercepted na hilo moja limeangukia barabarani wapita njia 2 ndiyo waliojeruhiwa. Hezbollah mliokuwa mnawasifia mlikuwa mnasifia Utopolo tu Operation Beeper makamanda wake 80% ni vilema Majeshi ya Israel yako huko sasa hivi wala hawaonyeshi upinzani wowote ule. Makombola ya Hezbollah wala Wahouthi hayana impact yoyote kila siku yanapopolewa na mengine kuangukia porini na kusababisha kuharibu misitu tu Hezbollah kwa kuwa waliamua kuwaunga mkono Hamas Acha wachezee kichapo cha mbwa-koko
 
Lazima tufahamu na tuelewe kuwa raia wengi wa Israeli hivi sasa waishi kama wakimbizi wamekimbia eneo la kaskazini mwa Israeli kutokana na mashambulizi ya Hezbollah ambayo wamekuwa wakiyafanya kwa muda mrefu.

Israeli wapo hapo eneo la mpakani ili kuwasogeza Hezbollah warudi ndani zaidi ya Lebanon na kuondoa uwezo wao wa kushambulia kaskazini kwa Israeli, ndo maana sasa hivi kuna hiyo operesheni.
 
Nani kakuambia Wanajeshi wa Israel wapo Lebanon?.
 
Umeshakuwa Brainwashed na Aljazeera makao makuu ya Mossad yalilengwa lakini kombola hili lilipopolewa ni ujinga kutaka kutuaminisha kuwa katika vita hii Israel inatumiwa wajinga tu na wapumbavu kama wewe watakuunga mkono. Israel imekuwa ikishambuliwa na Hezbollah toka Oct 08,2023 miezi 11 sasa na ndiyo maana wameamua sasa wale sahani moja nao. Kwa taarifa yako Hezbollah wamachezea kipondo.
 
Nani kakuambia Wanajeshi wa Israel wapo Lebanon?.
Acha ujinga Askari wa Israel wako Lebanon sio leo tu wako huko siku nyingi na mahandaki mengi yako mikononi mwao. Jana ndiyo askari wa miguu waliingia huko wakati Special-Force wako huko siku nyingi. Kama hata Aljazeera wamekiri hayo wewe mbulu-kenge unabisha nini?
 
Ndugu siku nyingi Simo humu lakini Nijuavyo mimi humu wapo GREAT THINKER kwa maneno yako hayo unauabisha Mtandao mzima wa Jamiforums kwa hizi Pumba ulizotoa nashindwa hata nikujibu lipi kwa hayo uliyoandika.
 
Aisee kama huna unalojua kaa kimya.
Unajua yameshambuliwa maeneo mangapi leo!??
Yameshambuliwa maeneo zaidi ya mawili humo Israel.
Hilo lililoangukia road ni moja wapo ya yaliyopenya.
Mengine yamelipua viwanda na sehemu zingine.
*Halafu we kijana mdogo hao Hizbollah umeanza kuwajua leo.Nenda katizame 2006 Israel aliondokaje Bint Jubeir.
Hao Houthi unaosema mashambulizi yao hayana impact wao ndio wamesababisha bandari ya Eilat isifanye kazi.
Sijui akili zako huwa zipo makwapani!??

Na hapo chini panapowaka moto ni barabarani!??
 
Ndugu siku nyingi Simo humu lakini Nijuavyo mimi humu wapo GREAT THINKER kwa maneno yako hayo unauabisha Mtandao mzima wa Jamiforums kwa hizi Pumba ulizotoa nashindwa hata nikujibu lipi kwa hayo uliyoandika.
Huna unalolijua kijana.
Huwezi kujibu kwasababu HUNA UNALOLIJUA.
Wanaoelewa watakuja kukupa ufafanuzi subiri niwaite.

and 100 others
Extrovert
Maonihuru
kimsboy

Embu mshangaeni kijana anafananisha Russia+North Korea na Israel.
 
Mbona taarifa imetoka mchana wa Leo wanasema Bado hawajaingia, na Hezbollah nao wanasema nikweli hawajaingia Lebanon?. Au mwenzetu taarifa unatoa wapi?.
 
Mbona taarifa imetoka mchana wa Leo wanasema Bado hawajaingia, na Hezbollah nao wanasema nikweli hawajaingia Lebanon?. Au mwenzetu taarifa unatoa wapi?.
Kifupi wewe endelea kuamini hawajaingia kumbe walishaingia mliambiwa pia kuwa Gaidi Sayyed Hassan Nasrallah kauliwa mkaendelea pia kukataa tukawapa muda mwishoni ndipo mlikubali kwa shingo upande hivi nyinyi mliumbwaje? Uongo ndiyo sera yenu?
 
Kifupi wewe endelea kuamini hawajaingia kumbe walishaingia mliambiwa pia kuwa Gaidi Sayyed Hassan Nasrallah kauliwa mkaendelea pia kukataa tukawapa muda mwishoni ndipo mlikubali kwa shingo upande hivi nyinyi mliumbwaje? Uongo ndiyo sera yenu?
Mkuu kiufupi wewe ni mjinga. Na ujinga sio tusi jambo nalokushauri jitahidi kutafuta taarifa za kweli. Juu pale umeonyesha kutilia shaka taarifa za Aljazeera, comment inayofuata ukaonyesha kusapoti taarifa za Aljazeera.
 
Lebanon Ina WAKRISTO pia. Israel hapiganii dini. Ila anatetea mipaka ma watu wake
Ndani ya Israel kuna WAKRISTO pia kama laki 9. Wengi ni wayahudi.
hap waarabu hawataki kuitambua Israel Kama taifa.Wanashupaa tu.Ha
 
Duh! Headquarter ya Mossad?

Hii hali hatari.
 
K
Mkuu kiufupi wewe ni mjinga. Na ujinga sio tusi jambo nalokushauri jitahidi kutafuta taarifa za kweli. Juu pale umeonyesha kutilia shaka taarifa za Aljazeera, comment inayofuata ukaonyesha kusapoti taarifa za Aljazeera.
Kwa taarifa yako tu Majeshi ya Israel yako ndani ya Lebanon utake usitake na majeshi ya Lebanon yamejiondoa kupisha kipigo kwa magaidi wa Hezbollah
 
Mbona taarifa imetoka mchana wa Leo wanasema Bado hawajaingia, na Hezbollah nao wanasema nikweli hawajaingia Lebanon?. Au mwenzetu taarifa unatoa wapi?.
Avatar aliyotumia inafahamika mtandao X (Twitter). Ana ubishi huo huo!

Kule X wanamuita Bwana mavitenge(si unaona avatar yake aliyoiweka?!).
 
Duh! Headquarter ya Mossad?

Hii hali hatari.
Huo niongo mtupu kama Israel wameweza kumuua Sayyed Hassan Nasrallah pangolin kwake nyau gani anaweza kupiga makao makuu ya Mossad? Huo ni uzushi wa kutaka kujifurqhisha tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…