Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

good point mbona sasa tff kipita kidau walisema hakuna case cas yanga ni wazushi hapo unaelewaje
nikuambie kitu mo ataondoka na watu tff maana wao ndio waliokuwa wanamlisha maneno kwa hana mkataba na yanga
ila hukumu inasema mkataba ulikuwepo ila una mapungufu je? walipewa nafasi ya kurekebisha mapungufu kama sheria ya pira inavvyo elekeza ibara 45 c sheria za mkataba za fifa ina onekana kuna interest fulan ndani ya shirikisho kuna mtu alifaidika na hii transfer
Mo anaingiaje hapo? Tutumie weledi kujenga na kujibu hoja
Kesi hii ilianza kusikilizwa TFF kupitia kamati yake ya sheria na hadhi za wachezaji. Baada ya kupitia hoja za mlalamikaji (Yanga) na hoja za mlalamikiwa (Morrison), uamuzi ukatolewa na TFF (kupitia kamati yake) kwamba Morrison hana mkataba na Yanga na hivyo ni mchezaji huru.

Kuanzia hapo Morrison akawa huru kujiunga na timu yoyote, maana yake ni kwamba angeweza pia kujiunga Yanga kwa mkataba mpya. Morrison akaamua kujiunga Simba, na TFF ikatoa leseni ya Morrison kuichezea Simba, na FIFA ikamuingiza kwenye mtandao kama mchezaji halali wa Simba

Yanga imepeleka malalamiko (sio rufaa) kwenye Tume ya Usuluhishi inayoitwa CAS (sio kamati ya rufaa). CAS inatatua migogoro ya kimaslahi

The CAS (Court of Arbitration for Sport) is an independent institution, based in Lausanne, involved in resolving legal disputes in the field of sport
 
poa nimekusoma ss ikitokea mkataba wa yanga ulikuwa halali kipi kitafuata
pia kumbuka alisaini simba wakati hukumu bado maana yake alikuwa anajua majibu na alimpa majibu?
moo hapo ndio mtoa fedha za usajili simba alimpa akiamin atashinda au atawekwa huru majibu aliewa na nani ? tuache mihemuko tutafakari zaidi
 
CAS haishughuliki na mambo ya point za mezani. Soma hii:

Types of disputes submitted to the CAS​

Generally speaking, a dispute may be submitted to the Court of Arbitration for Sport only if there is an arbitration agreement between the parties which specifies recourse to the CAS. Article R27 of the Code stipulates that the CAS has jurisdiction solely to rule on disputes connected with sport. Since its creation, the CAS has never declared itself to lack jurisdiction on the grounds of a dispute’s not being related to sport (see in this regard the award delivered in the arbitration TAS 92/81 in the Digest of CAS Awards 1986-1998).

In principle, two types of dispute may be submitted to the CAS: those of a commercial nature, and those of a disciplinary nature.

The first category essentially involves disputes relating to the execution of contracts, such as those relating to sponsorship, the sale of television rights, the staging of sports events, player transfers and relations between players or coaches and clubs and/or agents (employment contracts and agency contracts). Disputes relating to civil liability issues also come under this category (e.g. an accident to an athlete during a sports competition). These so-called commercial disputes are handled by the CAS acting as a court of sole instance.

Disciplinary cases represent the second group of disputes submitted to the CAS, of which a large number are doping-related. In addition to doping cases, the CAS is called upon to rule on various disciplinary cases (violence on the field of play, abuse of a referee).

