Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Mchezaji kucheza dakika 20 ndio KAFELI??

Hao hao Waydad ambao FLOP Onana, aliwatumbua GOLI 02??
 
Hata Man Utd wanasema waliosajiliwa hawamfai kocha aliopo,Azizi Ki amesajiliwa na kocha alieondoka usitegemee atamkubali
 
Ni aibu kwake na career yake sio ligi
 
Hapa Hoja ni juu Ya Soka letu Tanzania tujadili wakuu tupo Wapi?

Tukiwa na reference ya Mchezaji wetu Tegemeo Aziz Ki...

Aziz sasa ndo kama mlivyosikia , Kafeli Wydad..!

Nini turekebishe hapa kwetu..?
 
Messi kufeli ni aibu kwa soka la wapi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuna wanawake ili wawe wazuri au watongozwe lazima wawe rafiki ya wanawake wazuri.

Kwa Soka mfano mzuri ni Messi.
 
Na issue ya kufaulu kwa Mayele?
 
Mtu anatoka honey moon halafu unataka akakiwashe, (akakinukishe)?

Aziz K kaenda kupata uzoefu, wa mashindano ya ubingwa wa dunia, tena sana, kumbeza ni kukosa akili

Morocco kwenye Ligi yao wanaruhusu wachezaji wa tano wa kigeni siyo 12 kama sisi
 
Toa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23

Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
Hakuna cha ubaguzi wa rangi mjomba,kuna mablack kibao wanakipiga huko uarabuni tena ni wachezaji wa kutegemewa......mfano mdogo ni mayele
 
Achana na personal attack, tujadili soka letu mkuu tuki relate na kufeli kwa Aziz...

Aziz kafeli Wydad ujue..
Amefeli kwa sababu kocha aliemtaka ameondolewa kwenye timu ndie anajua angemtumia vipi, matokeo yake amekutana na kocha asiejua thamani yake na hivyo kutokua chaguo lake kutokana na pengine mfumo wake anaokusudia kufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…