Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

CAF na FIFA huwa zinawasiliana na klabu au mchezaji kupitia chama cha soka cha nchi husika, mfano TFF. Kwa hiyo mchezaji au klabu haiwezi kuficha taarifa yoyote kutoka CAF au FIFA maana lazima huyo mchezaji au klabu izipate kutoka kwa chama cha soka
Watu wa football km wewe ndio waongee
 
Kesi ilimalizwa vp while Yanga waliendelea na kesi cas,simba ilistahili imsajili morison leo hii baada ya kutoka hukumu ya cas iwapo atashinda,sema kipindi iko kuna walikua serikali na wengine bado wapo serikalini kwa kushirikiana na tff wakajiamulia tu kisiasa kuidhulumu Yanga mchezaji wao

Endeleeni kulalamika, Simba inasajili wachezaji, ninyi mtakuja kushtuka usiku, mtaanza kusajili abiria wa ndege airport
 
Watu wanachukulia utani ila jaribu kufuatilia hukumu za CAS ndio utakuja kujua vizuri kama Yanga vs B Morrison na Yanga akishinda keshi dhidi ya B Morrison basi Yanga atafungua kesi nyingine dhidi ya TFF kwa sababu Tff ndio walibatilisha mkataba

Na ikitokea Yanga wameshindwa je?
 
1. Yanga wanapewa Ubingwa wa Ligi
2. Ubingwa wa Azam
3. Ngao ya Jamii
4. Wanapewa nafasi ya robo fainal iliyofikiwa na simba CAF
5. Wanakuwa kwenye 20 best teams in africa.
6. Wao ndo wanapewa sifa za kucheza soka mujarabu
7. Wanapewa viwanja vya Bunju

N.k

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwisho wa utapeli wa muhindi ni aibu
Acha tuone na hata akirudi sisi hatumtaki
 
Back
Top Bottom