*Nilijua umebadilika kumbe bado unaongea mashudu yasiyo na ushahidi!?Huna researcha na hujui kabisa siasa za kimataifa.
Hizo nyuklia reactor za Kiduku na Urusi hazina lolote.
Hivi Israel wameua rais wa Iran , unataka wafanye nini ndio hawa Iran, Kiduku na Putin wamfute kwenye uso wa dunia?
URUSI, KIDUKU, IRAN ni panya tu, wanabweka na sasa wanafuatwa kwao na kutandikwa.
Nani kakwambia hizo nuke reactor za Kiduku na Putin hazina lolote!??
Bro are you out of your damn sanity!?
Hivi unajua kama Putin alipopeleka nuke submarine yake Cuba USA alilalamika vipi!?
Halafu hata haujui kama Russia ndio wenye technology bora ya nuclear hapa ulimwenguni.
*Una ushahidi upi kama Israel wamemuua Ebrahim Raisi!?
Benjamin Netanyahu alikataa mchana kweupe hawahusiki aya tuletee wewe ushahidi wa wao kuhusika.
-Russia imempiga USA ndani ya Syria,Korea war na Ukraine na Georgia,unamuitaje panya!?
-N.Korea alimtwanga USA wako Korea war,unamuitaje dhaifu!?
-Iran imesumbua middle east,imemsumbua USA Yemeni,Imemsumbua USA Red sea kupitia Houthi,unamuitaje Iran dhaifu!??
Kichwa chako kina funza wewe.
Unaifananisha Israel inayosaidiwa bajeti ya nchi KILA MWAKA ikipigana na vikundi vya mgambo na Russia anayepambana na NATO yote!?
Endelea kujichanganya nitakubana kwenye kona.