Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

1. Yanga wanapewa Ubingwa wa Ligi
2. Ubingwa wa Azam
3. Ngao ya Jamii
4. Wanapewa nafasi ya robo fainal iliyofikiwa na simba CAF
5. Wanakuwa kwenye 20 best teams in africa.
6. Wao ndo wanapewa sifa za kucheza soka mujarabu
7. Wanapewa viwanja vya Bunju

N.k



 
Umesahau na simba super cup
 

kuna uwezekano kwanza kombe wakapewa upande wa pili ama kukawa na ban ya caf au yote kwa pamoja
 
Wanakuwa mabingwa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Itakuaje ikionekana hana mkataba na yanga?
 
tff watakuwa na makosa? ulemsemo tff wapo kwa ajili ya kuhakikisha simba inafanya vizuri utatimia nijib please
Tff ipo kwa ajili ya timu bora ishinde na simba ni timu bora hivyo upo sahihi.
 
Sasa mbona ni kama una hitimisho lako tayari,kulikuwa na haja gani ya kuanzisha hii Thread? [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi kuhusu hukumu ya AS Vita kutoka CAS hadi akapokonywa points na kunyimwa Ubingwa?
 
[emoji106]
 
Na kweli alishinda, kwa hiyo anticipation yake ilikuwa sahihi. Simba walikuwa smart, walikuja kumtangaza kusajiliwa baada ya kesi yake kumalizwa (fuatilia hilo utajua tarehe aliyotangazwa rasmi)
Kesi ilimalizwa vp while Yanga waliendelea na kesi cas,simba ilistahili imsajili morison leo hii baada ya kutoka hukumu ya cas iwapo atashinda,sema kipindi iko kuna walikua serikali na wengine bado wapo serikalini kwa kushirikiana na tff wakajiamulia tu kisiasa kuidhulumu Yanga mchezaji wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…