Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Wakiristo wa jf comments zao utacheka
CNN —
Israel has launched what it called “a limited ground operation” across its northern border into Lebanon targeting the Iran-backed militant group Hezbollah, opening a new and dangerous phase in almost a year of war.

The incursion, which Israel’s National Security Cabinet has called the “next phase” of its war with Hezbollah, marks the fourth time that Israeli soldiers have publicly entered Lebanese soil in nearly 50 years, and the first since Israel’s 34-day war in the country in 2006.

Israeli troops laid the groundwork for the incursion in recent days, ramping up airstrikes that have killed hundreds of people, destroyed homes and displaced about 1 million people in Lebanon.

The latest escalation comes after Israel killed Hezbollah’s leader Hassan Nasrallah in an airstrike on Friday and decimated the leadership of the most powerful paramilitary force in the Middle East.

Here’s what we know.

Extent of incursion unclear​

Israeli officials have characterized the incursion into southern Lebanon as limited in scope, saying there will be “no long-term occupation.”

The Israeli military said it was focused on removing “immediate threats” from Lebanese villages along the border, including Hezbollah’s ability to infiltrate northern Israel.

But officials have declined to say how deep Israeli troops would venture into the country or how long the operation is expected to last.

Israeli leaders have hinted that further action would come. On Monday, Israeli Defense Minister Yoav Gallant told troops near the Lebanese border that the assassination of Hezbollah leader Nasrallah was “a very important step, but it is not the final one,” and that “we will employ all the capabilities at our disposa
 
Wakiristo wa jf comments zao utacheka
1727770056171.png
 
"... give us tools faster, we will finish the job faster".
 
Breaking: Israel imemuua Hassan Khalil Yassin, aliyechukua nafasi ya Hassan Nasrallah masaa machache yaliyopita.

Hii inavunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa muda mfupi zaidi kama mkuu wa shirika la kigaidi.

Yaaan Hassan baada ya kuuwawa basi wakateua bwana Hassan Yasin kushika nafasi naye hakumaliza masaa

Netanyahu kaiambia dunia kwamba mkono wa israel hakuna sehemu hauwezi fika dunian
Ila kwa sasa Hezbollah yaongozwa na bwana mmoja aitwa Qassam na ndie alietoa taarifa jana kwamba Hezbollah wapo tayarti kwa vita ya ardhini.
 
Updates za maendeleo ya vita ya ardhini nchini Lebanon kati ya Israeli na Hezbollah.

1. Waziri mkuu wa Lebanon amesema nchi yake ipo katika hatari ya kihistoria.

2. Israeli yafanya mashambulizi nchini Syria na kuua watu kadhaa.

3. Hezbollah yatupa makombora mjini Tel-Aviv ambayo yamedakwa na mitambo ya IDSna milio ya ving'ora imesikika kuonya watu kwenda kujificha.

4. Marekani imesema yaunga mkono operesheni ya Israeli nchini Lebanon na imeionya Iran kwamba ikiishambulia Israeli itakumbana na dhoruba kubwa.

5. Hezbollah wasema wapo tayari kwa vita ya ardhini na itachukua muda mrefu.
 
Israel Mwanaume huku ndqni anapigana na Hsms,huku anapigana na wa houthi wa Yemen, huku anatandika Hezbollah wa Lebanon huku anatandiks ns kuua Rais wa Iran huku anatandika na kuwa kiongozi wam
Majeshi wa Iran Syria

Aisee Israel kiboko
 
Hisbullah yasambaratika huku Isreal akiommba msaada wa jeshi la ziada NATO, USA na UK?. Wakiristo wa jf sijui propaganda wamesomewa wapi
Hakuna vita inayopiganwa na nchi moja hata kama wakiomba msaada kwenye mataifa hayo Israel wako sasa na wakishinda ushindi na usalama ni wao pamoja na kizazi chao.
 
Hisbullah yasambaratika huku Isreal akiommba msaada wa jeshi la ziada NATO, USA na UK?. Wakiristo wa jf sijui propaganda wamesomewa wapi
Hisbollah na wenyewe wameshindwa kupata misaada kwa nchi nyingine? Ndiyo kusambaratika huko. Unafikiri kukomaa wenyewe ndiyo ujanja?
 
Sasa ni zamu ya hao wahuni kupata wanachostahili
 
Yani ikishakuja ishu ya mashariki ya kati kuna mataahira ya dini lazima yalete mambo yao ya dini mara kobazi mara wakristo mara bikra 72 ..yoyote mwenye mentality hii ni Mpumbavu ..hoja ijibiwe kwa hoja acheni mambo ya dini alizoleta mzungu .shenzi kabisa
 
Israel imeanza mashambulizi dhidi ya Hezbollah kwa mapigano ya ardhini na tayari wameshavuka Mipaka wako ndani ya Lebanon

Je, huu ni mwisho wa Hezbollah?

BBC news
Jipe moyo,wahumi wameacha tundu wazi,na Israel wanajua hilo,,,[emoji41]
 
Hisbullah yasambaratika huku Isreal akiommba msaada wa jeshi la ziada NATO, USA na UK?. Wakiristo wa jf sijui propaganda wamesomewa wapi
Kwani wao hizbullah hawana muunganiko na magaidi wenzao duniani?nenda hata wewe sio kuvizia mikusanyiko ya watu na kuwalipua na Allah akbar nyiingi.
 
Israel imeanza mashambulizi dhidi ya Hezbollah kwa mapigano ya ardhini na tayari wameshavuka Mipaka wako ndani ya Lebanon

Je, huu ni mwisho wa Hezbollah?

BBC news
Naam hz ndo habar..ngoja ninywe kahawa nikisikilizia milio ya wavaa kobasi
 
Yani ikishakuja ishu ya mashariki ya kati kuna mataahira ya dini lazima yalete mambo yao ya dini mara kobazi mara wakristo mara bikra 72 ..yoyote mwenye mentality hii ni Mpumbavu ..hoja ijibiwe kwa hoja acheni mambo ya dini alizoleta mzungu .shenzi kabisa
Taja na mwarabu basi wewe mvaa msuli wewe umemuona mzungu tu mwarabu kwani mumeo?
 
Habari kama hizi zikimfikia Hayatollah anatamani handaki alilojificha liongezwe uimala yasije ya kamkuta kama yaliomkuta kiongozi wa Hezbollah.
 
Hisbullah yasambaratika huku Isreal akiommba msaada wa jeshi la ziada NATO, USA na UK?. Wakiristo wa jf sijui propaganda wamesomewa wapi
Lebanon Ina WAKRISTO pia. Israel hapiganii dini. Ila anatetea mipaka ma watu wake
Ndani ya Israel kuna WAKRISTO pia kama laki 9. Wengi ni wayahudi.
 
Back
Top Bottom