Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

CAF na FIFA huwa zinawasiliana na klabu au mchezaji kupitia chama cha soka cha nchi husika, mfano TFF. Kwa hiyo mchezaji au klabu haiwezi kuficha taarifa yoyote kutoka CAF au FIFA maana lazima huyo mchezaji au klabu izipate kutoka kwa chama cha soka
Watu wa football km wewe ndio waongee
 

Endeleeni kulalamika, Simba inasajili wachezaji, ninyi mtakuja kushtuka usiku, mtaanza kusajili abiria wa ndege airport
 
Watu wanachukulia utani ila jaribu kufuatilia hukumu za CAS ndio utakuja kujua vizuri kama Yanga vs B Morrison na Yanga akishinda keshi dhidi ya B Morrison basi Yanga atafungua kesi nyingine dhidi ya TFF kwa sababu Tff ndio walibatilisha mkataba

Na ikitokea Yanga wameshindwa je?
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwisho wa utapeli wa muhindi ni aibu
Acha tuone na hata akirudi sisi hatumtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…