Palestina ikiwa huru miaka 5 tu inajenga Gaza zaidi ya ilivyokuwaUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Wazayuni wa natamani iwe hivyo ila tu hawawezi na usahau hiloGaza inaenda kukaliwa upya kianzia North Gaza hadi Central Gaza.
Wamejitakia wenyewe kuruhusu Magaidi wa Hamas kuwatawala Idiots.Dada angu hilo nigumu ni sawa sawa kuweka Israel katika vita mda wote hata US amesema hilo hapana litawagharimu sana kulinda watu wao mda wote.
Mkakati umeshaanza as we speak au unaongea kwa Mihemuko?Wazayuni wa natamani iwe hivyo ila tu hawawezi na usahau hilo
Ndiyo ukweli mkuu! Gaza ni ndogo hiyo miaka ni mingi sana.Unacheka kama jinga ilhali waarabu wenzako huko wanalambishwa mchanga kwa malaki kisa uwendawazimu wa Hamas kushambulia Oktoba 7!!!
Uko sahihi.Watu hapa wanashabikia hii vita kama vitimu vyao vya yanga na simba, haya hawayaoni! Yani maisha ni kwamba yamefutwa Gaza.
Na kubomolewa hakutakoma piaVisasi havitokoma
Juu ya pesa hakuna miaka wala nini.Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Sahau hilo.Kuondoa vifusi itachukua miaka 15 Hadi 25...Kwa kifupi hapa tunaambiwa kuwa hii Gaza itakuwa chini ya myahudi
Mimi na wewe shoga sijui nani anachekesha ulivyokuwa punguani hujui lolote unajua vita vya Gaza vimeanza October7 utakuwa upo period wewe unaharisha.Unacheka kama jinga ilhali waarabu wenzako huko wanalambishwa mchanga kwa malaki kisa uwendawazimu wa Hamas kushambulia Oktoba 7!!!
Kwa kutumia technology gani?Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Hiv unajua unachokiongea mzee. Kwa taarifa yako wayahud maisha yao yote hapa dunian wamepitia life la vita tu na siku akiacha vita amekwisha.Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi Israel
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Hiyo ni Imani za ma fanatics wa kilokole wa Tanzania halina ukweli wowote.Hiv unajua unachokiongea mzee. Kwa taarifa yako wayahud maisha yao yote hapa dunian wamepitia life la vita tu na siku akiacha vita amekwisha.
Sasa wanatofauti gan na weweHiyo ni Imani za ma fanatics wa kilokole wa Tanzania halina ukweli wowote.
Mimi sio fanatic mkuu niko rational sanaa sifungamane naupande wowote.Sasa wanatofauti gan na wewe
Huhitaji kujieleza kwa mtu anaefutilia nyuzi zakoMimi sio fanatic mkuu niko rational sanaa sifungamane naupande wowote.