Itapendeza zaidi kuomba radhi, kulinda hadhi ya kuendelea kuitwa mama

Wanasiasa wanapotosha wananchi kwamba katiba ndio Suluhu la matatizo yote ya nchi hii na kwamba Rais awaze katiba mpya na kuharakisha mchakato wake.

Lakini kiuhalisia wanasiasa hao wanaona katiba mpya itaongeza nafasi ya wao kushinda uchaguzi. Huu ni ubinafsi wa hali ya juu.

Tumeona na kushuhudia hata mnapopewa nafasi majimbon au kuongoza halmashaur kadhaa hakuna unique features mnazoonyesha.

Binafsi naona Katiba mpya isiwe Kipaumbele ktk hali hii ya changamoto za kiuchumi duniani.

Na mkumbuke kwamba Rais Samia akiamua kuwajibu mnapokosa adabu za Kiafrika hataingia yeye front Bali atatumia vyombo vile vile alivyotumia JPM.

Muache Kudemka.
 
Bora aseme Katiba itakuja baada ya kuweka baadhi ya mambo sawa ila Ili kupooza joto la siasa yeye awaruhusu wapinzani wafanye siasa zao za mikutano ila maandamano iwe marufuku.

Afu nchi hii bado ccm ina nafasi kubwa ya kushinda hakuna sababu ya kuwa na hofu maana shida za nchi ni ndogo ndogo kama maji, barabara,afya,haki,elimu,umeme na biashara ambapo kwenye hili ameanza vizuri.

Lakini kubwa zaidi anaungwa mkono kwa sehemu kubwa na wanawake ambao ndio wapigakura wa kuaminika kuliko vijana wa mihemko.Aruhusu tuu demokrasia ila watakaotukana kama kina Mdude awatie adabu hakuna demokrasia na uhuru usio na wajibu na mipaka kwa mujibu wa sheria.
 
Ur acting as if Mama katawala miaka 2

mbona kwa Hayati hamkumpa hii pressure?.
Wanafki sana nyie..
mmekaa bila hio Katiba miaka 6 leo fyuu fyuu
Muacheni Mama
Mngekua mnaitaka kweli mngekomaa na Hayati
Inawezekana kupitia matendo mabovu kipindi cha hayati ndo watu wameona kuna hitaji la haraka kupata katiba bora.kwasababu mabadiliko toka kwenye kibovu kwenda kwenye kizuri hayana mwisho.kwahiyo kama ukuliona hitaji jana haimaanishi hautaliona hitaji leo.Ata sasa hakuna anayempa rais wa sasa pressure bali watu wanatoa mawazo yao.
 
Dawa yao inachemka.

Hatuyumbishwi na hatutetereshwi, Sisi wananchi tutaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa rais ili tupate maendeleo aliyotuahidi.

Atakae jaribu kumkwamisha rais tutashuka nae jumla jumla
Walioshuka na watu wako wapi sasa ?!
 
Huo uchuro wala hautatokea,ni dua la mwewe,maza hatazalusha sabaya wala makonda hakuna mtu atakayekamatwa hovyo wala kupigwa
 
Mbona kipundi cha jpm mlikua hamdai katiba , mwacheni mama achape kazi katiba tulionayo iko vizuri tu
 
Hili bandiko liwekewe pin, haya uliyosema yatatokea yote. Mwaka 2025 mama atakuwa unpopular at both sides ( wapinzani na CCM) kiasi kwamba atakuwa hana wa kumuunga mkono zaidi ya wazanzibar wenzake. Maana watu wengi waliokuwa wanamuunga mkono sasaiv walikuwa ni wapinzani, na sasa ameshaanza kuwapoteza
 
Mama kawatuliza hadi mmeanza mkosea adabu sio?

Hv mngeweza kumuambia Hayati maneno ya hivi?.

Msisahau na yeye ana madaraka yaleyale
Tumemtukana sana Magufuli humu jamii forum mpaka akamkamata Maxence Melo atoe true id za watu humu. Tumemtukana Magu na hajafanya chochote
 
Kipindi cha Jpm kuna watu tulisema kua kama kweli Jpm ni kiongozi mzuri basi ajitahidi atengeneze mifumo thabiti ya uendeshaji nchi ili ata siku akiondoka nchi iende kwenye misingi aliyoiweka,sasa kwasababu hakufanya hivyo ndo maana umetaja baadhi ya mambo ya ovyo yaliyofanyika kipindi chake sasa leo hayupo kwahiyo kuna uwezekano pia hiyu aliyepo akafanya aidha mazur au mabaya kabisa kwa sababu nchi bado haina mifumo na miongozo thabiti.Sasa tunakua ni nchi ya leo hivi kesho vile kutegemea tu rais kaamkaje.kwahiyo kama kweli ana nia njema na hili taifa basi ni vyema akaweka mambo mazuri kwa ajili ya nchi ili ata atakapoondoka nchi iendelee vyema.Na muda mzuri wakufanya jambo ni kipindi watu wanalizungumzia kwasababu hakuna aijuaye kesho.
 
Mkuu mbona unaongea nadharia sana?
Yaani mwenyekiti wa chama tena mwenye kofia mbili akose ushawishi? Et sababu top oppositional leaders demands katiba mpya ndo akose ushawishi? Naamini wewe sio mgeni ni mzawa hapa bongo. Regime iliyopita ilikuwa na makosa kibao lakini ikapita kwa KISHINDO Asilimia zaidi ya 95%.

Au unafikiri mamlaka aliyokuwa nayo hayati, mama yetu hana? Msijifariji bhana. Tafteni namna ya kuongea na Mama sio kujidai mnaijua katiba sana. Huku wengine mkijidanganya mtaingia barabarani kwa maneno nyuma ya keyboard hahahaha. Wale jamaa wenye kofia nyekundu hawana kazi za kufanya mtajua hamjui.

Hata ningekuwa mimi nisingekubali yaani niwawekee mazingira ya kuingia kwenye uongozi kiulaini tu et sababu ya wapiga kelele. iiihiiiiii aaaaaahaaaaa.
 
Pumbavu sana hawa ndezi.

Wanataka twende nao hivi hivi kindezi ndezi.

Yaani jambo limekubaliwa, mnaambiwa Nipeni muda nishughulikie wao wameng'ang'ania tu ujinga ujinga.
Mambo mengine yamekuzidi uwezo wa kufikiri.uwezo wako kuvaa dera .kwanza nenda kabadili nguo ya ndani uku sio sehemu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…