Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Avatar aliyotumia inafahamika mtandao X (Twitter). Ana ubishi huo huo!

Kule X wanamuita Bwana mavitenge(si unaona avatar yake aliyoiweka?!).
Eti ana Ubishi kumbe mtu akiwaambia ukweli nyinyi mnasema ubishi basi mna shida sana. Haiondoi ukweli kuwa Hezbollah ni sawa na Mandonga tu!@
 
Mbona Hezbollah wamesema hawajaona jeshi lolote la IDF maana walikuwa wanawasubiri kwa hamu mambo ya saikologia war.. unaambia adui yupo mrangoni usitoke.. unabakia unajinyea humo hadi unadedi.

Nakumbuka kuna vita Israel alishinda kwa kuwazunguka maadui wanajeshi wakiimba na kupiga matarumbeta hadi majengo yakaanguka na maadui wakadedi hahahaha

a

Israel’s claim of entering southern Lebanon is ‘false,’ Hezbollah says
 
Huo niongo mtupu kama Israel wameweza kumuua Sayyed Hassan Nasrallah pangolin kwake nyau gani anaweza kupiga makao makuu ya Mossad? Huo ni uzushi wa kutaka kujifurqhisha tu!!
Sikia Bw. Mavitenge!

Mbona hii ni logic ndogo!

Ni kitendo cha kutuma kombora.

Au kombora likitumwa haliendi nalo litaogopa?
 
Eti ana Ubishi kumbe mtu akiwaambia ukweli nyinyi mnasema ubishi basi mna shida sana. Haiondoi ukweli kuwa Hezbollah ni sawa na Mandonga tu!@
Bw. Mavitenge!

Kwa heshima na taadhima, ukweli gani umeandika?

Huu ukweli wa kusema kombora nalo limeogopa kwenda kupiga Tel Aviv kwa kuwa kiongozi wake aliyeyanunua ameuliwa?
 
Hata Ismail Hanniye na Sayyed Hassan Nasrallah nao walikuwa wanawasubiri hivyo hivyo matokeo yake sasa hivi wamekabidhiwa Mabikira 72 tu.
Ni Jambo zuri!

Na ndiyo maana kuna Menu!

Wewe utapenda tambi mwengine atapenda ugali!

Yule atapenda mabikira 72 wewe utapenda unachopenda.

Kwani Bw. Mavitenge wewe hupendi mabikira 72?
 
Hata Ismail Hanniye na Sayyed Hassan Nasrallah nao walikuwa wanawasubiri hivyo hivyo matokeo yake sasa hivi wamekabidhiwa Mabikira 72 tu.
We 72? viongozi wa ugaidi wanapata mabikira wengi zaidi sio kama wale kajamba nani? ukiua wengi duniani watu wasio na hatia unaongezewa wanawake zaidi na ukipenda zaidi unaletewa wanawake weusi from motoni unawagoonga tu ngozi zao black..

Unaambiwa pepopni ukitaka chochote unapata yaani hata ukitaka kumla Allah kijambiro chake anakupa tu... Hii dini ni hasara sana.. hahahahahaha
 
Kinacho nishangaza sana huyu Sayyed Hassan Nasrallah alikuwa anasema haogopi kufa lakini alikuwa na mabaunsa kibao mwisho wa siku aliuliwa akiwa chini ya handaki akihofia kufa. Cha ajabu washabiki wake walipogundua amekufa nao wakaanza kulia tena!!
 
Kwa mujibu wa AP News, Iran imeanza kurusha makombora ya Ballistic.

Hivi sasa ni saa moja na dakika 37 jioni mjini Tel Aviv

Iran haijarusha UAV wala Cruise missile na mitambo ya ADS na Iron Dome ya Israeli sasa hivi ipo yatafuta makombora hayo yatokea wapi.
 
Jordan wameruhusu makombora kutoka Iran yapite Aman kwenda Israel.

Tayari kuna taarifa kwamba makombora hayo mengi yamepenya kwenye mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel yaani Air Defence System.
 
Huo niongo mtupu kama Israel wameweza kumuua Sayyed Hassan Nasrallah pangolin kwake nyau gani anaweza kupiga makao makuu ya Mossad? Huo ni uzushi wa kutaka kujifurqhisha tu!!
Nimekuambia mnakuwa brainwashed na western media,

Iran karusha mabomu tayari kuelekea israel, ndio usubiri kesho iron dome imefanya nn
 
Umeshakuwa Brainwashed na Aljazeera makao makuu ya Mossad yalilengwa lakini kombola hili lilipopolewa ni ujinga kutaka kutuaminisha kuwa katika vita hii Israel inatumiwa wajinga tu na wapumbavu kama wewe watakuunga mkono. Israel imekuwa ikishambuliwa na Hezbollah toka Oct 08,2023 miezi 11 sasa na ndiyo maana wameamua sasa wale sahani moja nao. Kwa taarifa yako Hezbollah wamachezea kipondo.
Al jazeera ya wapi ?
Hivi netanyahu unahisi atatunisha kifua mpaka mwisho ? Anatuaminisha na blessing leo hii anatumia bible kujustify bloodshed,

Subiri kesho wakwambie iron dome imefanya nini, walishatuma iron dome inalipua drone za lukamba sio mashine.
 
Iron dome ilishaonyesha weakness toka first attack, japo media zilicover, iran harushi drone, now ni full scale
Jordan wameruhusu makombora kutoka Iran yapite Aman kwenda Israel.

Tayari kuna taarifa kwamba makombora hayo mengi yamepenya kwenye mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel yaani Air Defence System.
 
Al jazeera ya wapi ?
Hivi netanyahu unahisi atatunisha kifua mpaka mwisho ? Anatuaminisha na blessing leo hii anatumia bible kujustify bloodshed,

Subiri kesho wakwambie iron dome imefanya nini, walishatuma iron dome inalipua drone za lukamba sio
 
Kwa taarifa yako tu mpaka jioni hii bado sijaona impact yoyote ya mashambulizi ya Iran nchini Israel hajaua mtu yeyote ispokuwa mvamizi mmoja.
 
Back
Top Bottom