Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Hio gari au jiko la nyamachoma😂????

Jana nimekutana na Ssangyong a.k.a Musso ikiwa maeneo ya victoria mkabala na sheli ya Lake oil huku bonnet likiwa wazi abiria watatu ndani wakiwa sura zao zimesawajika ,,,nakumbuka hio gari ilitamba sana miaka ile ya 1998 enzi za mtoto wa geti kali ya inspekta haroun. Nilicheka kimoyo moyo 😂😂😂 kuna gari huwa zinadhalilisha sana
 
Suzuki mkataba huo hadi mjukuu ataikuta😂😂😂
Tupe experience ya SUZUKI

Kuna msemo wa kiswahili, "Usilolijua ni kama usiku wa giza" 😂

Products za isuzu ni konki sana, kuanzia gari za mizigo mpaka isuzu journey.

Kama mtu imemshinda, ilete tuu.
Kuna kampuni ni mabingwa wa gari flani, mfano Isuzu kwenye malori, mabasi, DmaX iko njema ila SUV amefeli. Mitsubishi halikadhalika yuko njema kwenye mitambo, malori, mabasi, gari za mbio ila SUV nae jau tu.

Pajero na isuzu bighorn ni ushuzi wa dengu. Waliokurupukia hizo gari watakiri hayo.
 
Hahahahahhaha kudadadeq hio gari ingekuua mzee bora ulilitupa home tu.
 
Unazungumza ukweli mtupu. Kuna kipindi nilitaka kujichanganya kununua Pajero Mitsubishi Seat 7 zile. Ila kupitia JF nikapata elimu nikaachana na Mitsubishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…