Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
577
Reaction score
157
RATIBA YA KESI KASI WEEK HII

26.07.21

CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC)
CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige

29.07.21
CAS 2020/A/7397 Young Africans SC v. Bernard Morrison

05.08.21
CAS 2021/A/7799 Yeni Malatyaspor v. Mitchell Glenn Donald

09.08.21
CAS 2020/A/7537 Francisco José Castro Fernandes v. Club FC Farul Constanta & Fédération Internationale de Football Association (FIFA)

23.08.21
TAS 2021/A/7824 Mahamadou Traoré c. CS Constantine
CAS 2020/A/7555 Al Nassr FC v. Asian Football Confederation (AFC) & Persepolis FC

25.08.21
CAS 2021/A/7738 Socieda
 
Kumbe ndiyo maana mlikuwa mnatoa sare mfululizo mkitegemea mchongo wa CAS. Kweli nyie ni nyani kabisaaaaa
FB_IMG_1627346909090.jpg
 
Kuna tetesi pia alikuwa amesimamishwa tangu january ila yeye akawaficha waajiri wake (simba) sipati picha
Mkuu unaweza kunambia aliekuwa kamsimamisha Morrison tangu January ni nani? TFF? Kama ni CAS mbona ndio mara ya kwanza wanaenda kusikliza case ya Morrison na Yanga....! Msaada tafadhari
 
Mkuu unaweza kunambia aliekuwa kamsimamisha Morrison tangu January ni nani? TFF? Kama ni CAS mbona ndio mara ya kwanza wanaenda kusikliza case ya Morrison na Yanga....! Msaada tafadhndio maana nimesema tetesi sina uhakika please
ila swala la kusikilizwa halipo walipeleka vielele zo vyao wote.inaamana vilisha pitiwa itakuwa ni hukumu kwa mujibu wa mwakalebela japo tusimuamini sana
unapokata rufaaa unawakilisa kitu kinaitwa proceeding na nakala ya hukumu vinapitiwa hamsikilizwi upya kusema kesi ianze upya ni sehemu ya hukumu kwenye chombo cha rufani
kaka hapo tumelewana
 
Kuna tetesi pia alikuwa amesimamishwa tangu january ila yeye akawaficha waajiri wake (simba) sipati picha
CAF na FIFA huwa zinawasiliana na klabu au mchezaji kupitia chama cha soka cha nchi husika, mfano TFF. Kwa hiyo mchezaji au klabu haiwezi kuficha taarifa yoyote kutoka CAF au FIFA maana lazima huyo mchezaji au klabu izipate kutoka kwa chama cha soka
 
RATIBA YA KESI KASI WEEK HII

26.07.21

CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC)
CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige

29.07.21
CAS 2020/A/7397 Young Africans SC v. Bernard Morrison

05.08.21
CAS 2021/A/7799 Yeni Malatyaspor v. Mitchell Glenn Donald

09.08.21
CAS 2020/A/7537 Francisco José Castro Fernandes v. Club FC Farul Constanta & Fédération Internationale de Football Association (FIFA)

23.08.21
TAS 2021/A/7824 Mahamadou Traoré c. CS Constantine
CAS 2020/A/7555 Al Nassr FC v. Asian Football Confederation (AFC) & Persepolis FC

25.08.21
CAS 2021/A/7738 Socieda
morison kwa tabia zake, wamuuze tu aondoke hapa Tanzania, hana tabia za kibongo, sidhani kama havuti bangi. huwezi kuwa huna adabu namna ile kuvua nguo mbele za watanzania wote including mawaziri hadi Rais. ujinga huo apeleke tu huko ghana kwao.
 
CAF na FIFA huwa zinawasiliana na klabu au mchezaji kupitia chama cha soka cha nchi husika, mfano TFF. Kwa hiyo mchezaji au klabu haiwezi kuficha taarifa yoyote kutoka CAF au FIFA maana lazima huyo mchezaji au klabu izipate kutoka kwa chama cha soka
good point mbona sasa tff kipita kidau walisema hakuna case cas yanga ni wazushi hapo unaelewaje
nikuambie kitu mo ataondoka na watu tff maana wao ndio waliokuwa wanamlisha maneno kwa hana mkataba na yanga
ila hukumu inasema mkataba ulikuwepo ila una mapungufu je? walipewa nafasi ya kurekebisha mapungufu kama sheria ya pira inavvyo elekeza ibara 45 c sheria za mkataba za fifa ina onekana kuna interest fulan ndani ya shirikisho kuna mtu alifaidika na hii transfer
 
morison kwa tabia zake, wamuuze tu aondoke hapa Tanzania, hana tabia za kibongo, sidhani kama havuti bangi. huwezi kuwa huna adabu namna ile kuvua nguo mbele za watanzania wote including mawaziri hadi Rais. ujinga huo apeleke tu huko ghana kwao.
na hisi kile kitendo alikifanya makusudi ilisimba wamfukuze kabla ya tarehe 29 simba nao sio wajinga wanamvutia pumzi utasikia simba ni tasisi sio genge la wahuni
 
kwanini wamfukuze? na yeye ametarget nini?
 
good point mbona sasa tff kipita kidau walisema hakuna case cas yanga ni wazushi hapo unaelewaje
nikuambie kitu mo ataondoka na watu tff maana wao ndio waliokuwa wanamlisha maneno kwa hana mkataba na yanga
ila hukumu inasema mkataba ulikuwepo ila una mapungufu je? walipewa nafasi ya kurekebisha mapungufu kama sheria ya pira inavvyo elekeza ibara 45 c sheria za mkataba za fifa ina onekana kuna interest fulan ndani ya shirikisho kuna mtu alifaidika na hii transfer

Sasa mbona ni kama una hitimisho lako tayari,kulikuwa na haja gani ya kuanzisha hii Thread? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwanini wamfukuze? na yeye ametarget nini?
sijasema afukuzwe kimya kingi kina kishindo naamini simba watukuja na majib; ilekamati ya saa 72 nayo kimya angefanya wa costal union sijui angekuwa wa saa hizi bmt na kumimya bora wampongeze kwa ushujaaa
 
Back
Top Bottom