Such disciplinary cases are generally dealt with in the first instance by the competent sports authorities, and subsequently become the subject of an appeal to the CAS, which then acts as a court of last instance.
 
nimekusoma vp as vita hukumu ilitoka cas au walijisahau nn au zile alizo nyanganywa zilikuwa si za uwanjan mkuu
 
poa nimekusoma ss ikitokea mkataba wa yanga ulikuwa halali kipi kitafuata
pia kumbuka alisaini simba wakati hukumu bado maana yake alikuwa anajua majibu na alimpa majibu?
moo hapo ndio mtoa fedha za usajili simba alimpa akiamin atashinda au atawekwa huru majibu aliewa na nani ? tuache mihemuko tutafakari zaidi
Na kweli alishinda, kwa hiyo anticipation yake ilikuwa sahihi. Simba walikuwa smart, walikuja kumtangaza kusajiliwa baada ya kesi yake kumalizwa (fuatilia hilo utajua tarehe aliyotangazwa rasmi)
 
Simba vs pamba play off maana atakua na point 38

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
CAS hawashughuliki na mambo ya point, wanaangalia maslahi ya mlalamikaji na mlalamikiwa. Ndio maana hukumu zao zote ni kuilazimisha klabu kumlipa mchezaji au kocha hela, mfano Amis Tambwe na Mwinyi Zahera. Kwa hiyo wataangalia kama Yanga anastahili kulipwa au watashikilia msimamo wa TFF kuwa Morrison alikuwa mchezaji huru
 
Na kweli alishinda, kwa hiyo anticipation yake ilikuwa sahihi. Simba walikuwa smart, walikuja kumtangaza kusajiliwa baada ya kesi yake kumalizwa (fuatilia hilo utajua tarehe aliyotangazwa rasmi)
no hapo umedanganya alpigwa fain kusaini mkataba huku anakesi
 
Hiyo ni kesi ya Morrison na Yanga.Sidhani kama Simba ataathirika kwa namna yoyote, Simba amemsajili kwa baraka za shirikisho kuwa yupo huru, na ikatangazwa hadharani.
 
tff watakuwa na makosa? ulemsemo tff wapo kwa ajili ya kuhakikisha simba inafanya vizuri utatimia nijib please
 
Hiyo ni kesi ya Morrison na Yanga.Sidhani kama Simba ataathirika kwa namna yoyote, Simba amemsajili kwa baraka za shirikisho kuwa yupo huru, na ikatangazwa hadharani.
mkuu mpe moyo mtoa mada huoni anavyohaha anasubiri ubingwa wa CAS anajiuliza maswali na kujijibu anahitaji faraja maana uwanjani washashindwa
 
Sasa mbona ni kama una hitimisho lako tayari,kulikuwa na haja gani ya kuanzisha hii Thread? [emoji3][emoji3][emoji3]

miuu sio kama mapungufu yanarekebishwa kama pande zote zimeridhia

, mfano mie nakushtak wewe umekiuka mkataba na mie... ww unakana huna mkataba na mie.. natoa ushahid wa mkataba.. ww unasema sign sio yako na hauna alama zako za vidole..

sheria inasema mkataba una mapungufu ( hakuna alama za vidole) na sign iliopo mwenye nayo ambaye ndo ww umeikana ila sheria inatoa mwanya wa marekebisho. sasa nambie kama sheria imependekeza mapungufu hayo yarekebishwe. je utakibali kuweka finger print ili uhalalishe mkataba mabao toka mwanzo unaukana ? hebu naomba jibu kiongoz maana upande mmoja hautak na unaukana na hauna interest za kurekebisha hayo mapungufu sasa yatarekebishwaje?
 
Watu wanachukulia utani ila jaribu kufuatilia hukumu za CAS ndio utakuja kujua vizuri kama Yanga vs B Morrison na Yanga akishinda keshi dhidi ya B Morrison basi Yanga atafungua kesi nyingine dhidi ya TFF kwa sababu Tff ndio walibatilisha mkataba
 
Tff walifanya uhuni hadi sasa hivi wanajua wanakwenda kupata kashfa
 
Watu wanachukulia utani ila jaribu kufuatilia hukumu za CAS ndio utakuja kujua vizuri kama Yanga vs B Morrison na Yanga akishinda keshi dhidi ya B Morrison basi Yanga atafungua kesi nyingine dhidi ya TFF kwa sababu Tff ndio walibatilisha mkataba
Lakini kesi hiyo haiwezi tena kuiathiri Simba
 
Back
Top Bottom