Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Eti ana Ubishi kumbe mtu akiwaambia ukweli nyinyi mnasema ubishi basi mna shida sana. Haiondoi ukweli kuwa Hezbollah ni sawa na Mandonga tu!@Avatar aliyotumia inafahamika mtandao X (Twitter). Ana ubishi huo huo!
Kule X wanamuita Bwana mavitenge(si unaona avatar yake aliyoiweka?!).
