Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Swali Zuri sanaKwani hii iliyobomolewa ilichukua Miaka mingapi?
Hiyo Taarifa Iko Al Jazeera nenda kaiangalie.Kuna mlokoke anawambia Gaza itajengwa miaka 360😂
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 😂😂😂
Ghaza ipi pole ghaza haitakaliwa na wazayuni tena
Dada angu hilo nigumu ni sawa sawa kuweka Israel katika vita mda wote hata US amesema hilo hapana litawagharimu sana kulinda watu wao mda wote.
Soon iran itageuzwa kifusi km hivyo acha wamalizane na hezbolla kdgoUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Palestina ikiwa huru miaka 5 tu inajenga Gaza zaidi ya ilivyokuwa
Siyo Gaza yote imeshambuliwa maana Gaza yote Ina eneo la kilomita za mraba 365
atapewa fatah ya akina abbas wependa amani huko ramallahIts not easy brother, hizo rubbles kuzitoa tu ni ages halafu kumbuka manpower ya wapalestina ni kama imefutwa kabisa, then hamna cha shule wala hospitali imebaki! Pesa pekee hata wakipewa haitajenga na atapewa nani? Hamas au? Na ipo wapi? Haya ni majibu meepesi sana kwa situation complex kama hii.
Kilichofanyika huko Gaza ni uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamuUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Hayo mauaji yaliyofanyika huko Gaza yatazalisha kizazi kipya kilichojaa chuki na itikadi kali miaka ijayo.Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu kusahaulika
Walokole wengi wa JF na Wagalatia akili hamna kabisa acha kina Mwamposa wapige pesa.
Ukanda wa Gaza una urefu wa kilomita 41 (maili 25), kutoka 6 hadi 12 km (3.7 hadi 7.5 mi) kwa upana, na ina jumla ya eneo la 365 km2 (141 sq mi). Ikiwa na takriban Wapalestina milioni 2 kwenye takriban kilomita za mraba 365 (141 mi) ya ardhi, Gaza ina mojawapo ya msongamano mkubwa zaidi wa watu duniani.
Kuna mlokoke anawambia Gaza itajengwa miaka 360
ukisema hilo jamaa ni liislam inatoshaHuhitaji kujieleza kwa mtu anaefutilia nyuzi zako
mpaka achakazwe hivyo na iran marekani na washirika wake watakuwa watazamaji tu bila kuingilia kati?Ajiandae kwa muonekano huo wa Gaza kama akijitingisha kiuno mbele ya Iran.
Hawajasema 'milele' mkuu.Israel iliondoka Gaza 2005 Wapalestina wakaamua kuwachagua Magaidi wa Hamas na ukawa ndio Uchaguzi wa mwisho na sasa Israel wanampango wa kubakia Gaza milele.
Uidiot umewaponza Waarabu wa Palestina.