Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Kama utaipenda Isuzu Bighorn chukua ya diesel yenye injini ya 4JX1 iwe manual. Nyingi zilizosumbua ni zenye injini ya 4JG2 mafundi na watumiaji walishindwa kuendana nazo.
Hlf mafundi wetu wanazingua sn,wakishindwa gari wanasema ni mbovu,mm nlkua na grand escudo,nmekaa nayo 5 yrs,haijawahi nisumbua japo Kuna wkt haikutembea mara kwa mara,gearbox ikaja kuzingua ikbd niuze.
Shida ingine ya grand escudo wadau wengi wanasema ni mfumo wa umeme japo ckuwaho experience hili.
 
Sasa grand escudo si trekta tu. Hata huo mfumo wa Umeme si simple tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…