Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Large older population na pia hawakulichukulia hili suala kwa makini hadi ulivyosambaa sana. Yani wanakumbuka shuka wakati pamekucha.Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran tatizo kubwa ni vikwazo vikali kutoka Marekani ambavyo vimesababisha upungufu wa vifaa tiba muhimu.Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..
Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
China huenda wachakachua death rate siwaamini China maana hawa ni wazee wa kuchakachua
Diamond princess ni Meli?
Sidhani kama una chanzo cha kuaminika kuthibitisha hichi ulichoandika.
Hizi ni propaganda tu za maadui na mahasimu wa China.
Duh!..hii habari ya kuomba ruhusa kuua watu na wewe uliamini ni kweli?Mkuu Mbona waliomba ruhusa ya kuuwa 20,000 mahakamani?
Na habari ziliandikwa na wao wenyewe
Kweli ukiwa na maadui au marafiki lazima mengi yatasemwa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoDiamond princess ni Meli?
Daaah
Duh!..hii habari ya kuomba ruhusa kuua watu na wewe uliamini ni kweli?
Hizo zilikuwa ni propaganda za mahasimu tuu
Na kitendo cha China kudhibiti huu ugonjwa mapema kimezidi kuwavuruga mahasimu wake.
Wacha utani Bhana! Baba Mtakatifu hawezi kuwa positive kwa Vitu vidogo kama corona!Papa tayari yuko positive haha
Japan umeusikia?Ivi North Korea kwa Kim Kiduku, huu ugonjwa Corona sijausikia wao wamedhibit vip?
Sent using Jamii Forums mobile app